Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

Kwa akili kama zako tunasafari ndefu sana kama nchi
Mgonjwa huyo. Comments zake nyingi huwa zina viashiria vya SADISM.

Kwenye kila uzi anapenda comments za kuchochea ukatili, mauaji, na vitisho.

Ni mgonjwa.
 
Binafsi nilisema hakuna tutachoweza zuia kisifanyike.
Watanzani sio wapambanaj by nature ndo maana hata kwenye timu zetu za mpira masupastaa sio wazawa, ukienda kwa diaspora wakenya na wanigeria ndo unawaona in short hatuna kizazi cha wapambanaji

Ni kweli wengi wetu hatujashiriki maandamano lakin swala la kufurahia wale waliondamana kukamatwa ni jambo linalofikirisha sana
 
Tia ndani wafitini hao mbao hutumia vibaya upole wa Rais.
 
Mbona we hujaandamana?
Shujaa wa mtandaoni
Sio kila mtu anaamin kudai haki kupitia maandaman wengine wanaprefer violence, wengine non violence, wengine peaceful demostration, wengine violence demostration lakin mwisho wa siku lengo ni moja na kamwe siwez furahia mtu anakamatwa kwa sababu anapigania maslai ya watanzania wote huo utakua ni uzwazwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo limtu nahisi litakuwa lina maisha magumu sana.

Halafu uso wake una MATUTA kama afande wa kikurya.

Amejaa uchungu na masononeko kila wakati, sasa uso utaachaje kuwa na MATUTA kwa mfano!

Huyu JINI CHEKETU HIMARS
 
Unajichosha bure unabishana na JINI CHEKETU HIMARS
 
Hii nchi hatuandaman! Tunachapa kaz
 
Mgonjwa huyo. Comments zake nyingi huwa zina viashiria vya SADISM.

Kwenye kila uzi anapenda comments za kuchochea ukatili, mauaji, na vitisho.

Ni mgonjwa.
Tukubali Tanzania tunawatu wengi wanamatatizo ya akili a.k.a mental health na huku jamiiforum imekua ni sehemu ya watu kumalizia stress zao za maisha

Haiwezekan mtu au kikundi cha watu wanapigania maslai mpaka yako alafu unambeza lazima utakua na tatizo la akili
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Si mwanademocrasia wenu huyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaka juzi Hawa walikuwa mstari wa mbele kusema mama anaupiga mwingi..

Wakasema sasa wanapumua[emoji1787]
Shetani amekufa.


Mimi kwa vyovyote vile siwezi msapoti yeyote aliyetoa kejeli kwa Magu.
Nipo sipo upande wowote.
 
kwani we hapo ulipo hufanyikazi au. alifungua nchi akasema wakulima muuze mazao yenu mnavyotaka. mkapiga kelele kuwa vyakula vimepanda bei. kasema tena vyakula visuuzwe nje bado mnapiga kelele kuwa asipige marufuku. mtanzania nikiumbe waajabu duniani. aliumbwa kulalamika kwa kila jambo hata ambalo halifahamu
 
Huyo mratibu wa maandamo inatakiwa apigwe kitu aende kuzimu ,ni wahaini hao
 
Huyu HIMARS ni JINI CHEKETU.

Anapenda sana vayolensi, akamatwe kabla hajawadhuru watu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilkuwepo,
Maana tuliambiwa huyu mama ni mwana democrasia nikashangaa kukutana na virungu.
Wakasema tumfuate jiwe Chato kama tunajidai tuna uchungu sana


Mama anafungua nchi
Anaupiga mwingi.
Mitano kwake.
 
Hao vijana walioandamana pongezi kwao.

Kila jambo huanza kidogo kidogo, hawa wameonyesha njia.

Kuna watakaofuata kwa mafanikio makubwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…