Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

Dar Es Salaam, Tanzania

Mtaa wa Bibi Titi Mohamed, mama shujaa mhamashishaji tajwa ktk siasa za uzalendo aliyeongoza kudai uhuru wa Tanganyika ndiyo mtaa huu jijini Dar es Salaam, Tanzania umebeba jina la mpigania haki mwana mama.

Leo miaka 61 baadaye 2023 vijana wasio waoga nao wameingia ktk mtaa huu kupinga mkataba wa bandari wakiwa na hoja zile zile za Bibi Titi Mohamed ....

 
Ila nchi ina wanafiki sana, yan watu waliocomment huu uzi ni wengi kuliko waliofika kwenye maandamo 😂😂😂😂 wakati jana watu wote wanasema tunaenda, hakuna cha viongozi sijui kina Maria na wenzake, kusema kweli

Mimi binafsi siafiki kufanya maandamano kiholela holela, kama unapinga mkataba nenda mahakamani, ukatafute point nzuri ushinde, tukichekea maandamano tutavunja amani kizembe sanaa
 
hahaaaaa jamani situlikubaliana leo tumwagike majiani bandari isiuzwe kwa mwarabu wa dubai? mnacheza na selikali sio kisa mmepewa hela na maadui wa taifa.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nilikuwa hiyo mitaa fasta nikaondoka
Nisije jumlishiwa bure wakati nilikuwa napita tu.

Niendelee na kubake keki zangu.
Ungetulia uone remand pakoje
 
Back
Top Bottom