Walioruhusu picha hii itumike hawakuwa wajinga

Kwamba hujui kuna habari kwenye Quran na Biblia zinafanana? kwa kuanzia kisa mpaka majina ya watu hujui hilo au unajitoa ufahamu.

nakuja na facts soon
umeambiwa uweke facts umebaki unaharisha harisha tu
 
Sahihi
 
Bo
Kwa hali hii bora zumaridi avune wafuasi
 
UONGO. TASWIRA HALISI WALIIONA WAPI, NI UONGO WENYE MAELEZO MENGI AMBAO UMEKUJA KUHITIMISHA MWISHONI KUWA NI UONGO.
 
Mi sio msabato lakini wapi kwenye Bible imeandikwa utatu mtakatifu? Kuna 50,000 hapa upate kitimoto hizi katekisimu zipo ili kuwatenga na bible
Mathayo 28:19 BHN

Nendeni basi, mkawafanye watu wa mataifa yote wawe wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.
 
Wakatoliki ndo wanatumia hyo , wao ndo Wana majibu kulingana na impression ya picha , Sisi wasabato tunazo zetu pia , sio picha halisi ya Yesu Ila zinatoa elimu fulan ya picha kuhusu huyo Yesu , na ni picha za kuchora computerized
Hizo Picha what if ni image ya watu halisi,kuwaabudu huoni ni makosa?
 
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanae wa pekee....
 
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanae wa pekee....
Huyo mwana ndo amekaa ktk KITI Cha enzi nw.

Alipokuja ktk mwili akaitwa mwana, alijishusha Ili akuokoe ukimwamini.

Alikuja Kwa Walio wake lakini hawakumtambua!!!!!

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen
 
Huyo mwana ndo amekaa ktk KITI Cha enzi nw.

Alipokuja ktk mwili akaitwa mwana, alijishusha Ili akuokoe ukimwamini.

Alikuja Kwa Walio wake lakini hawakumtambua!!!!!

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen
Mungu mmoja nafsi tatu.Wakatoliki wanaamini hii kitu
 
Mungu mmoja nafsi tatu.Wakatoliki wanaamini hii kitu
Warumi waliomuua YESU ndo walioanzisha Dini feki baada ya kushindwa kuzuia INJILI ya Kweli.

Utatu ni upagani, Freemasonry ndo wana hizo pembetatu, Bikari, Pyramid za misri, ni Miungu. Wamechanganya UKWELI kdg, uongo mwingi''.

Mungu ana NAFSI moja. Anasema ktk maandiko, Naapa Kwa "NAFSI YANGU ".

Utatu Amna ktk bible, utaona Roho 7, Makanisa 7, taa 7 nk.

Dini zilizosajiliwa na mamlaka kiserikali zimebanwa kutogusa Watawala wanapofanya maovu, ndomana utaona Serikali zinaonea watu, viongozi hawatoki kuongoza wananchi kukemea UOVU, wanasifia.

Watumishi wa Kweli ni aina ya Yohana Mbatizaji aliyekemea mamlaka waziwazi.
 
Sir upo na shida kubwa kiimani, unahitaji msaada
 
Sir upo na shida kubwa kiimani, unahitaji msaada
Mungu alikuja duniani kama mwanadamu bt Dunia haikumjua, Wayahudi hawakumjua,

Wakatoliki hawakumjua, wakamwabudu Mariam Badala ya Mungu ktk mwili, Yesu.

Hadi Leo wayahudi wanamsubiri massiah wao,

Maneno nikuambiayo ni Spirit ni ROHO, Si Rahisi wewe uliye ktk mwili kuelewa.

Mambo haya tangu zamani Hayakueleweka Kwa WASOMI au matajiri au MAARUFU, Bali watoto wachanga waliyajua.

Sishangai wewe kutonielewa, sababu watu wa Mungu na manabii hawakueleweka tangu mwanzo.

Endelea kuamini uongo, siku ya mwisho utaonyeshwa maneno haya kama ushahidi Kisha utupwe moyoni kama utakufa bila Kuzaliwa mara ya pili.
 
Mambo ya kwenye lessons haya
 
Mambo ya kwenye lessons haya
No mi Si msabato.

UKWELI hauna upande, INJILI ni upanga wenye makali kuwili.

Wasabato hawaamini juu ya kunena Kwa lugha mpya, nao wamefungwa hapo.

Huwezi Mwamini YESU na ukamkataa Roho wa YESU, holly Spirit.
 
Pope ndio kiongozi mkuu wa freemason
 
Unachosema kwa Iman yako ni sawa
Lakn Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa nawala hafanan na kitu chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…