ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 4,792
- 11,295
Warusi ni wahuni sana huwa hawa negotiate na wapuuzi Wana njia zao za kudeal na wahuni
Kuna kipindi hizbollah walioteka wanadiplomasia watatu waurusi Ili kuishinikiza urusi iilazamishe Syria iache kukibonda kikundi chakigaid Cha Syria
Baada ya siku kakadhaa ukapatikana mwili mmoja Russian diplomat kwa airport umetupwa huku hizbollah wakiendelea kulazimisha demands zao kwa warusi , kikosi maalumu Cha urusi kilitua Lebanon kikawateka ndugu wakaribu wa kiongoz wa hizbollah wakamkata Mapumbu Kisha wakamtia risas ya fuvu ,wakatuma kifurushi chenye picha ya marehemu baada ya risas pia wakatuma vipande vya Mapumbu ya mwamba na baraua iliyosema hizo korodan zilikatwa kabla ya kuuawa na hio hali itaendelea kwa ndugu zake wote mpaka watakapoisha yeye atakua wa mwisho unless wawaachie hao wanadiplomasia ,
Jamaa waliachia siku ileile bila masharti Wala neno lolote since then magadi wamejifunza kuwatoa warusi kwenye assets zao