kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Alikuwa na madhara kwasababu ndie alikuwa mfadhiri mkuu wa KGB waliokuwa wanaenda kwajili ya oparesheni mbalimbali rejea jasusi wa kirusi aliyempa sumu , mwana KGB na mwanae aliyekuwa ndumilakuwili (akifanya kazi na urusi na UK)Mpaka muda huu sijawahi kusikia ishu kama hy ikithibitishwa ila ilikuwa n maneno ya chini chini.
Yn spy akae Kwenye nchi yako muda wote huo afu ety useme unasubiri patakaponyesha ndipo umuondoe vp kama pasingekuwa na hy vita.?
Inawezekana kweli jamaa alikuwa branch ya KBG lkn bc hakuwa na madhara kwa UK ndio maana akakaa muda mrefu hvy, ila kilichomuondoa pale London n siasa za kuwadidimiza wawekezaji wa Russia tuu na sio vinginevyo.
Pia ,vita ya Ukraine alikuwa mfadhiri anayemwaga pesa kwa urusi
Lamwisho kwa ufupi kwenye hayo ,huyu mwamba ni Moja ya masela waputin waliofanikisha kumweka madarakani PUTIN ,yaani huyu mwamba na yule mkuu wa Wagner aliyelipuliwa kama wanatofauti basi ni sehemu ndogo ya majukumu