Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

slaa alikuwepo?
 
Usicheke, ujue watu ni mahodari wa mtandaoni ila kwenye tukio hawatokei.

Wahamasishaji wote hakuna aliyetokea

Waliokamatwa wanaenda nyooshwa afu maumivu wanasikilizia wenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utasikia mashujaa wamepambana kiume.
 
Safi
 
Mbona kama naona picha kwenye mabango na haina uhusiano na bandari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…