Waliomuua yule mtoto albino wahasiwe haraka sana, hawana sifa ya kuitwa binadamu

Ukishaingia kwenye vyombo vya dola ni ufungwe miaka kadhaa au maisha au kunyongwa (adhabu ambayo haitekelezwi zaidi tu ni kufia gerezani)

Ila ilipaswa mtu akituhumiwa kunyongwa anyongwe hadharani kama baadhi ya nchi za kiislamu wanavyofanya, hii ingesaidia kutengeza hofu kwa waharifu.
 
Acha hasira za kijinga. Bado wana nafasi ya kubadilika na wakawa watu wema. Wapewe adhabu zinazostahiki lkn zisikiuke misingi ya kiutu.

Kosa halitibiwi kwa kosa.
Acha masihara wewe wapewe nafasi wameiba kuku au?? Unyama mkubwa kama ule eti wapewe nafasi hebu toka hapa nafasi yao ni kifo cha kikatili sanaaa mbona wao hawakutoa nafasi kwa nafsi ya binti yule
 
Acha hasira za kijinga. Bado wana nafasi ya kubadilika na wakawa watu wema. Wapewe adhabu zinazostahiki lkn zisikiuke misingi ya kiutu.

Kosa halitibiwi kwa kosa.
Wakikamatwa, wapelekwe mahakamani, wakiparikana na hatia, WANYONGWE HADI KUFA KABISAAA.
Hiyo kusema wanaweza kubadilika na kuwa watu wema ni message kutoka kuzimu, kwa shetani mnywa damu za watu. Shetani SHINDWA!
Wanyongwe hadi kufa ili iwe fundisho kwa wajinga wengine wenye mawazo kama yao.
 
⚖️Justice for Asimwe#
 
⚖️Justice for Asimwe#
 
⚖️Justice for Asimwe#
 
Acha hasira za kijinga. Bado wana nafasi ya kubadilika na wakawa watu wema. Wapewe adhabu zinazostahiki lkn zisikiuke misingi ya kiutu.

Kosa halitibiwi kwa kosa.
Wewe unajua ni albino wangapi wamepoteza maisha kwa sababu ya upumbavu wa watu wa aina hiyo?
Unasema adhabu yao isikiuke misingi ya kiutu je hao kitu walichomfanyia huyo mtoto asiye na hatia walizingatia utu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…