Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Urais mtamu huyo mnaye atoki ng'ooAtajiuzulu mwakani saiz mda ushaenda sana, amalizie mda wake hafu asepe
Weeee mnama wewe..... Tema mate chini😆😴😔😇
Mungu ameondoa kauli kwenye vinywa vyao...Taifa la wapumbavu hili,kama kipimo Cha uchumi ni magari namba E,sherehe za harusi na mikusanyiko ya wanywaji bar inatafsiliwa ndo uchumi imara.Huo ndo muono wa waziri mwenye PhD.
Tunaongozwa na watu wa ajabu kuliko ajabu yenyeweTaifa la wapumbavu hili,kama kipimo Cha uchumi ni magari namba E,sherehe za harusi na mikusanyiko ya wanywaji bar inatafsiliwa ndo uchumi imara.Huo ndo muono wa waziri mwenye PhD.
Watu wengine niweupe kweli. Nadhani nimeelewekaTaifa la wapumbavu hili,kama kipimo Cha uchumi ni magari namba E,sherehe za harusi na mikusanyiko ya wanywaji bar inatafsiliwa ndo uchumi imara.Huo ndo muono wa waziri mwenye PhD.
Wewe tena?Maana yake ni kuwa watu wanadhurumiwa haki zao kila mahala.
Polisi wanabambikia watu kesi, wanyonge wanadhurumiwa ardhi, bila kuwa na connection hupati kazi.
Hii ni tafsiri tosha kuwa wameshindwa kutimiza wajibu wao.
Rais ajiuzulu na uchaguzi halali uitishwe