Tetesi: GE2025 Waliopenya kamati za CCM wilaya na walioliwa vichwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Urambo vp udates zake? Mama Sitta kapita? na vipi aliyekuwa mkuu wa chuo NIT
 
Waliopenye kawe,bumbuli,babati,Hai ,Tarime vijijini,simanjiro,Kisesa ni wapi hapa umeleta wakiwa vichwa,je vichwa vilivyopenya sijaona.Ikiwezekana ziambatanishwe na picha za walioliwa vichwa ni meona ya Mzee machozi pekee,wengine vipi?
 
Mleta uzi Huna vyanzo vya kuaminika? Mbona hakuna updates?
 
Watu wa mikoani tuamke, haiwezekani wauza uchi wa Dar inapofika kipindi cha uchaguzi wanakimbilia mikoani kuchukua fomu za uongozi kisha wanarudi Dar kuishi,tuwakatae asubuhi na mapema.
Wachukue fomu hukohuko Dar kwao.
😂😂😂
 

Pascal Mayalla kawe kapenya?
 
Mtu akijaribu kufanya kitu fulani akapata matokeo fulani,akirudia tena kufanya kitu kile kile katika mazingira yale yale akitegemea matokeo tofauti, such person,needs his head be examined!
P

Bila shaka ndiyo maana wenye akili zao wakanena: NRNE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…