Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

Mbona wametumia nguvu kubwa sana kwa jambo dogo kabisa
Katiba inasemaje kuhusu maandamano?
 
If we don't handle our independence very well,colonizers will come back in form of investors
 
hao waliowakamata wenyewe wanaonekana mioyo yao inaandamana na bado watawala wakae wakijua pamoja kwamba chini ya majivu hakutoi moshi lakini moto uliokuwepo ni mkubwa kuzidi wanavyoweza kufikiria.
na hizi ni dalili punda kachoka sasa kubeba mzigo ni swala la muda tu ila kabla hatujafa tutaona kizazi hiki kitakavyoamua!
 
Mkuu mbona POVU kama huyo kiumbe wa kwenye AVATAR yako.................
[emoji18][emoji18][emoji846][emoji846][emoji3526][emoji3526][emoji4][emoji4]
Acheni unafiki na uoga.
 
Kwa akili kama hizi zako ni mfano wa akili za watanzania wote ndo maana mtu ana-sign mkataba alafu ndo anawaletea
Tunasafari ndefu sana kama nchi
Nenda kaandamane tuone kusikitishwa kwako kwa hayo makubaliano, tofauti na hapo ni unafiki tu umekujaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…