Memba wa Jf hatuzidi 50🤣🤣🤣 siku mods wakimerge IDs tutaumbuka humu, we fikiria mtu Kama nanihii ana ID zaidi ya tano🤣🤣Basi tuyaite matembezi ya hiari. Kumbe wale members wa JF ni hewa?
Hata wewe haikuhusu. Bandari ni ya watu wa pwaniBandari haikuhusu? Wadanganyika tuna safari ndefu sana.
Mwisho upi tena unangojea mkuu...!!.ngoja tuone mwsho wake
Unaongelea nyuma ya keyboard toka hadharanTukiondoa uoga, kujipendekeza na unafiki,tunaweza kuionesha serikali kuwa Tanzania hii siyo ile ya Nyerere.
Hii ni Tanzania iliyochangamka, ni Tanzania inayojua nini inahitaji.
Cha msingi ni kuwa na umoja,
(Unit is power) na dhamira ya kweli.
Nguvu ya umma ni zaidi ya risasi na mabomu.
Naona mmekuja kwa kasi kwa MULTIPLE IDs kutengeneza MASS HYSTERIA [emoji1787]Unaongelea nyuma ya keyboard toka hadharan
We naye ungeandamana huko ulipoHapo dar watu ni waoga sana aisee!?
Watawala wajitafakari. Huu siyo mwanzo mwemaNguvu ya Umma ijitokeze kwa namna zote kupinga maeneo ya Tanganyika kugeuzwa makoloni ya mabeberu
19 June 2023
Dar es Salaam, Tanzania
Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari eneo la Mnazi Moja wame kamatwa na jeshi la polisi
We Mwarabu wewee, Bandari hamuichukuiYaani watu 5 hawafiki
We naye ungeandamana huko ulipo
SWAT= Sukuma Watu Twangurungu. .Nini mana ya freedom of expression?Yaa
Polisi wa Tanzania wao wafuata amri na wamejiandaa kuvunja goko za watanganyika wenzao.
Na kufanya hali iwe ya kuogofya zaidi wamejipa jina la SWAT.
Yaani ile FFU haipo tena.
Tanganyika ina safari ndefu sana.
Hapana mida hii nipo Kimansichana.Umeenda andamana?
kawaida ya lokapu mbonaKwanini
Hiyo ni kamba ndefu sana umeandika. JF ina members mamilioni. Sema wakati wa issues muhimu kama maandamano, huwa kila mmoja yuko very committed hawezi kupata muda wa kutokea.Memba wa Jf hatuzidi 50🤣🤣🤣 siku mods wakimerge IDs tutaumbuka humu, we fikiria mtu Kama nanihii ana ID zaidi ya tano🤣🤣