OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
My Take
Nawaambieni ukweli mchungu.
Katika serikali zilizojaa uozo serikali ya Magufuli ni nambari wani.
Mambo mengi sana ya hovyo yalifanyika chini ya uchochoro wa uzalendo.
Mzalendo na waliokuwa chini yake wamechakaza sana mali za umma na watu binafsi