Walionyang'anywa mali na Hayati Magufuli waomba kurudishwa mali zao

Acheni upumbavu wenu nyie sukuma gang yaani mtu anafanya kazi halali anapata pesa nyie mnasema kaiba hamumshtaki mnamteka (Mo Dewji) kishamba mnampora mnaficha pesa China mnaumbuka sasa
Neno upumbavu hutumiwa na mashoga! Kwani na wewe ni shoga?
 
Kwa hiyo Mali za watu zilikuwa za magufuli ?, Na alikuwa akiwadai chake ?, Kuwa hata na aibu , usukuma ulihodhi Kila kilichopo Tanzania ni Cha wasukuma !, Laa hawlaaa!.
Tulia mtoto wa kike! Nchi inapaswa iongozwe na wanaume wasioona haya kudai kodi hata kwa walioshindikana kuihonga serikali na siyo viongozi legelege wanaokubali kuingiza watu Ikulu ili wahongwe na matokeo yake serikali inakosa pesa ya kulipa watumishi wake mpaka iwakope hao wafanya biashara badala ya kuilipa serikali kodi yake
 
Sasa kwani wanakosea nini. Ni umma wa wananchi huwaambii kitu kwa jpm. Wewe uliyenyolewa kichwa kwa chupa kwa dhuluma zako ndio unaona tofauti.
๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œKuna mtu kakukataza?Endelea tu!
 
Huyo mzee tungekuwa naye mpala leo tungekuwa kama Somalia au Sudani.
 
halafu utamsikia fala flani sijui mwenyekiti wa wazaaji dodoma anaongea ufala tu eti sitaki kusikia mtu anamtaja marehemu jpm, yaani atatajwa sana labda amfuate kaburini
Mtalia sana. Utasikia ooh sijui nani atarudishiwa kampuni mama atamrudishia. Ok tusubiri kuona kama baada ya taarifa ile kuonesha ulaghai na ufisadi mkubwa ataweza kurudishiwa. Na wote waliyonyang'anywa mali za umma tuone mnarudishiwa๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Lisu ameendelea kudai kwamba hayati Magufuli aliagiza msaliti hasitahili kuishi na baada ya muda mfupi Lisu akashambuliwa kwa risasi Dodoma, je kumbe Lisu alikuwa anajijua ni msaliti wa nchi?, maana Magufuli hakutaja jina la mtu alitaja msaliti.
Kwa nini Clouds FM hawakumuuliza dereva wake amemficha wapi?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza sababu za Acacia kufutwa Tanzania na hawakushitaki MIGA?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza kama alipigwa na Magufuli na sasa hivi ni miaka miwili Magufuli hayupo kwa nini uchunguzi haufanyiki sasa hivi?

Nb: watoto wa Mbowe na Lisu wote ni raia wa Marekani.
 
Mimi nafurahia kifo chake
 
Watu wanajua kulitumikia huba aisee!Hata uwaambie kwa maelezo yenye ukweli kiasi gani,watakataa hata kwa viapo.Wanaamini alikuwa the smartest,the bravest and above all,the most high!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mzilankende, Jiwe, Chuma
Bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ