Walionyang'anywa mali na Hayati Magufuli waomba kurudishwa mali zao

Walionyang'anywa mali na Hayati Magufuli waomba kurudishwa mali zao

Hata yakiandika magazeti yote na television zote zikatangaza kumchafua Magu!

Haiondoi ukweli ukweli kuwa wafanya biashara wengi walidaiwa pesa za ukwepaji kodi walizokuwa wakiibia serikali pamoja na kina Mbowe!


Ukitaka uwe mbaya, dai chako, JPM aliwadai wafanya biashara kodi nanihalali kabisa kwa nchi, lakini eti huo umekuwa ni ubaya? Nchi ya kipumbavu sana hii
Kwa hiyo Mali za watu zilikuwa za magufuli ?, Na alikuwa akiwadai chake ?, Kuwa hata na aibu , usukuma ulihodhi Kila kilichopo Tanzania ni Cha wasukuma !, Laa hawlaaa!.
 
Mitoto ya wezi katika ubora wako.
Serikali ya Samia imejaa wezi, hivyo lazima wezi watetee wezi wenzao.

Kila mtu alienyang'anywa pesa alikuwa mwizi, hivyo walikuwa wanarudisha walichoiba.

Mtapambana lakini hamtaweza.
Hatamfanye je wanachi hawatawaelewa.
Hakuna anayeshindana na mwendakuzimu wa Chato acha ujambazi wake ujulikane mjaa laana yule
 
Huo ndio ukweli hivi uwe na pesa halali halafu unyang'anywe kweli hakika hakuna watu wajinga nchi hii kama vijana wa chadema mtandaoni
Acha upumbavu mbwa wewe kama mtu kaiba anashtakiwa mahakama I sio kumnyang'anya hela na kuzificha china wajaa laana nyie
 
Hata yakiandika magazeti yote na television zote zikatangaza kumchafua Magu!

Haiondoi ukweli ukweli kuwa wafanya biashara wengi walidaiwa pesa za ukwepaji kodi walizokuwa wakiibia serikali pamoja na kina Mbowe!


Ukitaka uwe mbaya, dai chako, JPM aliwadai wafanya biashara kodi nanihalali kabisa kwa nchi, lakini eti huo umekuwa ni ubaya? Nchi ya kipumbavu sana hii
Acheni upumbavu wenu nyie sukuma gang yaani mtu anafanya kazi halali anapata pesa nyie mnasema kaiba hamumshtaki mnamteka (Mo Dewji) kishamba mnampora mnaficha pesa China mnaumbuka sasa
 
Huo ndio ukweli hivi uwe na pesa halali halafu unyang'anywe kweli hakika hakuna watu wajinga nchi hii kama vijana wa chadema mtandaoni
Sio chadema mkuu, hao CCM wanapambana kuwarudishia majizi mali zao
 
View attachment 2503193

My Take
Nawaambieni ukweli mchungu.
Katika serikali zilizojaa uozo serikali ya Magufuli ni nambari wani.

Mambo mengi sana ya hovyo yalifanyika chini ya uchochoro wa uzalendo.

Mzalendo na waliokuwa chini yake wamechakaza sana mali za umma na watu binafsi
Nawatafuta walinda legacy kweny huu uzi siwaoni, waambien waje. Haiwezekan legacy ichezewe kiasi hiki!!
 
View attachment 2503193

My Take
Nawaambieni ukweli mchungu.
Katika serikali zilizojaa uozo serikali ya Magufuli ni nambari wani.

Mambo mengi sana ya hovyo yalifanyika chini ya uchochoro wa uzalendo.

Mzalendo na waliokuwa chini yake wamechakaza sana mali za umma na watu binafsi
Rekebisha heading ni marehemu Magufuli, hayati ni neno linalotumika Kwa watu waliokufa wakiwa wema.

Huwezi kutumia hayati Kwa Idd Amin, Hitler au Bokasa.

Mods fanyeni editing kwenye heading tusije kupotosha vizazi vijavyo, haya maandishi yatadumu sisi ndio tutaondoka, tuweke kumbukumbu sahihi kwamba Tanzania iliwahi kutawaliwa Kwa mkono wa chuma na dikteta uchwara Magufuli.

Hata Idd Amin alijipambanuwa kama mtetezi wa wanyonge ikiwemo kupora maduka ya wahindi na kuyagawa Kwa RAIA.

Ogopa sana ukisikia mtu anakwambia yeye ni Rais wa wanyonge, hujuwe hapo mmeliwa, analitumia kundi la wajinga wengi hawa wanyonge kutimiza ajenda zake.

Mimi ukitaka tugombane tu basi niite maskini au mnyonge, sikubali hata kidogo jina hilo.
 
Tofauti ya Magufuli na samia ni kuwa Magufuli hakuwa muoga wa kusimamia sheria. Samia ni muoga mno kusimamia sheria, kibaya zaidi wanaom backup ni wavunja sheria wakubwa wakiwa na washkaji zao ndio maana leo unaona vituo vya mafuta vimeota hadi kwenye milango ya watu na serikali ya samia inaogopa kusema chochote hadi labda itokee milipuko na kuteketeza raia.

Magu ndii rais aliyethubutu kusimamaia sheria bila kumuangalia mtu usoni. Hata kushikilia au kutaifisha mali za mtu aliyekwepa kodi ni sheria za kodi na zipo muda wote.
Hii ndio maana majizi na vyeti feki yanachekekea yameachwa yapumue. Watu waliokuwa wanafanya biashara bila janja janja hawajawahi kusumbuliwa na Magu.
 
Mie naona wanaomsagia kunguni walikuwa mafisadi au watu wa madili tu na wavivu, nikikumbuka kwenye utawala wa Kikwete mwishoni nilipata tatizo la nyama za puani, kwenda pale Muhimbili nikaambiwa na Daktali aliyeniatend kuwa ili nifanyiwe opration inabidi nitoe 300000 au 250000/ Maana nilikuwa natumia bima ikabidi nirudi nyumbani Maana kwa maadili ya dini yangu inakataza rushwa, Magufuli alivyofanikiwa kupata madaraka akaenda akasafisa pale Muhimbili,nilivyorudi jamaa waliokuwa wanagoma wakitaka ela walinifanyia bule tena nikataka kuwapa elfu 30000,wakakata kabisa labda wakasema tuwekee kwenye simu.Sasahivi nenda pale Muhimbili au Mloganzira una pesa uone.magufuli alikuwa Mtu na nusu uwajibikaji ulikuwa juu sana hata kama watu walikuwa wanalipwa kidogo.
Sasa we fikiria miaka yote TRA wakija kukagua wanakukuta upo clean. Inakuwaje kipindi cha Magufuli TRA hao hao waje wakupore fedha? Mtu umekamilika unafanya biashara kwa uaminifu huwezi kuta serikali inahangaika na wewe hata hao maafisa rushwa hawaipati kwako watakuwa wanafuata nini kila wakati hapo biasharani.

Ila unakuta mtu alikuwa anahonga maafisa TRA awamu ya 4 anakwepa kodi imefikia mda utawala umebadilika unafikiria nani atakubali apoteze kazi yake kwa sababu ya kukulinda wewe unayekwepa kodi au hufuati taratibu? Lazma muone watu wabaya. Sikuzote ukiwa humdai mtu mtakuwa marafiki ila siku umeanza kumdai tu ndio balaa linaanza
 
Mitoto ya wezi katika ubora wako.
Serikali ya Samia imejaa wezi, hivyo lazima wezi watetee wezi wenzao.

Kila mtu alienyang'anywa pesa alikuwa mwizi, hivyo walikuwa wanarudisha walichoiba.

Mtapambana lakini hamtaweza.
Hatamfanye je wanachi hawatawaelewa.
Umenena sawa. Hadi sasa mama ana piga vijembe hapa na pale kila ikitokea fursa kutest kina cha maji kama anaweza kujitokeza wazi kutetea mafisadi kwa kisingizio haikua haki. W-2 w22 Wenyewe washarukia kuona ni mtu wao. Lakini nawaonya fisadi wasiwe na hakika. CCM ni chama cha kutetea maslahi ya umma. Mama bila shaka yatamshinda na kwa uhakika 2025 anatupiwa virago.
 
Watu wanajua kulitumikia huba aisee!Hata uwaambie kwa maelezo yenye ukweli kiasi gani,watakataa hata kwa viapo.Wanaamini alikuwa the smartest,the bravest and above all,the most high!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sasa kwani wanakosea nini. Ni umma wa wananchi huwaambii kitu kwa jpm. Wewe uliyenyolewa kichwa kwa chupa kwa dhuluma zako ndio unaona tofauti.
 
Back
Top Bottom