Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Hup tunauita ni unafiki was kiwango cha juu maana wanaosema walikuwa wasaidizi wake; mbona hawakusema kipindi hicho?Hasemwi bila sababu, yale maovu yake ndiyo yanasemwa na hakuna na ya kukwepa kumtaja wakati main topic ni majanga aliyoisababishia nchi na kwa wanaomtetea hali kadhalika.