Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Basi nyamaza. Waachie hao unaowaita wajinga waende kuumizwa.Mi siwezi unga mkono ujinga wa kwenda umizwa.
Amandla...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi nyamaza. Waachie hao unaowaita wajinga waende kuumizwa.Mi siwezi unga mkono ujinga wa kwenda umizwa.
Hahahaha hahahaha keyboard warriors sio kwamba twende polisi tukamkomboe mwenzetu?Da maria sarungi atawatoa hao in a minute wala wasijali
Shirikianeni sasa; mnangoja nini?Tukishirikiana vizuri hao polisi hawataweza kutufanya chochote…
OMBI, hao ni wazururaji hawana kazi za kufanya, hawana majukumu ya kifamilia, watupwe lupango siku 90,and then wapatiwe vitalu vya kilimo Cha kisasa.Washasombwa na karandinga, watapigwa leo.
Kitambo.....he mahabusu tena ina maana mulilo keshafanya yake kuonekana anawajibika🤷♀️
demokrasia demokrasia demokrasia demokrasia
Demokrasia ni pamoja na kutii bila shuruti taratibu zilizopo!he mahabusu tena ina maana mulilo keshafanya yake kuonekana anawajibika🤷♀️
demokrasia demokrasia demokrasia demokrasia
Safi sana mkuu, endelea kuandamana nyuma ya keyboard...😜Tukishirikiana vizuri hao polisi hawataweza kutufanya chochote.mimi kwenye maandamano alitaka kunikamata polisi nikamzaba kibao hadi aliona nyota na kuniacha.
Waambie waende msituni.Tusiporuhusu watu kuandamana kwa amani ndio tutavunja amani kwa kuwaaminisha kuwa njia pekee ni maandamano ya fujo. Tunaua nzi kwa risasi.
Amandla...
Nikweli mkuu, nikama wewe naona upo tayari kabisa na unaumia hapa nyuma ya keyboard...😝Huwezi kuletewa uhuru kwenye sahani lazima baadhi yetu waumie.
Vijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa.
Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja.
========
WALIOANDAMANA WAISHIA MIKONONI MWA POLISI
Taarifa za awali zinaeleza kuwa vijana waliokuwa wameandamana kupinga Mkataba wa Bandari eneo la Mnazi Mmoja kuelekea Ikulu ya Magogoni Dar es salaam wamekamatwa na Jeshi la PolisiTaarifa zaidi zitawajia endelea kutufatilia
View attachment 2662138
Acha we!!!Tukishirikiana vizuri hao polisi hawataweza kutufanya chochote.mimi kwenye maandamano alitaka kunikamata polisi nikamzaba kibao hadi aliona nyota na kuniacha.
UmeandamanaZile picha za Samia anaunganisha watu hazina maana tena
Mbona mnaongea mitandaoni tu hamuendi kupambana?Kuwazuia hao waandamanaji ndio wanaharibu kabisa, polisi wanathibitisha Tanganyika tunatawaliwa na mkoloni.