Ilikifunza = IlikufunzaNime
Nimeuliza wewe wapi? Maana umewataja "wa Msikitini" kama viile ni kitu kigeni sana kwako au cha ajabu. Kwa kejeli.
Hivi kukejeli mtu ambae hana imani kama yako kunakusaidia nini? Ndiyo imani yako ilikifunza hivyo au ni kibri tu?
Sasa nijibu na yale ya "history journal" na "anthropology" uliyoyaleta, si unakumbuka
Azarel,Yaani huyu Mzee atatapatapa sana mpaka mwisho ila hawezi kuibadili Historia kwa walioisoma tayari.
Nyerere is still an Icon.
Hukuweka reference wala hukunukuu kilichoandikwa.Wewe ulitaka mimi niandike historia ya Mzee John nikakwambia huna haja ya kusubiri kwani imeishaandikwa bila bias yeyote ya udini na nikakupa reference sasa unataka nini zaidi sheikh!!!
Labda ulimsoma ukiwa na kilevi kichwani. Mohamed hajawahi kuandika kuwa mama yake Nyerere alikuwa na duka mtaa huo. Aliyekuwa na duka ni mke wa Nyerere.Yeye hamfahamu kama wewe unamfahamu si useme ni nani. Pia si una wazee wako wanaweza mfahamu si uwaulize?
Mnataka kulazimisha kitu ambacho mtu hakielewi?
Mbona kaandika kuwa Daisy kwenyenkitabu chake ameandika kuhusu mama yake Nyerere kuwa alikuwa na duka la mafuta ya taa mtaa wa Livingston na Mchikichi kwani huyo bibi alikuwa akivaa baibui?
Ni kweli kabisa. Ni mimi ndiye nimechanganya mambo, Daisy kumwita mke wa Nyerere "mama" Maria Nyerere, kidole changu kikakataa kumwandika mke wa mtu "mama". tatizo si pombe au "kilevi" tatizo kuna mambo Kiswahili kinatuchanganya sana vichwa vyetu kukubali hususan sisi ambao haya mambo ya mke wa mtu kumuita "mama" fulani ni mwiko. Aah ni kinyume kabisa na "vocabulary" iliyopo kichwani mwangu. Nimerekebisha sentensi huko juu, isitupe shida. Toa neno "yake" weka Maria. Simpo.Labda ulimsoma ukiwa na kilevi kichwani. Mohamed hajawahi kuandika kuwa mama yake Nyerere alikuwa na duka mtaa huo. Aliyekuwa na duka ni mke wa Nyerere.
Sijui kwanini mnapenda sana majina ya kikristo nyie mabinti wa kiislam! Daisy, jina la kikristo japo yeye Islam. Wewe, jina lako la kikristo. Mliishiwa majina ya kiislam?!Ni kweli kabisa. Ni mimi ndiye nimechanganya DAISY kumwita mke wa Nyerere "mama" Maria Nyerere) tatizo si pombe tatizo kuna mambo Kiswahili kinatuchanganya sana vichwa vyetu kukubali hususan sisi ambao haya mambo ya mke wa mtu kumuita "mama" fulani ni mwiko. Aah ni kinyume kabisa na "vocabulary" yangu iliyopo kichwani mwangu. Nitarekebisha sentensi huko juu, isitupe shida. Toa neno "yake" weka Maria. Simpo.
Daisy ni jamii ya maua ambayo hayana msimu wala muda wa kuchanua, utayakuta wakati wote yamechanua tu. Sasa kama mmea nao upo usio wa Kiislam hilo sijasikia. Mimi naamini mimea yoye ni ya Kiislam.Sijui kwanini mnapenda sana majina ya kikristo nyie mabinti wa kiislam! Daisy, jina la kikristo japo yeye Islam. Wewe, jina lako la kikristo. Mliishiwa majina ya kiislam?!
Isome sura Al-Mujaadila, imeruhusu.Ni kweli kabisa. Ni mimi ndiye nimechanganya mambo, Daisy kumwita mke wa Nyerere "mama" Maria Nyerere, kidole changu kikakataa kumwandika mke wa mtu "mama". tatizo si pombe au "kilevi" tatizo kuna mambo Kiswahili kinatuchanganya sana vichwa vyetu kukubali hususan sisi ambao haya mambo ya mke wa mtu kumuita "mama" fulani ni mwiko. Aah ni kinyume kabisa na "vocabulary" iliyopo kichwani mwangu. Nimerekebisha sentensi huko juu, isitupe shida. Toa neno "yake" weka Maria. Simpo.
Hiyo isome wewe inatosha. Mimi siifahamu.Isome sura Al-Mujaadila, imeruhusu.
Azarel,
Sikuandika kitabu kuteremsha hadhi na mchango wa Mwalimu katika historia ya TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.
Ningekuwa mjinga wa kiasi hicho ningekiua kitabu changu na kisingekuwa hai hadi hii leo tukawa tunakijadili hapa na tunatoa matoleo.
Nilichokifanya mimi ni kusahihisha historia ya TANU kwa kuandika ule ukweli ambao wengi wenu hamkuwa mnaujua.
Kwa ajili hii basi hakuna swali la kutapatapa labda mwenye kuhangaika ni wewe ambae hujajiuliza hadi leo kuwa ilikuwaje historia ya TANU ikaandikwa hata isielezwe michango muhimu ya hawa wazalendo ambao sasa unawasoma hapa.
Angalia hapo chini matoleo tofauti ya kitabu hiki kwa Kiingereza na Kiswahili toka kitabu cha kwanza hicho cheupe kichwapwe London mwaka wa 1998.
Nadhani umepata picha ya heshima na hadhi ya kitabu hiki kwa wasomaji.
Moyo wako umejaa chuki hii imejitokeza namna unavyoniita kwa kejeli, "Huyu mzee..."
Ukishamtambua mtu kuwa ni mzee basi tambua anastahili kuheshimiwa kwa kile cheo chake cha uzee si kutukanwa.
Na kwa lipi nililokukosea?
Kwa kukueleza historia ya Abdul Sykes na Nyerere na kukufungulia nyaraka za kihistoria zilizosheheni historia ya TANU?
Azarel,Old tales
Kwani Allama @Mohamed Said hujamsoma anachokiswma siku zote
Ndinani,Hapo ulipoandika " anachokiswma" ndio lugha gani, kimanyema?
Mmezoea kutafuniwa sasa nimekwambia nenda huko kwenye " JOURNAL OF HISTORY AND ANTHROPOLOGY" utakuta unachotaka niandike ! Kama unajua kutafuta taarifa kwenye maandiko hiyo taarifa ni tosha kabisa kukuwezesha kupata ukitafutacho.
Mzee John ameacha jumba la ghorofa pale Msimbazi kama ukumbusho na mali nyingine nyingi.
Ndinani,
Ungeboresha hiyo rejea kama unayo ili iwe rahisi kuipata.
John Rupia gorofa lake ni maarufu Mtaa wa Kitchwele na Msimbazi.
Lakini lipo pia Gorofa la Sheikh Said Chaurembo Mtaa wa Msimbazi na Congo.
Ndinani,Wakina mama wa kimanyema nao walijitahidi kujenga vibanda vingi hapo CARRY AND GO kutokana na biashara ya vitumbua;; nyie wajukuu zao mmeviuza kwa Wapemba ili mkatangaze ufalme bar!!!
Ndinani,
Mimi huwa siwezi mjadala wa hii namna yako.
Hapo pasikutishe. Tazama keyboard yako ilipo e na w utaelewa kuwa hiyo ni "typo" tu. Na hata hivyo ahsante kwa kunitanabahisha, nimerekebisha.Hapo ulipoandika " anachokiswma" ndio lugha gani, kimanyema?
Mmezoea kutafuniwa sasa nimekwambia nenda huko kwenye " JOURNAL OF HISTORY AND ANTHROPOLOGY" utakuta unachotaka niandike ! Kama unajua kutafuta taarifa kwenye maandiko hiyo taarifa ni tosha kabisa kukuwezesha kupata ukitafutacho.
Mzee John ameacha jumba la ghorofa pale Msimbazi kama ukumbusho na mali nyingine nyingi.
Allama Mohamed Said usimshangae huyo Ndinani. Hapo kishaishiwa anatapatapa.Ndinani,
Mimi huwa siwezi mjadala wa hii namna yako.