Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,840
- 4,414
Msigwa atatabika sana alimwacha rafiki yake anateseka mahabusu kwa ujinga wa kwenda kujilisha upepo ndani ya joka la kijani akifikiri yuko salamaMsigwa amepata haki yake. Labda asubiri ukuu wa wilaya.
Comment yako inawaunga mkono wazee wa NRNEMtu akijaribu kufanya kitu fulani akapata matokeo fulaniοΌakirudia tena kufanya kitu kile kile katika mazingira yale yale akitegemea matokeo tofautiοΌ such personοΌneeds his head be examinedοΌ
P
January hawamtaki?
He wont be, prime ni mwingine
Nakumbuka alivyowakebehi ukawa wakati wa Bunge la Katiba 2014 na kutupa hotuba ya Kiongozi wa upinzani.
Atakimbilia wapi? π€£ Cdm au Act! Mungu atupe uzima..Kama ni kweli basi ni hatari tupu
Tangu 2012 hadi leo! Njoo dm π¬ tuyajengeUnasogea wapiππ
Hahaaa kumbe na mi ni mzuri, Shukrani
Yajayo yanafurahishaAtakimbilia wapi? π€£ Cdm au Act! Mungu atupe uzima..
π€£π€£π€£π€£Tangu 2012 hadi leo! Njoo dm π¬ tuyajenge
Utakuwa forty something wewe ππ€£π€£π€£π€£
Baba yako keshatolewa malinda na huo ushoga ulioletwa na Lisu? Basi hongera zake Lisu maana watu kama nyie dawa yenu kifilo tu
Yajayo yanafurahisha
Ni huzuni kwa kweli
Hawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni
Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro
Tunafuatilia na majimbo mengine
Hao ndo wamiliki wa katarama au πNi huzuni kwa kweli
Ndio siasa hiyo! Sio kila siku ni Jumapili, You Know πHao ndo wamiliki wa katarama au π
Hivi kweli mtu anamchagua mbunge ili amletee maendeleo? Ingekuwa hivyo toka uhuru si kila kitu kingekuwa kimeishakamilika? Huwa naona wale ni waajiriwa wa serikali katika kuleta mawazo mapya juu ya miswada mbalimbali inayoletwa na serikali bungeni.kufanya U comed? kule siha alisha kuwa Mbunge miaka 10 na mbona hakuna cha maana pale? itawachukua miaka 500 mje kujua kwamba wabunge hawa wanasaka ajira na si vinginevyo.
Naibu waziri bhanaDaaa 2005-2015 mbunge wa jimbo la Siha na waziri wa TAMISEMI kwa kipindi chote hicho
Ni waziri wa nchiNaibu waziri bhana