Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

Nilimsikia leo asubuhi kamanda Murilo akipiga mkwara kwa wataoandamana,nikamwona bonge la mshamba.

Hawa jamaa kwa madhambi yao ndiyo maana wakistaafu tu Mungu anawazawadia kiharusi waangaike nacho.
 
Yaa
Polisi wa Tanzania wao wafuata amri na wamejiandaa kuvunja goko za watanganyika wenzao.

Na kufanya hali iwe ya kuogofya zaidi wamejipa jina la SWAT.

Yaani ile FFU haipo tena.

Tanganyika ina safari ndefu sana.
 
Yaa

Polisi wa Tanzania wao wafuata amri na wamejiandaa kuvunja goko za watanganyika wenzao.

Na kufanya hali iwe ya kuogofya zaidi wamejipa jina la SWAT.

Yaani ile FFU haipo tena.

Tanganyika ina safari ndefu sana.
Umeenda andamana?
 
Mashujaa wa taifa
 
hawa wametumwaaaa, siyo maoni ya watanzania
 
Kuwazuia hao waandamanaji ndio wanaharibu kabisa, polisi wanathibitisha Tanganyika tunatawaliwa na mkoloni.

TOKA MAKTABA :
25 April 2022

TANZANIA KUPIMWA KTK MZANI WA HAKI ZA KIURAIA , HIVYO TUME YA UMOJA WA MATAIFA (UN) HAKI ZA BINADAMU YATUA TANZANIA


Kamisheni ya Haki za Binaadamu ya UN yatua nchini; hiki ndio wanachofanya kufuatilia ahadi ilizotoa Tanzania, pia serikali yabanwa na UN kuwa iwe wazi waTanzania wafahamu serikali yao iliridhia nini ktk masuala 252 iliyosaini na kuikubali kwa niaba ya wananchi


Timu ya umoja wa mataifa inayoshughulikia Haki za Binaadamu na utawala bora imekuja nchini kujadiliana na Tume ya Haki za Binaadamu na utawala bora juu ya masuala mbalimbali yanayohusu haki za binaadamu ikiwemo haki za binaadamu katika wananchi kufahamishwa ni mikataba gani inayohusu haki za binadamu iliyoridhiwa na serikali ya Tanzania iliyoridhia huko Geneva Uswisi Ofisi za Kamishina wa UN wa Haki za Binadamu kama anavyotueleza Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala bora Nchini Tanzania Human Rights Council Adopts Outcomes of Universal Periodic Review of Saint Vincent and the Grenadines, Papua New Guinea, Tajikistan and Tanzania
 
Mashujaa wa Taifa
 
 

Attachments

  • IMG_20220927_190940_421.jpg
    55.7 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…