OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
yule hakuwa binadamu wa kawaidaView attachment 2503193
My Take
Nawaambieni ukweli mchungu.
Katika serikali zilizojaa uozo serikali ya Magufuli ni nambari wani.
Mambo mengi sana ya hovyo yalifanyika chini ya uchochoro wa uzalendo. Mzalendo na waliokuwa chini yake wamechakaza sana mali za umma na watu binafsi
Biswalo amejificha siku hizi hatoki ndaniView attachment 2503193
My Take
Nawaambieni ukweli mchungu.
Katika serikali zilizojaa uozo serikali ya Magufuli ni nambari wani.
Mambo mengi sana ya hovyo yalifanyika chini ya uchochoro wa uzalendo. Mzalendo na waliokuwa chini yake wamechakaza sana mali za umma na watu binafsi
Huo ndio ukweli hivi uwe na pesa halali halafu unyang'anywe kweli hakika hakuna watu wajinga nchi hii kama vijana wa chadema mtandaoniMitoto ya wezi katika ubora wako.
Serikali ya Samia imejaa wezi, hivyo lazima wezi watetee wezi wenzao.
Kila mtu alienyang'anywa pesa alikuwa mwizi, hivyo walikuwa wanarudisha walichoiba.
Mtapambana lakini hamtaweza.
Hatamfanye je wanachi hawatawaelewa.
Kumuita mtu mwizi bila uthibitisho usio shaka wa kitaalamu mahakamani ni kujipakaza ujinga machoni.Uonee tamaa mali walizotafuta wanaume,uzing'ang'anie,uwatupe lupango na baada ya kuona hakuna ushahidi ulazimishe "mpatane"?Sasa unataka mpatane kwa lipi pasina jinai wala madai?Huo ni wizi,dhulma na ujinga mwingi.Labda kama una namna tofauti ya kuuleza kwa kuuremba.Mitoto ya wezi katika ubora wako.
Serikali ya Samia imejaa wezi, hivyo lazima wezi watetee wezi wenzao.
Kila mtu alienyang'anywa pesa alikuwa mwizi, hivyo walikuwa wanarudisha walichoiba.
Mtapambana lakini hamtaweza.
Hatamfanye je wanachi hawatawaelewa.
Ruge baada ya kuachiwa huru na wezi wenzie nini alisema kama unafuatilia mambo?Kumuita mtu mwizi bila uthibitisho usio shaka wa kitaalamu mahakamani ni kujipakaza ujinga machoni.Uonee tamaa mali walizotafuta wanaume,uzing'ang'anie,uwatupe lupango na baada ya kuona hakuna ushahidi ulazimishe "mpatane"?Sasa unataka mpatane kwa lipi pasina jinai wala madai?Huo ni wizi,dhulma na ujinga mwingi.Labda kama una namna tofauti ya kuuleza kwa kuuremba.
Sjui alisemaje.Naomba ukumbushe kwa marejeo ya uzi.Ruge baada ya kuachiwa huru na wezi wenzie nini alisema kama unafuatilia mambo?
halafu utamsikia fala flani sijui mwenyekiti wa wazaaji dodoma anaongea ufala tu eti sitaki kusikia mtu anamtaja marehemu jpm, yaani atatajwa sana labda amfuate kaburiniView attachment 2503193
My Take
Nawaambieni ukweli mchungu.
Katika serikali zilizojaa uozo serikali ya Magufuli ni nambari wani.
Mambo mengi sana ya hovyo yalifanyika chini ya uchochoro wa uzalendo. Mzalendo na waliokuwa chini yake wamechakaza sana mali za umma na watu binafsi
Watu wanajua kulitumikia huba aisee!Hata uwaambie kwa maelezo yenye ukweli kiasi gani,watakataa hata kwa viapo.Wanaamini alikuwa the smartest,the bravest and above all,the most high!ππππhalafu utamsikia fala flani sijui mwenyekiti wa wazaaji dodoma anaongea ufala tu eti sitaki kusikia mtu anamtaja marehemu jpm, yaani atatajwa sana labda amfuate kaburini