Hilo sio tatizo tatizo Kuna Aina ya watu hawana uwezo huo wa kusoma katika mitandao na uelewa mdogo wa mambo lakin Yale masimuliz yalifanya watu wawe na morali wa kutafuta story husikaSiku hizi kuna hizi media za kielektroniki tunasoma sana tu. Si hata wewe umekisoma kisa hiki cha waliomsikiza Nyerere hapo hapo kiganjani mwako?
Abdi...Wanao soma vitabu n wachache Sana siku hz na zile Baraza za masimuliz hazipo siku hz story nying za viongoz wetu waliopita hazipo Tena kitaaa kuwa na vitabu s tatizo,tatizo Ni wasimuliz wanaongeza chumv na kukupa ushawishi wa kutafuta kitabu husika
Abdi...Hilo sio tatizo tatizo Kuna Aina ya watu hawana uwezo huo wa kusoma katika mitandao na uelewa mdogo wa mambo lakin Yale masimuliz yalifanya watu wawe na morali wa kutafuta story husika
Tatizo usasa mwing Kuna vingne lazima ukose,
Nadhan hatujaelewana bado nacho semea uelewa mpana wa watu,wa Africa weng hawapend kusoma kitu Mpaka wapate kasimuliz kidogo na zaman ilikuwa rahis koz wasimuliz walikuwa weng na ili changia sana kwa maaana mtu alienda tafuta kitabu husikaAbdi...
Hilo lawezekana lakini baada ya kuandika kitabu hiki historia ya uhuru wa Tanganyika imebadilika walimu vyuoni hawaisomeshi historia hii kama ilivyokuwa ikisomeshwa hapo zamani.
Vyuo vikuu Ulaya na Marekani vivyosomesha historia ya Afrika wanakitumia kitabu hiki kama kitabu cha rejea.
Huu ni karibu mwaka wa 10 hapa JF historia hii inajadiliwa ni kitabu sasa kinakwenda toleo la 4 si kawaida kwa kitabu kuishi umri huu na kikawa bado kiko kwenye mjadala.
Sidhani kama hii historia itakufa kwani mdiyo historia ya taifa letu.
Kwa hayo una shauri nini?Hilo sio tatizo tatizo Kuna Aina ya watu hawana uwezo huo wa kusoma katika mitandao na uelewa mdogo wa mambo lakin Yale masimuliz yalifanya watu wawe na morali wa kutafuta story husika
Tatizo usasa mwing Kuna vingne lazima ukose,
Nadhan hatujaelewana bado nacho semea uelewa mpana wa watu,wa Africa weng hawapend kusoma kitu Mpaka wapate kasimuliz kidogo na zaman ilikuwa rahis koz wasimuliz walikuwa weng na ili changia sana kwa maaana mtu alienda tafuta kitabu husika
Kwa kariba ya vijana wa leo Ni ngumu Sana
Na historia ikiwepo bila kusomwa na kuendelezwa Ni sawa sawa imepotea na kukosa Radha yake halisi
Abdi...Nadhan hatujaelewana bado nacho semea uelewa mpana wa watu,wa Africa weng hawapend kusoma kitu Mpaka wapate kasimuliz kidogo na zaman ilikuwa rahis koz wasimuliz walikuwa weng na ili changia sana kwa maaana mtu alienda tafuta kitabu husika
Kwa kariba ya vijana wa leo Ni ngumu Sana
Na historia ikiwepo bila kusomwa na kuendelezwa Ni sawa sawa imepotea na kukosa Radha yake halisi
Bullar,huu ndio upuuzi ambao hua siupendi yaani mtu na akili yako unawaza udini tu
Njinjo,Kweli familia ya Sykes unaitukuza. Hivi unajua kuwa Nyerere Aliipoanza kazi Tabora nani alimpokea akaa kwake hadi akamuoa Mama Maria nyumbani kwake? Hizi simulizi zako zimeegemea upande mmoja. Tungependa simulizi neutral
Ndinani,
Huyo si Lucy Lameck.
Nimejitahidi kutafuta majina ya hao wanawake wawili bado sijafanikiwa.
Ndinani,Utakataaje kuwa sio Lucy Lameck ili hali humjui ni nani? Mimi nakuhakikishia kuwa ndiye kwani Lucy na Titi Mohamed walikuwa mstali wa mbele kwa mambo ya siasa wakati huo!!! Muulize Juma Mwapachu anaweza kukusaidia kwa hili!!! Pengine hata balozi Paul Rupia anaweza kuwa na msaada hapa.
WALIOMSINDIKIZA MWALIMU NYERERE SAFARI YA KWANZA UNO 1955
Yaani hata wasindikizaji wanaoishia airport wanaanzishiwa uzi?Siku hizi kuna hizi media za kielektroniki tunasoma sana tu. Si hata wewe umekisoma kisa hiki cha waliomsindikiza Nyerere hapo hapo kiganjani mwako?
Ndinani,
February 1955 TANU Moshi bado haijasimama vizuri kwa ajili ya tatizo la Joseph Kimalando aliyekuwa hataki kufungua tawi la TANU Moshi mjini.
Kipindi hiki ndiyo Mwalimu anakwenda UNO.
Lucy Lameck aliingizwa TANU na Yusuf Olutu baada ya Tawi TANU kufunguliwa.
Hapo ndipo alipochomoza Lucy Lameck.
Lucy Lameck namjua vyema kama niijuavyo historia hii ya TANU.
Faru...Yaani hata wasindikizaji wanaoishia airport wanaanzishiwa uzi?
Una shauri nini, au unashauri nini! Unaandika kama umetoka kijijini jana?!Kwa hayo una shauri nini?
Ndinani,Mwaka 1955 wakati Mwalimu anakwenda U.N.O. Lucy Lameck alishakuwa mwanachama wa TANU na akiishi Dar es Salaam!!! Fortunately, kuna mtu anaweza kutusaidia hapa nae ni Abbas Sykes; yeye nadhani pekee kati ya wazamani aliye hai. Sijui kama una ukaribu nae kama alivyokuwa Ally?
Ndinani,
Historia ya Lucy Lameck nimeipokea kutoka kwa Mzee Yusuf Olotu.
Hebu soma historia ya TANU Moshi hapo chini:
''Wakati sehemu nyingine zikihamasika na harakati za kudai uhuru Moshi ilikuwa katika usingizi. Uongozi wa TANU Arusha, chini ya Japhet Kirilo ulikuja Moshi pamoja na Rajab Chamshama na Robert Otieno kuja kuchunguza kwa nini TANU ilikuwa inachelewa kusajiliwa Moshi.
Viongozi hawa waliitisha mkutano wa uchaguzi Welfare Centre ambao ulihudhuriwa na watu takriban 25, mmoja wao akiwa Yussuf Ngozi.
Mkutano ule ulimchagua Mzee Yussuf Ngozi kuwa Mwenyekiti wa kwanza wa tawi la TANU Moshi mjini.
Taratibu Kimalando akawekwa pembeni.
Katika halmashauri ya kwanza ya tawi lile alikuwapo msichana mdogo wa miaka 24, Lucy Lameck ambae baadaye alikuja kuwa waziri katika serikali ya wananchi.''
Lucy alikuwa mwanachama Moshi na si Dar es Salaam na TANU Moshi ilikuwa imechelewa sana kuanzishwa.
Ndinani,Je wanachama wa bara wakija Dares salaam wanasita kuwa wanachama wa TANU? Unaposema TANU ilichelewa sana kuanzishwa MOSHI hudhani kuwa kulikuwa na wanachama wa TANU mkoa wa Kilimanjaro ikiwamo Moshi kabla ya tawi la TANU kuanzishwa rasmi?
Mhh! kariakoi!Huyu mzee amejaa hila, na maandishi yake mimi nayaona kama ya hovyo tu kwakuwa yamejiegemeza ktk kubagua watu kidini kwa kujifunika na blanketi la kujifanya anaijua sana historia ya nchii!!
Hayo maneno hapo ni uthibitisho tosha!
Nimeona vitabu vyake vinauzwa misikitini kariakoi, nikacheka kimoyomoyo!