Waliopokea pesa za moto CHADEMA waanza kuliwa vichwa

Waliopokea pesa za moto CHADEMA waanza kuliwa vichwa

Kwahiyo kuongelea ufisadi ndani ya CHADEMA ni kosa la kutumbuliwa kwenye uongozi? Hii ni hatari kwa demokrasia.
 
Aliyetoa wazo Heche awe makamu mwenyekiti aliona mbali. Lissu yupo ndani lakini spana ni zile zile.
 
itoshe

itoshe kusema hata wewe haujui huyo bwana anakopata pesa
kwa hiyo kibusara si vizuri kujadili vitu ambavyo huna uhakika navyo
Wewe kama hujui kaa kimya ujue hii habari iko juu ya uwezo wako wa utambuzi, nilichosema ni kuwa siyo kazi yangu kutaja vyanzo vya pesa za watu au Kiswahili kigumu sana kwako.
 
anazichota hazina kwa utaratibu upi ?
una ufahamu utaratibu wa kutoa pesa hazina ?
Kwa utaratibu wa 'wizi', yeye si wa kwanza kupora hazina. It has been done before ila kwa sasa hawaibi bali wabakomba, back in the day Mkapa alipoingia madarakani alilalmika kuwa utawala wa awamu ya pili hazina kulikuwa kunaibiwa mno.
 
UNAWEZA KUELEZEA KINAGAUBAGA JINSI WATU WANAVYOFANYA HUO WIZI HAZINA ?
UKIWEZEKANA USITUMIE HEARSAY KATIKA MAELEZO YAKO.
 
Back
Top Bottom