Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

Vijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa.

Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja.

========

WALIOANDAMANA WAISHIA MIKONONI MWA POLISI

Taarifa za awali zinaeleza kuwa vijana waliokuwa wameandamana kupinga Mkataba wa Bandari eneo la Mnazi Mmoja kuelekea Ikulu ya Magogoni Dar es salaam wamekamatwa na Jeshi la PolisiTaarifa zaidi zitawajia endelea kutufatilia

View attachment 2662138
 
Attachments

  • IMG_0804.MP4
    5.4 MB
  • 6051BBD6-ED8D-42B9-9F46-42BA9D5569DD.jpeg
    6051BBD6-ED8D-42B9-9F46-42BA9D5569DD.jpeg
    140.9 KB · Views: 1
  • 9E151784-CC0E-4B5C-BAE7-689D02D825FA.jpeg
    9E151784-CC0E-4B5C-BAE7-689D02D825FA.jpeg
    51.3 KB · Views: 1
Safi sana, acha waswekwe ndani, na iwe fundisho kwa wengine, yani mtu anaandama anaacha familia yake anakamatwa na kuswekwa ndani wakati aliewatuma kuandamana yupo zake nyumbani kwake na familia yake anakula bata, hii akili ya wapi!!! Kosa mwarabu kupewa bandari 😅
 
Tukishirikiana vizuri hao polisi hawataweza kutufanya chochote.mimi kwenye maandamano alitaka kunikamata polisi nikamzaba kibao hadi aliona nyota na kuniacha.
Acha we!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Vijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa.

Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja.

========

WALIOANDAMANA WAISHIA MIKONONI MWA POLISI

Taarifa za awali zinaeleza kuwa vijana waliokuwa wameandamana kupinga Mkataba wa Bandari eneo la Mnazi Mmoja kuelekea Ikulu ya Magogoni Dar es salaam wamekamatwa na Jeshi la PolisiTaarifa zaidi zitawajia endelea kutufatilia

View attachment 2662138

😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom