Walionyang'anywa mali na Hayati Magufuli waomba kurudishwa mali zao

Hata yakiandika magazeti yote na television zote zikatangaza kumchafua Magu!

Haiondoi ukweli ukweli kuwa wafanya biashara wengi walidaiwa pesa za ukwepaji kodi walizokuwa wakiibia serikali pamoja na kina Mbowe!

Ukitaka uwe mbaya, dai chako, JPM aliwadai wafanya biashara kodi nanihalali kabisa kwa nchi, lakini eti huo umekuwa ni ubaya? Nchi ya kipumbavu sana hii
Awamu ya tano ilikuwa inaongoza kwa ufisadi na ujambazi kama kina sabaya
 
View attachment 2503193

My Take
Nawaambieni ukweli mchungu.
Katika serikali zilizojaa uozo serikali ya Magufuli ni nambari wani.

Mambo mengi sana ya hovyo yalifanyika chini ya uchochoro wa uzalendo.

Mzalendo na waliokuwa chini yake wamechakaza sana mali za umma na watu binafsi
Jambazi yule natumai keshaunguzwa moto huko kuzimu
 
Akina Lissu na Myika Chadema Co,ndio walikuwa wanatoa povu bungeni tena kwa ushaidi wa nyaraka kuwa akina Simbion na APTL ni wezi wanaujumu Serikali, Magufuli alivyofanikiwa kupata madaraka akisikiliza maoni yao ndipo aliwakamata Setti na Rugemarila ili angalau waweze kurejesha kiasi kidogo.Sasa hapo Magufuli alikuwa na shida hipi wakati wote waliokamatwa haidha walitajwa bungeni au kwenye kamati zilizoundwa kisheria na Magufuli alitekeleza maoni ya kamati yaliyochambuliwa kitaamu pamoja na nyaraka.
kwahiyo wakirudisha hiyo kiasi ndo mwendazake akayafiche huko china
 
Hata yakiandika magazeti yote na television zote zikatangaza kumchafua Magu!

Haiondoi ukweli ukweli kuwa wafanya biashara wengi walidaiwa pesa za ukwepaji kodi walizokuwa wakiibia serikali pamoja na kina Mbowe!

Ukitaka uwe mbaya, dai chako, JPM aliwadai wafanya biashara kodi nanihalali kabisa kwa nchi, lakini eti huo umekuwa ni ubaya? Nchi ya kipumbavu sana hii
Mapenzi upofu bro, Kila la kheri!!
 
Mitoto ya wezi katika ubora wako.
Serikali ya Samia imejaa wezi, hivyo lazima wezi watetee wezi wenzao.

Kila mtu alienyang'anywa pesa alikuwa mwizi, hivyo walikuwa wanarudisha walichoiba.

Mtapambana lakini hamtaweza.
Hatamfanye je wanachi hawatawaelewa.
Wananchi ndio sisi na tunasema

To hell he deserve.
 
Akina Lissu na Myika Chadema Co,ndio walikuwa wanatoa povu bungeni tena kwa ushaidi wa nyaraka kuwa akina Simbion na APTL ni wezi wanaujumu Serikali, Magufuli alivyofanikiwa kupata madaraka akisikiliza maoni yao ndipo aliwakamata Setti na Rugemarila ili angalau waweze kurejesha kiasi kidogo.Sasa hapo Magufuli alikuwa na shida hipi wakati wote waliokamatwa haidha walitajwa bungeni au kwenye kamati zilizoundwa kisheria na Magufuli alitekeleza maoni ya kamati yaliyochambuliwa kitaamu pamoja na nyaraka.
Yaani Rais Magufuli alikuwa akihukumu mafisadi kwa "ushahidi" wa hoja na nyaraka zilizotolewa bungeni na akina Lissu, Mnyika, CHADEMA, kamati, na wachambuzi? Ndivyo Magufuli alivyokuwa akifanya kazi?
 
Wewe ni maskini au una roho ya kimaskini ndo maana hupendi utawala huu wa haki. Alishasema Zitto kama inawauma sana nendeni mkazikwe pembeni ya kaburi la shujaa wenu.
Kati ya sisi na wale msio Isha kumtaja nani inawauma zaidi. Mtu hayupo kutwa kumsema Kwa Nini?
 
Vyeti feki, wakwepa Kodi na wezi was pesa za umma lazima mfurahi Hilo halina ubishi.

Hakika kama kungekuwa na upinzani makini 2025 mngeaibika sana
Usifiche maumivu yako kwa vyeti batili au hao wezi(ambao hawajathibitishwa wizi wao)kwa makosa ya mtu.Kuna watu wanalalamika kuonewa bila kuwa na makosa.Mlielewe hilo hata kama hampendi ili kumtetea mpendwa wenu.Uungwana ni kukubali kwamba alikuwa na udhaifu mkubwa kiutendaji na maamuzi ya hovyo.Mkikaza sana shingo mtajiumiza kwa hiyari yenu.
 
Hata yakiandika magazeti yote na television zote zikatangaza kumchafua Magu!

Haiondoi ukweli ukweli kuwa wafanya biashara wengi walidaiwa pesa za ukwepaji kodi walizokuwa wakiibia serikali pamoja na kina Mbowe!

Ukitaka uwe mbaya, dai chako, JPM aliwadai wafanya biashara kodi nanihalali kabisa kwa nchi, lakini eti huo umekuwa ni ubaya? Nchi ya kipumbavu sana hii
Sawa, tufanye alikusanya kodi halali, je waweza kutuambia alikusanya sh. ngapi kwenye hiyo lea bargaining na ziko wapi?
 
Kati ya sisi na wale msio Isha kumtaja nani inawauma zaidi. Mtu hayupo kutwa kumsema Kwa Nini?
Mmoja kamsema negatively halafu na weye ukaingia kumtetea kwa kumtaja positevely,ni kwamba wote mnafanya jambo moja kwa maono tofauti.Wote mnamtaja.Kama ni kero,tulia,nyamaza ili akose muendelezo.Jinsi unavyojibu ndivyo unao geza maswali,dodoso na wahka kwako.
 
Usifiche maumivu yako kwa vyeti batili au hao wezi(ambao hawajathibitishwa wizi wao)kwa makosa ya mtu.Kuna watu wanalalamika kuonewa bila kuwa na makosa.Mlielewe hilo hata kama hampendi ili kumtetea mpendwa wenu.Uungwana ni kukubali kwamba alikuwa na udhaifu mkubwa kiutendaji na maamuzi ya hovyo.Mkikaza sana shingo mtajiumiza kwa hiyari yenu.
Ndugu Sina maumivu yoyote ila lazima ifike mahali tuwamvie ukweli. Mtu yoyote aliekuwa anamchukia yule mzee lazima alikuwa na makando kando.
Unaonekana wewe nae ni moja wao hivyo siwezi kubishana nawe.
 
View attachment 2503193

My Take
Nawaambieni ukweli mchungu.
Katika serikali zilizojaa uozo serikali ya Magufuli ni nambari wani.

Mambo mengi sana ya hovyo yalifanyika chini ya uchochoro wa uzalendo.

Mzalendo na waliokuwa chini yake wamechakaza sana mali za umma na watu binafsi
Lile shetani liliitesa sana private sector, lilitaka nchi nzima waitwe wanyonge. Pumbavu kabisa, life tena huko kaburini.
 
Mitoto ya wezi katika ubora wako.
Serikali ya Samia imejaa wezi, hivyo lazima wezi watetee wezi wenzao.

Kila mtu alienyang'anywa pesa alikuwa mwizi, hivyo walikuwa wanarudisha walichoiba.

Mtapambana lakini hamtaweza.
Hatamfanye je wanachi hawatawaelewa.
Sawa tuambie wewe basi hizo pesa ni kiasi gani ni ziliwekwa wapi
 
Yaani Rais Magufuli alikuwa akihukumu mafisadi kwa "ushahidi" wa hoja na nyaraka zilizotolewa bungeni na akina Lissu, Mnyika, CHADEMA, kamati, na wachambuzi? Ndivyo Magufuli alivyokuwa akifanya kazi?
Magufuli alikuwa akiunda tume inakuja na mapendekezo,haidha ya bunge au ya tume iliyoundwa kisheria,mfn akina Lugemalira yalikuwa ni mapendekezo ya tume ya bunge iliyoundwa kisheria na bunge la akina mwakyembe, badae ikaundwa tume ya Makenikia ya professor Muruma nayo ikaja na mapendekezo jinsi ya kufanya watendaji wazembe walioingiza nchi hii katika mikataba mibovu.Magufuli alifanya kwa mapendekezo ya nyaraka na maoni yenye ushaidi
 
Back
Top Bottom