Washauri waje CCM wahoji matumizi ya Samia chaneli ten kama utawaona tena.Acha kupotosha!..
WALE WALIOHOJI MAPATO NA MATUMIZI NDIYO WANAOONDOSHWA!,HILI NI BAYA SANA!,
#kushindwa kuulizana maswali ndani ya chama,hasa kuhusu matumizi ya fedha za chama!...
Acha kupotosha!..
WALE WALIOHOJI MAPATO NA MATUMIZI NDIYO WANAOONDOSHWA!,HILI NI BAYA SANA!,
#kushindwa kuulizana maswali ndani ya chama,hasa kuhusu matumizi ya fedha za chama!...
Unahoji mapato na matumizi mbele ya vyombo vya habari na makamera mengi mengi? Kwa hiyo matumizi ya chama yanahojiwa kwa waandishi wanahabari! Sasa hapo alikuwa anatarajia jibu la hayo matumizi apewe na waandishi? kwani hakuna vikao vya chama vya kuhoji hayo? Hakuna utaratibu wa kichama wa kuhoji hayo hadi uhoji kwenye vyombo vya habari ambavyo bado haviwezi kukula majibu? Kama sio usnitch nini huo? Hata mke ukiona matatizo yako yankindoa anapeleka mtaani badala ya kukuuliza wewe basi ujue hilo ni tatizoAcha kupotosha!..
WALE WALIOHOJI MAPATO NA MATUMIZI NDIYO WANAOONDOSHWA!,HILI NI BAYA SANA!,
#kushindwa kuulizana maswali ndani ya chama,hasa kuhusu matumizi ya fedha za chama!...
Kati ya hao yupi "KADINALI"? MAPENGOHongera Chadema safisha uchafu, msicheke na kima yeyote mtavuna mabua.
Chama ni kikubwa kuliko mwanachama, walikuwepo kina Zitto, Mkumbo, Mbowe wakaondoka bado chama kinasonga, sembuse hawa vidagaa tena vibichi.
View attachment 3625458View attachment 3625459
Yaani wapukutishwe wote ,CDM haiwezi kufa kwa kuwaondoa WASALITI ,wameodnoka VYUMA hasa lakini CDM inasonga kama UPEPO.Piga chini vibaraka wa kihongosi
Hawa walihoji zile milioni 70 za wafadhiri Ambazo ziliyeyuka bila kujulikana kwenye mifuko ya Heche.Hongera Chadema safisha uchafu, msicheke na kima yeyote mtavuna mabua.
Chama ni kikubwa kuliko mwanachama, walikuwepo kina Zitto, Mkumbo, Mbowe wakaondoka bado chama kinasonga, sembuse hawa vidagaa tena vibichi.
View attachment 3625458View attachment 3625459
Unahoji kwenye jukwaa la waandishi wa habari.Hawa walihoji zile milioni 70 za wafadhiri Ambazo ziliyeyuka bila kujulikana kwenye mifuko ya Heche.
Kuna tatizoHongera Chadema safisha uchafu, msicheke na kima yeyote mtavuna mabua.
Chama ni kikubwa kuliko mwanachama, walikuwepo kina Zitto, Mkumbo, akaondoka Mbowe na G55 yake bado chama kinasonga, sembuse hawa vidagaa tena vibichi.
View attachment 3625458View attachment 3625459