Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

Screenshot_20230619-135728.jpg
 
Yes lugha watakayoizungumza hawa royal families ni street battles sio kulalama humu kwenye soft landing ya JF
 
Tukiondoa uoga, kujipendekeza na unafiki,tunaweza kuionesha serikali kuwa Tanzania hii siyo ile ya Nyerere.

Hii ni Tanzania iliyochangamka, ni Tanzania inayojua nini inahitaji.

Cha msingi ni kuwa na umoja,
(Unit is power) na dhamira ya kweli.

Nguvu ya umma ni zaidi ya risasi na mabomu.
Unaongelea nyuma ya keyboard toka hadharan
 
Wanaume Tanzania tuanze kujitathmini...wanawake ndio wanapigania nchi..alafu unakutana na mtu kama msukuma bungeni hajui hata nini maana ya mkataba
 
Nguvu ya Umma ijitokeze kwa namna zote kupinga maeneo ya Tanganyika kugeuzwa makoloni ya mabeberu

19 June 2023
Dar es Salaam, Tanzania


Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari eneo la Mnazi Moja wame kamatwa na jeshi la polisi

Watawala wajitafakari. Huu siyo mwanzo mwema
 
Yaa

Polisi wa Tanzania wao wafuata amri na wamejiandaa kuvunja goko za watanganyika wenzao.

Na kufanya hali iwe ya kuogofya zaidi wamejipa jina la SWAT.

Yaani ile FFU haipo tena.

Tanganyika ina safari ndefu sana.
SWAT= Sukuma Watu Twangurungu. .Nini mana ya freedom of expression?
 
Memba wa Jf hatuzidi 50🤣🤣🤣 siku mods wakimerge IDs tutaumbuka humu, we fikiria mtu Kama nanihii ana ID zaidi ya tano🤣🤣
Hiyo ni kamba ndefu sana umeandika. JF ina members mamilioni. Sema wakati wa issues muhimu kama maandamano, huwa kila mmoja yuko very committed hawezi kupata muda wa kutokea.
 
Back
Top Bottom