Walionyang'anywa mali na Hayati Magufuli waomba kurudishwa mali zao

Walionyang'anywa mali na Hayati Magufuli waomba kurudishwa mali zao

Kumuita mtu mwizi bila uthibitisho usio shaka wa kitaalamu mahakamani ni kujipakaza ujinga machoni.Uonee tamaa mali walizotafuta wanaume,uzing'ang'anie,uwatupe lupango na baada ya kuona hakuna ushahidi ulazimishe "mpatane"?Sasa unataka mpatane kwa lipi pasina jinai wala madai?Huo ni wizi,dhulma na ujinga mwingi.Labda kama una namna tofauti ya kuuleza kwa kuuremba.
Akina Lissu na Myika Chadema Co,ndio walikuwa wanatoa povu bungeni tena kwa ushaidi wa nyaraka kuwa akina Simbion na APTL ni wezi wanaujumu Serikali, Magufuli alivyofanikiwa kupata madaraka akisikiliza maoni yao ndipo aliwakamata Setti na Rugemarila ili angalau waweze kurejesha kiasi kidogo.Sasa hapo Magufuli alikuwa na shida hipi wakati wote waliokamatwa haidha walitajwa bungeni au kwenye kamati zilizoundwa kisheria na Magufuli alitekeleza maoni ya kamati yaliyochambuliwa kitaamu pamoja na nyaraka.
 
Mitoto ya wezi katika ubora wako.
Serikali ya Samia imejaa wezi, hivyo lazima wezi watetee wezi wenzao.

Kila mtu alienyang'anywa pesa alikuwa mwizi, hivyo walikuwa wanarudisha walichoiba.

Mtapambana lakini hamtaweza.
Hatamfanye je wanachi hawatawaelewa.
Wananchi gani?
 
Akina Lissu na Myika Chadema Co,ndio walikuwa wanatoa povu bungeni tena kwa ushaidi wa nyaraka kuwa akina Simbion na APTL ni wezi wanaujumu Serikali, Magufuli alivyofanikiwa kupata madaraka akisikiliza maoni yao ndipo aliwakamata Setti na Rugemarila ili angalau waweze kurejesha kiasi kidogo.Sasa hapo Magufuli alikuwa na shida hipi wakati wote waliokamatwa haidha walitajwa bungeni au kwenye kamati zilizoundwa kisheria na Magufuli alitekeleza maoni ya kamati yaliyochambuliwa kitaamu pamoja na nyaraka.
Kwa hiyo makosa yake yamesababishwa na akina Lissu na Mnyika?😂😂😂😂
 
Kwa hiyo makosa yake yamesababishwa na akina Lissu na Mnyika?😂😂😂😂
Wale walikuwa Wabunge na walitoa ushauli tena lissu alienda mbali na kusema hao jamaa walistahili kunyongwa kwa sababu walikuwa waujumu Uchumi inamaana Yeye angelikuwa Rais angeliwanyonga,sasa Magufuli kufuata ushauli wao kwanini haonekane mbaya?
 
Kikwete aliwahi kutoa ushauri kuhusu kusikiliza hoja na kutumia akili zaidi kuikabili hoja.Ukikosea jambo unapaswa kuanza kujilaumu mwenyewe na ukubali kulaumiwa.Hiyo ya kueleza kwamba usingeweza kama si fulani kuniongoza vibaya,utachekesha umma.Walikulazimisha?Ulitumia akili zaidi kiasi gani kupambana na kutatua changamoto weye kama weye?😜😜😜😜😜
 
Ogopa sana serikali inayohangaika kujinadi ni ya kizalendo. Pale wizara ya fedha kuna watu hadi leo wanalipwa fidia kwa kutaifishwa mali zao wakati wa hayati Nyerere. Mzee Tango (Verani) wa Arusha ni miongoni mwao. "Wazalendo" huwa wana chuki mno na matajiri hata iwe hela ya halali. Wao hudhani umaskini ndo uzalendo. JPM nia yake ilikuwa kuongeza maskini na kupunguza matajiri. Enzi zake ukiwa na hata milioni 20 tu benki wanataka wakwapue. TRA ilikuwa inajichotea mihela kwenye akaunti za watu kwa kisingizio cha kodi. Tena hapa karibia na kifo chake hali ndo ilikuwa mbaya zaidi. Angalau hata ile miaka miwili ya mwanzo wa utawala wake. Hapa mwishoni alibadilika na kuwa shetani kamili. Tunamshukuru sana Mungu kwa kutuondolea baradhuli yule na kutuletea Mama mwenye upendo kwa kila mtu. Watetezi wa yule roho mchafu huwa ni maskini au walinufaika kwenye uongozi wake.
 
Haya mambo yangekuwa yamefanyika kwa kufuata katiba yasingefika huku. Sasa hata wale ambao walikuwa mafisadi na majambazi kweli watatumia kichaka hiki kurejesha mali zao.
 
Vyeti feki, wakwepa Kodi na wezi was pesa za umma lazima mfurahi Hilo halina ubishi.

Hakika kama kungekuwa na upinzani makini 2025 mngeaibika sana
Wewe ni maskini au una roho ya kimaskini ndo maana hupendi utawala huu wa haki. Alishasema Zitto kama inawauma sana nendeni mkazikwe pembeni ya kaburi la shujaa wenu.
 
View attachment 2503193

My Take
Nawaambieni ukweli mchungu.
Katika serikali zilizojaa uozo serikali ya Magufuli ni nambari wani.

Mambo mengi sana ya hovyo yalifanyika chini ya uchochoro wa uzalendo.

Mzalendo na waliokuwa chini yake wamechakaza sana mali za umma na watu binafsi
Benki za China zina siri nyingi sana juu ya utawala huu
 
Back
Top Bottom