Waliopokea pesa za moto CHADEMA waanza kuliwa vichwa

Vipi Polepole alihoji tu kuhusu Mgombea wa CCM kutofuata taratibu za chama akapotezwa

Polepole hakuna mwenye kujua yupo wapi kufikia sasa hakuna Ushahidi wa kum'bebesha yoyote!!

Lkn tukumbuke Polepole hakuongea
hadharani angekuwa mkweli angeitisha press 👈
waziwazi na kusema ukiukwaji wa ndani ya Chama

Kaongea kwa kujificha ni kwakuwa hakuwa mkweli na ni kweli alikuwa muongo ndiomana kachagua
kujificha 👈

Sasa Chadema mnawasimamisha Viongozi wenu Makamanda kwakuoji Ufisadi ndani ya Chama tena hawakutaka Umbewa wameoji hadharani ?

Kwanini mnataka kuwafukuza??

chama kimekuwa cha Mafisadi ??
 
Chadema wanasema sio kuhoji kwenye media maana waandishi wa habari hawana majibu kuna vikao vya chama ndo sehemu pekee ya kuhoji Suala la Polepole naona unajidanganya
 
Sasa kwenye kikao pale Kigoma Heche kajibu nini ??

Matumizi ya kikao yameshafanyika Heche kashindwa kutoa maelezo ya pesa zilipo

Hatua nyingine ingefata ipi??

Walikaa kimyaaa mwanzo 👈

lkn sasa Heche kaona yeye ndio mwenye Mapembe 👈

ndiomana Makamanda wameona wamwage Ugali👈

hadharani🫡🫡 iyo Sura unaiyonaje Baz kaiza 👇👇
 
Attachments

  • Screenshot 2026-07-04 012338.png
    Screenshot 2026-07-04 012338.png
    472.8 KB · Views: 11
Sasa kwenye kikao pale Kigoma Heche kajibu nini ??

Matumizi ya kikao yameshafanyika Heche kashindwa kutoa maelezo ya pesa zilipo

Hatua nyingine ingefata ipi??

Walikaa kimyaaa mwanzo 👈

lkn sasa Heche kaona yeye ndio mwenye Mapembe 👈

ndiomana Makamanda wameona wamwage Ugali👈

hadharani🫡🫡 iyo Sura unaiyonaje Baz kaiza 👇👇
Mchome sio mwanachadema vipi hao wanaolalamika kwenye vikao walikuepo
 
Back
Top Bottom