FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Yeye hamfahamu kama wewe unamfahamu si useme ni nani. Pia si una wazee wako wanaweza mfahamu si uwaulize?Labda kwa vile hakuvaa baibui.
Mnataka kulazimisha kitu ambacho mtu hakielewi?
Mbona kaandika kuwa Daisy kwenye kitabu chake ameandika kuhusu mama Maria Nyerere kuwa alikuwa na duka la mafuta ya taa mtaa wa Livingston na Mchikichi kwani huyo bibi alikuwa akivaa baibui?