Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Mtu kaenda nje ya nyumba ya mbowe, anapiga picha afu unasema kaandamana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilimsikia leo asubuhi kamanda Murilo akipiga mkwara kwa wataoandamana,nikamwona bonge la mshamba.Tukiondoa uoga, kujipendekeza na unafiki,tunaweza kuionesha serikali kuwa Tanzania hii siyo ile ya Nyerere.
Hii ni Tanzania iliyochangamka, ni Tanzania inayojua nini inahitaji.
Cha msingi ni kuwa na umoja,
(Unit is power) na dhamira ya kweli.
Nguvu ya umma ni zaidi ya risasi na mabomu.
Basi kaa kwa kutulia,Hapana mkuu.
Huwezi kuletewa uhuru kwenye sahani lazima baadhi yetu waumie.Wapo mahabusu mkuu, sasjui itakuaje...🤔
Polisi wa Tanzania wao wafuata amri na wamejiandaa kuvunja goko za watanganyika wenzao.Vijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa.
UPDATES
HABARI ZA HIVI PUNDE:
Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja.
========
View attachment 2662138
Umeenda andamana?Yaa
Polisi wa Tanzania wao wafuata amri na wamejiandaa kuvunja goko za watanganyika wenzao.
Na kufanya hali iwe ya kuogofya zaidi wamejipa jina la SWAT.
Yaani ile FFU haipo tena.
Tanganyika ina safari ndefu sana.
Mashujaa wa taifaVijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa.
UPDATES
HABARI ZA HIVI PUNDE:
Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja.
========
View attachment 2662138
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umefika Posta?
Bandari haikuhusu? Wadanganyika tuna safari ndefu sana.Basi kaa kwa kutulia,
Binafsi siwezi poteza muda kwa visivyo nihusu
Mbowe kala hela za wakenya alafu anawatumia. Ngoja wakanyee kidebeSasa hao wanajua hata maana ya bandari, ni wazururaji tu waliokosa au wasiotaka kufanya kazi, inaonekana walipanga kufaidika na maandamano kwa kuvunja na kuiba
hawa wametumwaaaa, siyo maoni ya watanzaniaVijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa.
Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja.
========
WALIOANDAMANA WAISHIA MIKONONI MWA POLISI
Taarifa za awali zinaeleza kuwa vijana waliokuwa wameandamana kupinga Mkataba wa Bandari eneo la Mnazi Mmoja kuelekea Ikulu ya Magogoni Dar es salaam wamekamatwa na Jeshi la PolisiTaarifa zaidi zitawajia endelea kutufatilia
View attachment 2662138
Usicheke, ujue watu ni mahodari wa mtandaoni ila kwenye tukio hawatokei.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwamba nina kazi pale?Bandari haikuhusu?
Kuwazuia hao waandamanaji ndio wanaharibu kabisa, polisi wanathibitisha Tanganyika tunatawaliwa na mkoloni.
Kawaunge mkono, sio umekaa mbali na kusema mashujaa wa taifaMashujaa wa taifa
Mashujaa wa TaifaVijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa.
Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja.
========
WALIOANDAMANA WAISHIA MIKONONI MWA POLISI
Taarifa za awali zinaeleza kuwa vijana waliokuwa wameandamana kupinga Mkataba wa Bandari eneo la Mnazi Mmoja kuelekea Ikulu ya Magogoni Dar es salaam wamekamatwa na Jeshi la PolisiTaarifa zaidi zitawajia endelea kutufatilia
View attachment 2662138
Tukiondoa uoga, kujipendekeza na unafiki,tunaweza kuionesha serikali kuwa Tanzania hii siyo ile ya Nyerere.
Hii ni Tanzania iliyochangamka, ni Tanzania inayojua nini inahitaji.
Cha msingi ni kuwa na umoja,
(Unit is power) na dhamira ya kweli.
Nguvu ya umma ni zaidi ya risasi na mabomu.