Hongera mkuu, umeoa mmasai au mwaarusha? Maana hizo ni kabila mbili tofauti ila wanashare mambo mbalimbali na Waarusha wanapenda kujiita maasai....nimeoa mmasai tangu 2012...ni wanawake bora kupata kutoka.
...mke wangu ni mzuri sana wa umbo,sura na tabia.-..hajakeketwa coz ni masai wa mjini.
[emoji1][emoji1][emoji1]Kuna kipindi nilikuwa natoka na mmasai fulani hivi. Siku ya kwanza kucheza nae mechi, nashangaa ile nimeanza hata dakika 2 sina, naona mtu anaanza kulia. Nikahisi labda namuumiza, so ikabidi nisitishe zoezi kidogo. Huku namshangaa,namuuliza vipi mbona unalia, au nakuumiza?
Ajabu na yeye akawa ananishangaa,then akajibu eti alisikia wenzake wanasema ukifanya mapenzi mwanamke lazima ulie, so na yy ndio analia.
Kuna kipindi nilikuwa natoka na mmasai fulani hivi. Siku ya kwanza kucheza nae mechi, nashangaa ile nimeanza hata dakika 2 sina, naona mtu anaanza kulia. Nikahisi labda namuumiza, so ikabidi nisitishe zoezi kidogo. Huku namshangaa,namuuliza vipi mbona unalia, au nakuumiza?
Ajabu na yeye akawa ananishangaa,then akajibu eti alisikia wenzake wanasema ukifanya mapenzi mwanamke lazima ulie, so na yy ndio analia.
Kuishi kwingi, ni kuona mengi aisee [emoji23][emoji23]Haahaahaa so analia kama " ile mila etu imesema shieeee[emoji1787][emoji1787][emoji28], badala alilie mkwaju
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji1][emoji1][emoji1]
Eva...Teh teh comment za humu[emoji1787][emoji28]
Yeroo subai
Duuh hii hataree
Vip kuhusu msiba wa mmasai? Sijawahi kisikia asee
hahhaaaa acheni kutishiana jamaniii mnatuvunja mioyoo tuliopanga kuoa wamasaiSiku unatembelea ukweni jiandae kuvua suti yako na kuvaa shuka kabla ya kukanyaga nyumbani kwao. Pia kaa chonjo kumegewa na kila yelloo anaegundua umeoa mmasai mwenzie
hahahahhaaJiandae kupata watoto warefuuuu.. halafu wanakimbiaaa..[emoji12][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hujasikia hata msiba wa Mr Ebbo kweli??
Duuh hii hataree
Vip kuhusu msiba wa mmasai? Sijawahi kisikia asee
Mkuu ni Eva or ebaaa?Eva...
Kafa lini kwani huyo baba?Hujasikia hata msiba wa Mr Ebbo kweli??
Miaka ya 2000 ADKafa lini kwani huyo baba?