HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Mbona we hujaandamana?Kwa akili kama zako tunasafari ndefu sana kama nchi
Shujaa wa mtandaoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona we hujaandamana?Kwa akili kama zako tunasafari ndefu sana kama nchi
Mgonjwa huyo. Comments zake nyingi huwa zina viashiria vya SADISM.Kwa akili kama zako tunasafari ndefu sana kama nchi
Watanzani sio wapambanaj by nature ndo maana hata kwenye timu zetu za mpira masupastaa sio wazawa, ukienda kwa diaspora wakenya na wanigeria ndo unawaona in short hatuna kizazi cha wapambanajiBinafsi nilisema hakuna tutachoweza zuia kisifanyike.
Mkuu,Acheni unafiki na uoga.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mgonjwa huyo. Comments zake nyingi huwa zina viashiria vya SADISM.
Kwenye kila uzi anapenda comments za kuchochea ukatili, mauaji, na vitisho.
Ni mgonjwa.
Tia ndani wafitini hao mbao hutumia vibaya upole wa Rais.Vijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa.
Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja.
========
WALIOANDAMANA WAISHIA MIKONONI MWA POLISI
Taarifa za awali zinaeleza kuwa vijana waliokuwa wameandamana kupinga Mkataba wa Bandari eneo la Mnazi Mmoja kuelekea Ikulu ya Magogoni Dar es salaam wamekamatwa na Jeshi la PolisiTaarifa zaidi zitawajia endelea kutufatilia.
MRATIBU WA MAANDAMANO AINGIA MITINI
Jeshi la Polisi limewakamata baadhi ya vijana waliojitokeza kuandamana kupinga mkataba wa ushirikiano wa uendeshaji wa bandari kati ya Kampuni ya DP World na Tanzania.
Hata hivyo, a mratibu wa maandamano hayo, Deus Sokkatika hali ya kutofahamika, hajatokea kwenye maandamano hayo yaliyopangwa kuanzia Temeke na kuishia Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Mwananchi Digital ilipomtafuta kwa simu zake zote za kiganjani, hakupatikana na katika majina ya waliokamatwa na polisi pia jina lake halikuwepo.
Juni 15 mwaka huu Deus Soka ambaye aligombea udiwani katika Uchaguzi Mkuu wa 2020, alitangaza kuitisha maandamano kupinga mkataba wa ushirikiano wa uendeshaji wa bandari kati ya Kampuni ya DP World na Tanzania.
Hata hivyo Juni 17 Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam likipiga marufuku maandamano hayo na kueleza kuwa, mtu aliyeandaa maaandamano hayo ameshajibiwa kwa barua akielezwa ni marufuku kufanyika maandamano yoyote.
Juni 10, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha azimio kuhusu pendekezo la kuridhiwa kwa mkataba baina ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha ushirikiano katika uendelezaji wa maeneo ya bandari nchini.
Pendekezo hilo liliwasilishwa bungeni Juni 10, na kupitishwa na Bunge baada ya wabunge kupata fursa ya kuchangia na kuishauri Serikali kuhusu mkataba huo.
Mwananchi
PIA, SOMA:
- Vijana kufanya Maandamano kupinga Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na kampuni ya DP World ya Dubai
- Polisi yapiga marufuku maandamano ya kwenda Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam, Jumatatu Juni 19, 2023
Sio kila mtu anaamin kudai haki kupitia maandaman wengine wanaprefer violence, wengine non violence, wengine peaceful demostration, wengine violence demostration lakin mwisho wa siku lengo ni moja na kamwe siwez furahia mtu anakamatwa kwa sababu anapigania maslai ya watanzania wote huo utakua ni uzwazwaMbona we hujaandamana?
Shujaa wa mtandaoni
Hilo limtu nahisi litakuwa lina maisha magumu sana.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu yangu CrimeaHao watu wameonesha njia,,
Nilifikiri tutajitoa wote kwenda kuonesha njia na kumfanya saa100 alale na viatu kumbe walaa
Unajichosha bure unabishana na JINI CHEKETU HIMARSSio kila mtu anaamin kudai haki kupitia maandaman wengine wanaprefer violence, wengine non violence, wengine peaceful demostration, wengine violence demostration lakin mwisho wa siku lengo ni moja na kamwe siwez furahia mtu anakamatwa kwa sababu anapigania maslai ya watanzania wote huo utakua ni uzwazwa
Hii nchi hatuandaman! Tunachapa kazVijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa.
Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja.
========
WALIOANDAMANA WAISHIA MIKONONI MWA POLISI
Taarifa za awali zinaeleza kuwa vijana waliokuwa wameandamana kupinga Mkataba wa Bandari eneo la Mnazi Mmoja kuelekea Ikulu ya Magogoni Dar es salaam wamekamatwa na Jeshi la PolisiTaarifa zaidi zitawajia endelea kutufatilia.
MRATIBU WA MAANDAMANO AINGIA MITINI
Jeshi la Polisi limewakamata baadhi ya vijana waliojitokeza kuandamana kupinga mkataba wa ushirikiano wa uendeshaji wa bandari kati ya Kampuni ya DP World na Tanzania.
Hata hivyo, a mratibu wa maandamano hayo, Deus Sokkatika hali ya kutofahamika, hajatokea kwenye maandamano hayo yaliyopangwa kuanzia Temeke na kuishia Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Mwananchi Digital ilipomtafuta kwa simu zake zote za kiganjani, hakupatikana na katika majina ya waliokamatwa na polisi pia jina lake halikuwepo.
Juni 15 mwaka huu Deus Soka ambaye aligombea udiwani katika Uchaguzi Mkuu wa 2020, alitangaza kuitisha maandamano kupinga mkataba wa ushirikiano wa uendeshaji wa bandari kati ya Kampuni ya DP World na Tanzania.
Hata hivyo Juni 17 Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam likipiga marufuku maandamano hayo na kueleza kuwa, mtu aliyeandaa maaandamano hayo ameshajibiwa kwa barua akielezwa ni marufuku kufanyika maandamano yoyote.
Juni 10, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha azimio kuhusu pendekezo la kuridhiwa kwa mkataba baina ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha ushirikiano katika uendelezaji wa maeneo ya bandari nchini.
Pendekezo hilo liliwasilishwa bungeni Juni 10, na kupitishwa na Bunge baada ya wabunge kupata fursa ya kuchangia na kuishauri Serikali kuhusu mkataba huo.
Mwananchi
PIA, SOMA:
- Vijana kufanya Maandamano kupinga Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na kampuni ya DP World ya Dubai
- Polisi yapiga marufuku maandamano ya kwenda Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam, Jumatatu Juni 19, 2023
Tukubali Tanzania tunawatu wengi wanamatatizo ya akili a.k.a mental health na huku jamiiforum imekua ni sehemu ya watu kumalizia stress zao za maishaMgonjwa huyo. Comments zake nyingi huwa zina viashiria vya SADISM.
Kwenye kila uzi anapenda comments za kuchochea ukatili, mauaji, na vitisho.
Ni mgonjwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si mwanademocrasia wenu huyo?
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilkuwepo,Ndugu yangu Crimea
Sijakuona hapa Posta[emoji23]
kwani we hapo ulipo hufanyikazi au. alifungua nchi akasema wakulima muuze mazao yenu mnavyotaka. mkapiga kelele kuwa vyakula vimepanda bei. kasema tena vyakula visuuzwe nje bado mnapiga kelele kuwa asipige marufuku. mtanzania nikiumbe waajabu duniani. aliumbwa kulalamika kwa kila jambo hata ambalo halifahamuMarais waislam hawafanyagi lolote la maana zaidi ya kuuza nchi yetu.
Kilio cha ubinafisishaji na mikataba ya hovyo ilisainiwa enzi za utawala wa Mwinyi, Kikwete na sasa Samia!
Ma Rais waislam hawa hamasishi watu kufanya kazi badala yake huwa hamasisha watu kukabidhi rasilimali zao kwa watu wengine na wao wawe watazamaji tu.
Marais wakiristo wanaamini katika kufanya kazi na kujitegemea, angalia kuanzia Nyerere, Mkapa, na Magufuli waliamini katika kufanya kazi na kujitegemea kupitia ujenzi wa viwanda.
Tatizo ni elimu au malezi?
Huyo mratibu wa maandamo inatakiwa apigwe kitu aende kuzimu ,ni wahaini haoVijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa.
Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja.
========
WALIOANDAMANA WAISHIA MIKONONI MWA POLISI
Taarifa za awali zinaeleza kuwa vijana waliokuwa wameandamana kupinga Mkataba wa Bandari eneo la Mnazi Mmoja kuelekea Ikulu ya Magogoni Dar es salaam wamekamatwa na Jeshi la PolisiTaarifa zaidi zitawajia endelea kutufatilia.
MRATIBU WA MAANDAMANO AINGIA MITINI
Jeshi la Polisi limewakamata baadhi ya vijana waliojitokeza kuandamana kupinga mkataba wa ushirikiano wa uendeshaji wa bandari kati ya Kampuni ya DP World na Tanzania.
Hata hivyo, a mratibu wa maandamano hayo, Deus Sokkatika hali ya kutofahamika, hajatokea kwenye maandamano hayo yaliyopangwa kuanzia Temeke na kuishia Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Mwananchi Digital ilipomtafuta kwa simu zake zote za kiganjani, hakupatikana na katika majina ya waliokamatwa na polisi pia jina lake halikuwepo.
Juni 15 mwaka huu Deus Soka ambaye aligombea udiwani katika Uchaguzi Mkuu wa 2020, alitangaza kuitisha maandamano kupinga mkataba wa ushirikiano wa uendeshaji wa bandari kati ya Kampuni ya DP World na Tanzania.
Hata hivyo Juni 17 Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam likipiga marufuku maandamano hayo na kueleza kuwa, mtu aliyeandaa maaandamano hayo ameshajibiwa kwa barua akielezwa ni marufuku kufanyika maandamano yoyote.
Juni 10, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha azimio kuhusu pendekezo la kuridhiwa kwa mkataba baina ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha ushirikiano katika uendelezaji wa maeneo ya bandari nchini.
Pendekezo hilo liliwasilishwa bungeni Juni 10, na kupitishwa na Bunge baada ya wabunge kupata fursa ya kuchangia na kuishauri Serikali kuhusu mkataba huo.
Mwananchi
PIA, SOMA:
- Vijana kufanya Maandamano kupinga Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na kampuni ya DP World ya Dubai
- Polisi yapiga marufuku maandamano ya kwenda Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam, Jumatatu Juni 19, 2023
Huyu HIMARS ni JINI CHEKETU.Tukubali Tanzania tunawatu wengi wanamatatizo ya akili a.k.a mental health na huku jamiiforum imekua ni sehemu ya watu kumalizia stress zao za maisha
Haiwezekan mtu au kikundi cha watu wanapigania maslai mpaka yako alafu unambeza lazima utakua na tatizo la akili
Wakasema tumfuate jiwe Chato kama tunajidai tuna uchungu sana[emoji23][emoji23][emoji23]Nilkuwepo,
Maana tuliambiwa huyu mama ni mwana democrasia nikashangaa kukutana na virungu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]