Waliomuua Dkt. Isack wa Nyamongo HC wakamatwe haraka

Waliomuua Dkt. Isack wa Nyamongo HC wakamatwe haraka

Siye above 40 tumewakosea nini jamani???..

Kwanza hao akina 25 na 30 ndo wana njaa balaa, yaani wakianza tu kazi wanawaza kutafuta hizo CROWN, X1 na mijengo. By the time wako 40 kama siye we are in the same boat..

Ishu ya Uwajibikaji kwa nchi yetu ni la kimfumo zaidi na wala si umri.

Ishu tu ya mwanafunzi wa UDOM wanaomba taarifa badala ya kufanya UCHUNGUZI...
Police hawajui majukumu Yao Hadi wanaomba raia wawafanyie kazi walizoenda mafunzoni
 
Vijana acheni umalaya Dr una mke unahamgaika na baamedi you don't care even about ur health, majanga mengine yakujitakia licha ya usomi shule haijamkomboa
Umemsikia hapo anatajwa
Binti zuchu [emoji1]

Ova
 
Vijana acheni umalaya Dr una mke unahamgaika na baamedi you don't care even about ur health, majanga mengine yakujitakia licha ya usomi shule haijamkomboa
Wapi palipoonesha umalaya ndio umesababisha kifo hapo.

Then kuwa malaya au kuwa na huyo mwanamke sio kosa kisheria labda tusubiri maelezo ila bado hakuna connection bado ya huyo mwanamke na mauaji.
 
Naingia chimbo hadi kesho asubuhi watashikwa wote kwasababu nataka kuisaidia Polisi.

Ni hivi Dokta itakuwa alikuwa anamgonga mke wa mtu. Wauaji wakaamua kumtumia huyo bar maid kumsogeza dokta wakamcharaza mna kumpigwaa miti kwa hiari na kuchana nguo maksudi kusingiziwa kabakwa
Huyo Dr naye kavuna alichopanda na hao wahuni nao wakamatwe waozee jela
 
Umemsikia hapo anatajwa
Binti zuchu [emoji1]

Ova
[emoji2][emoji2] Binti zuchu wa tarime kazua mambo, Hadi Dr kafa vibaya.
Ila msomi unashinswaje kusoma hulka ya jamii uliyopo ili uepuke majanga jamani.Huko tarime kunasifika Kwa kugechana Sasa wewe unanunua Malaya ka sikujitaftia majanga Nini?
 
Wapi palipoonesha umalaya ndio umesababisha kifo hapo.

Then kuwa malaya au kuwa na huyo mwanamke sio kosa kisheria labda tusubiri maelezo ila bado hakuna connection bado ya huyo mwanamke na mauaji.
Sasa hyo kichwa ngumu ya kuona umalaya na kula wake za watu kumemuondoa kijana mdogo hivi hivi.
Remember Kuna unwritten laws Sasa vichwa ngumu Huwa hamsikii Hadi mlete machungu Kwa familia na hasara Kwa taifa
 
Hata polisi pia huwa wanauwawa huko , hao wakuria ni watu wa ajabu mara nyingi wanaenda kuanzisha fujo kwenye mgodi wa North Mara ukienda ukaona jinsi walivyoyapiga mawe magari ya polisi hadi hayatamaniki number plate ilishapoteaga hawajui wameiacha wapi wanapiga nazo doria hivyo hivyo gari zimejaa wavu wa kuzuia mawe kwasababu ya ukorofi wa wakuria

Muda mwingine hawa watu wakipigwa risas haitakiwi hata kuwatetea kama umeshaishi huko kwao utajua Ni jinsi gani wanavyovuka mipaka ya kibinadam
 
[emoji2][emoji2] Binti zuchu wa tarime kazua mambo, Hadi Dr kafa vibaya.
Ila msomi unashinswaje kusoma hulka ya jamii uliyopo ili uepuke majanga jamani.Huko tarime kunasifika Kwa kugechana Sasa wewe unanunua Malaya ka sikujitaftia majanga Nini?
Kuna kitu muhimu sana mwadam anatakiwa afahamu,ajuwe ambayo
"Self intelligence "

Ova
 
Sasa hyo kichwa ngumu ya kuona umalaya na kula wake za watu kumemuondoa kijana mdogo hivi hivi.
Remember Kuna unwritten laws Sasa vichwa ngumu Huwa hamsikii Hadi mlete machungu Kwa familia na hasara Kwa taifa
Ujishasikia mtu anakuja kutana na kifo
Alafu unaambiwa alikuwa bar na mwanamke basi juwa kuna sababu fulani,chanzo kilianzia huko

Ova
 
Bado hakuna palipoonesha kosa la Doctor hapo kuondoka na mwanamke ndio kosa
Mkuu unawajua wakurya ushawai ku interact nao?

Mm nimesoma nao nimeishi nao nawajua in & out....

Kwanza Watanzania wote wangekua ni jamii ya wakurya CCM isingekua madarakani muda huu....
Kwenye hili naishia hapo...

Ukimuonea mkurya jua lazima ata revenge...wana revenge mbaya tena za kuto tumia akili..... ingia YouTube Kuna jamaa waliwai kuua nyumba nzima mpk vitoto, wanyama , mazao mpka masufuria😊

Niliwai kua na Uhusiano na mdada wa kikurya yule ni sura ya baba😊 sura mbaya mweusi ila pisi na shepu kali....

Alikua na upendo sana ila ana hasira sana..aliwai kukiri kua Mimi nimepevuka sana na mtu mwenye maamuzi sahihi 🤓 na mstaimivilivu sana maana wale ni watu wa amri amri sanaa...

Nimechoka ku type...
 
Lengo ni kulifanya jeshi letu la police liwe la vijana weledi, dunia ya sasa ni technology sio mibavu, hawa vijana watakua trained vema na watakuja na attitude mpya,mfano tunapeleka vijana 500 Botswana wakajifunze kuwa traffic officer's,,(nchi hii almost ina zero corruption ),vijana 300 peleka pale USA wakajifunze kuhusu foresinc investigation, crime profile, 200 peleka pale UK, 350 peleka pale Israel wajifunze ili wawe special unit ya public order, hostages, ndio maana tunahitaji young graduates
Mawazo mazuri ila bado tunarudi pale pale ndugu,,, itabidi wale jamaa pale juu wao na vizazi vyao walivyovilisha hiyo sumu vipotee tuanzee upya...

Utaenda BOTSWANA, ISRAEL, USA na kwingine ila ukirudi bado uko chini ya hao hao.... huku makazini siyo kwamba watu hawajui kitu ila ukionekana unataka kuleta kamfumo kako ka kajifanya unajua sana kazi basi hatma yako haitokuwa njema,, ndo maana mwisho wa siku unabaki unaipambania familia yako, nchi ina wenyewe... kwanini nilete ujuaji wakati mipaka yenyewe waliweka WAZUNGU 😁😁

Kuna vitu vingi vinatokea ambavyo hata layman asiye na utaalaam wa kitu husika anashangaa yanayotamkwa na wataalam wanaojizima data kimakusudi ili kulinda mslahi ya kundi fulani...
 
Mmmmmm hamwachukui?una sogeza huu mpira kwa nani?,mimi ningefukuza police wote above 40yrs old, na kuingiza fresh graduates na kuwa train nchi mbalimbali duniani
Sas hili litaifa lakipumbavu haliwataki watu waliosoma sana hasa hasa nje.. wao wanataka majinga yanayoenda kupoteza muda JKT.

yaan ni hivi..

Wewe unayeenda miaka mitano kusoma Cyber security India alafu na mwingine aliyeenda JKT kujitolea ikitokea nafasi. Wewe uliyeenda INDIA hutakuwa Shortlisted na wala kufikiriwa ila bwege aliyeenda JKT kupotezq muda atafikiriwa zaidi yaaan ndio competent ktk hiyo nafasi.

Sas unaona jinsi tunavyozalisha taifa la MAFALA?
 
Back
Top Bottom