Waliopokea pesa za moto CHADEMA waanza kuliwa vichwa

hakuna uhuru wa kutoa maoni tena ndani ya chadema?🤣

au uhuru ulikuaga wa kumchafu Freeman Aikaeli Mbowe pekeyake wakati ule?🤣

Anyway,
mtuhumiwa huyo wa ufisa anapendelea kujiexpose, kujipalia mkaa na kujikaanga vizuri mwenyewe.

naona anatamani ashambuliwe kutoka ndani na nje ya chadema na wanachadema wenyewe right?🐒
 
Acha kupotosha!..
WALE WALIOHOJI MAPATO NA MATUMIZI NDIYO WANAOONDOSHWA!,HILI NI BAYA SANA!,
#kushindwa kuulizana maswali ndani ya chama,hasa kuhusu matumizi ya fedha za chama!...
heche anajiexpose, anajikaanga na kuuthibitishia umma wa waTanzania kua anachotuhumiwa nacho ni kweli kabisa
 
Vipi Polepole alihoji tu kuhusu Mgombea wa CCM kutofuata taratibu za chama akapotezwa
 
Admin,tafadhali futa kichwa cha habari cha uzi huu au kinadilisha hakipo sahihi pia hakiakisi uasili wa jambo lililopo CHADEMA./
 
Heeee kwaiyo kuchangia pesa kinya kimya Chadema nisawa na kwenda kujenga Ukweni🫡🫡🫡
 
Vipi Polepole alihoji tu kuhusu Mgombea wa CCM kutofuata taratibu za chama akapotezwa
unamtoa winga kwa makusudi halafu alikua bado ana hamu na nguvu za kuendelea kucheza, unategea reactions gani atakupa kama sio zile za Rooney na Ronald dhidi ya Sir. Alex Ferguson? 🤣

heche bana 🤣
 
Wapambanaji wa kweli wenye kulinda maadili ya Chama wanyekujitolea kutaka maelezo ya izo pesa 👈

ndio wanasimamishwa nafasi zao baada ya siku14 wanafukuzwa chamani‼️

HECHE
hataki mchezo kabisa
fukuza tu Makamanda wako!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…