Waliopewa dola ili kudhibiti rushwa na dhuluma wanakiri hadharani kuwa dhuluma imezidi. Hii ni aibu kubwa

Waliopewa dola ili kudhibiti rushwa na dhuluma wanakiri hadharani kuwa dhuluma imezidi. Hii ni aibu kubwa

Taifa la wapumbavu hili,kama kipimo Cha uchumi ni magari namba E,sherehe za harusi na mikusanyiko ya wanywaji bar inatafsiliwa ndo uchumi imara.Huo ndo muono wa waziri mwenye PhD.
Mungu ameondoa kauli kwenye vinywa vyao...
 
Kamanda ule mkutano wako na waandika habari juu ya wewe kujivua uanachama wa CHADEMA ulifanya?Wadau walikushauri ubadili kabisa na jina ujiite Kamanda Aliyechoka ,mbona haujafanya hivyo?
 
Maana yake ni kuwa watu wanadhurumiwa haki zao kila mahala.

Polisi wanabambikia watu kesi, wanyonge wanadhurumiwa ardhi, bila kuwa na connection hupati kazi.

Hii ni tafsiri tosha kuwa wameshindwa kutimiza wajibu wao.

Rais ajiuzulu na uchaguzi halali uitishwe
Wewe tena?
 
Back
Top Bottom