Walionyang'anywa mali na Hayati Magufuli waomba kurudishwa mali zao

Walionyang'anywa mali na Hayati Magufuli waomba kurudishwa mali zao

Acheni upumbavu wenu nyie sukuma gang yaani mtu anafanya kazi halali anapata pesa nyie mnasema kaiba hamumshtaki mnamteka (Mo Dewji) kishamba mnampora mnaficha pesa China mnaumbuka sasa
Neno upumbavu hutumiwa na mashoga! Kwani na wewe ni shoga?
 
Kwa hiyo Mali za watu zilikuwa za magufuli ?, Na alikuwa akiwadai chake ?, Kuwa hata na aibu , usukuma ulihodhi Kila kilichopo Tanzania ni Cha wasukuma !, Laa hawlaaa!.
Tulia mtoto wa kike! Nchi inapaswa iongozwe na wanaume wasioona haya kudai kodi hata kwa walioshindikana kuihonga serikali na siyo viongozi legelege wanaokubali kuingiza watu Ikulu ili wahongwe na matokeo yake serikali inakosa pesa ya kulipa watumishi wake mpaka iwakope hao wafanya biashara badala ya kuilipa serikali kodi yake
 
View attachment 2503193

My Take
Nawaambieni ukweli mchungu.
Katika serikali zilizojaa uozo serikali ya Magufuli ni nambari wani.

Mambo mengi sana ya hovyo yalifanyika chini ya uchochoro wa uzalendo.

Mzalendo na waliokuwa chini yake wamechakaza sana mali za umma na watu binafsi
Huyo mzee tungekuwa naye mpala leo tungekuwa kama Somalia au Sudani.
 
halafu utamsikia fala flani sijui mwenyekiti wa wazaaji dodoma anaongea ufala tu eti sitaki kusikia mtu anamtaja marehemu jpm, yaani atatajwa sana labda amfuate kaburini
Mtalia sana. Utasikia ooh sijui nani atarudishiwa kampuni mama atamrudishia. Ok tusubiri kuona kama baada ya taarifa ile kuonesha ulaghai na ufisadi mkubwa ataweza kurudishiwa. Na wote waliyonyang'anywa mali za umma tuone mnarudishiwa🏃🏃🏃
 
View attachment 2503193

My Take
Nawaambieni ukweli mchungu.
Katika serikali zilizojaa uozo serikali ya Magufuli ni nambari wani.

Mambo mengi sana ya hovyo yalifanyika chini ya uchochoro wa uzalendo.

Mzalendo na waliokuwa chini yake wamechakaza sana mali za umma na watu binafsi
Lisu ameendelea kudai kwamba hayati Magufuli aliagiza msaliti hasitahili kuishi na baada ya muda mfupi Lisu akashambuliwa kwa risasi Dodoma, je kumbe Lisu alikuwa anajijua ni msaliti wa nchi?, maana Magufuli hakutaja jina la mtu alitaja msaliti.
Kwa nini Clouds FM hawakumuuliza dereva wake amemficha wapi?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza sababu za Acacia kufutwa Tanzania na hawakushitaki MIGA?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza kama alipigwa na Magufuli na sasa hivi ni miaka miwili Magufuli hayupo kwa nini uchunguzi haufanyiki sasa hivi?

Nb: watoto wa Mbowe na Lisu wote ni raia wa Marekani.
 
Kwa upande mmoja JPM atabakia kua mzalendo wa kwel na Kwa upande mwingine alikosea baadhi ya mambo....

Sometimes Ili mambo yaende yanaitaji ukichaa....magufuli alikua ni mtu wa aina yake....

Kusema kweli hata Ccm wenyewe hawatokuja kuruhusu mtu wa aina yake...labda tu abadilike akiwa madarakani.....

Yaan likitajwa jina la magufuli mafisadi yanatetemeka....wakwepa Kodi wanafyata....wauza unga wanaingia mitini......

Tukubali tukatae Kwa asilimia kubwa Fulani alisafisha nchi.....AM 4 REAL binafsi enzi za JPM niliona nacheleweshewa jambo langu Nikaona nipenyeze lupia for sure yule afisa wa serikali niliona anatetemeka akakataa na akaifanya haraka tena buree Leo hii tumerud kulekule......

Hata Kifo chake ni conspiracy theories, Kwa nanna Moja Watanzania tunamkumbuka na tutamkumbuka JPM miaka na miaka hata mkimsagia kunguni....japo sikumpigiaga kura
Mimi nafurahia kifo chake
 
Watu wanajua kulitumikia huba aisee!Hata uwaambie kwa maelezo yenye ukweli kiasi gani,watakataa hata kwa viapo.Wanaamini alikuwa the smartest,the bravest and above all,the most high!😂😂😂😂
Mzilankende, Jiwe, Chuma
Bado
 
Back
Top Bottom