JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Wezi lazima wataifishwe mali zao, acha kujitoa fahamu.View attachment 2503193
My Take
Nawaambieni ukweli mchungu.
Katika serikali zilizojaa uozo serikali ya Magufuli ni nambari wani.
Mambo mengi sana ya hovyo yalifanyika chini ya uchochoro wa uzalendo.
Mzalendo na waliokuwa chini yake wamechakaza sana mali za umma na watu binafsi
Kuna watu wanakula kwa mlija na kuiba mali za uma. siku nikiwa Rais lazima warudishe mali za umma.