Tetesi: GE2025 Waliopenya kamati za CCM wilaya na walioliwa vichwa

Tetesi: GE2025 Waliopenya kamati za CCM wilaya na walioliwa vichwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
He wont be, prime ni mwingine
FB_IMG_1752522255454.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_1752522255454.jpg
    FB_IMG_1752522255454.jpg
    35.3 KB · Views: 18
Baba yako keshatolewa malinda na huo ushoga ulioletwa na Lisu? Basi hongera zake Lisu maana watu kama nyie dawa yenu kifilo tu


Yaani waafrika wengi ni wapuumbavu sana ,
Watu wanazungumzia mambo ya ajira ,demokrasia ,haki,utu, uzalendo,kupinga watu kuuawa na kupotezwa halafu majitu mengine yanawaza harufu ya mavi tu na micundu. Halafa majitu yenyewe ndiyo mashetani na mafiraji na mashoga na masagaji wakubwa.

Katika dira ya ya CCM ya 2050 hakuna suala la kupinga ushoga.

Tunamtaka Polepole ,Gwajima, Mpina,Majaliwa ,Mpango na Ndugai.

Ndugai ana maono sio kama yule Mla nchi na muuza nchi. Aliambiwa wazi na Ndugai kuwa tubanane hapa hapa tusikope kuepuka madeni na masharti mabaya ikiwemo hayo ya ushoga . Yule mungu mtu hakusikia leo ndio anaweka machawa wa kutukana watu mitandaoni
 
Hawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni


Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro

Tunafuatilia na majimbo mengine

Yaani million zao ximeishia kujaza fomu tu. Hivi mtoto pendwa alikosea wapi su ni tatixo la kuwa over ambitious....!!?
 
kufanya U comed? kule siha alisha kuwa Mbunge miaka 10 na mbona hakuna cha maana pale? itawachukua miaka 500 mje kujua kwamba wabunge hawa wanasaka ajira na si vinginevyo.
Hivi kweli mtu anamchagua mbunge ili amletee maendeleo? Ingekuwa hivyo toka uhuru si kila kitu kingekuwa kimeishakamilika? Huwa naona wale ni waajiriwa wa serikali katika kuleta mawazo mapya juu ya miswada mbalimbali inayoletwa na serikali bungeni.
 
Back
Top Bottom