Hapa umechangia nini? Rudia usome ulichokiandika.Huo ndio ukweli hivi uwe na pesa halali halafu unyang'anywe kweli hakika hakuna watu wajinga nchi hii kama vijana wa chadema mtandaoni
Jiulize kwa nini kuna msamiati huo ulioutumia "nyang'anya" na nini maana yake.