Walioruhusu picha hii itumike hawakuwa wajinga

Kwamtazamo wangu na kuuliza nikwamba Christmas imetengwa kusherehekea kuzaliwa kwa Yesu sio Tarehe aliyozaliwa Yesu.

Kilichohakika ni kwamba Yesu alizaliwa na ndicho kinachosherehekewa.

Sasa wahusika wanaosherehekea walitenga Tarehe hiyo kwasababu mbalimbali ambazo zinahitaji muda kuzijadili.

Kwa kuwa tunahakika Yesu alizaliwa na alikufa na kufufuka hivyo tunaadhimisha kuzaliwa kwake, kufufuka na kufa kwa Tarehe zinazoamuliwa kwa pamoja.

Kuna watu hawajui Tarehe zao za kuzaliwa ila wanauhakika walizaliwa na wametenga Tarehe za kusherehekea kuzaliwa kwao.
 
Hakika Dunia imejaa hadaa.
Historia imepindishwa sana kwa maslahi binafsi ya race's fulani.........?

Sio mpenzi sana wa mambo ya historical issues coz mambo mengi hayana prove na yana alot of contradiction.

Wengine watasema Yesu ni Nabii Issa, wengine Yesu ni mwafrika, wengine Yesu ni myahudi, wengine Yesu alikuwa mzungu na wengine Yesu hakuwepo bali ni myths tu.
Kila mmoja ukimuuliza atakwambia soma kitabu fulani utajua ukweli wa mambo na sio kitabu fulani kwa maana hicho ni udanganyifu mtupu. Ukiangalia ni kweli kwa maana hakuna aliyekuwepo wa kuthibitisha hilo. So inabakia kama Fumbo......?

Finally: Naona there is no point of return, kila mtu abaki na anacho kiamini.

I'm done.
I congratulate you for a wonderful topic even though it have some gimmick challenge.
Well done Sir👏
 
Angalau ungemtaja Ibni Sinna /Avicenna ningekuelewa
Kama unawafahamu wakina Ibn Sinna kwanini ulazimishe kwamba Leonardo na Imhotep ndiyo walikuwa na akili kuliko wengine ? Aidha utakuwa ni mtu unayependa sana dini au hujasoma sayansi na kufanya tafiti. Kiufupi, hakuna tafiti yoyote ya kisayansi hapa duniani ambayo inaweza kufanywa bila kutumia, The Scientific Method. Wasomi wa Ulaya akiwemo Leonardo walifanikiwa kwenye kazi zao baada ya kutumia mbinu za Al-Haytham kwenye tafiti.

Al-Haytham ndiye mwanasayansi wa kwanza kabisa kupendekeza kwamba, kwenye sayansi ni lazima kwanza kufanyike Observation, Hypothesis na Experimentation ili kukosoa, kurekebisha na kuendeleza kanuni za kisayansi zilizowekwa. Wewe unapokuja hapa na kusema kwamba Leonardo alikuwa na akili kuliko binadamu wengine, huku ujuzi wake ulijengwa kwenye kazi za Al-Haytham na wasomi wengine kama Bacon nashindwa kukuelewa vizuri.

Waislamu na waarabu wana mchango mkubwa kwenye sayansi ya dunia hii ya leo. Mtu atayepingana na hili ni yule ambaye hafahamu sayansi na historia. Ndani ya kalifeti ya Abass kulikuwa na wasomi ambao wamefanya makubwa na kazi zao zilienda Ulaya kuleta mapinduzi ya kifikra baada ya Baghdad kuvamiwa na kuchomwa moto na Mongolia mwaka 1258. Nikupe mifano michache ili ukafanye tafiti zako binafsi:
  • Al- Khwarezmi, aliandika kuhusu mwenendo wa jua, nyota, mwezi na sayari, The Heliocentric Model, pamoja na kukokotoa kipenyo cha dunia hii, Circumference of the Earth, karne nyingi kabla hata Galileo hajafahamu kwamba dunia inazunguka jua. Akaenda mbali na kuwakosa wasomi wakubwa wa kigiriki kama Ptolemy na Euclid kuhusu jicho la binadamu linavyoingiza mwanga.
  • Ibin Bassal, peke yake alifanya tafiti ya zaidi ya jamii 200 ya mimea na kuigawanya, ambayo leo hii wanasayansi wanaitumia. Unaposoma Botany na Classification of Plants, msingi wake umejengwa kwenye akili za watu kama hawa. Hata mkatoliki Father Gregory Mendel alipokuwa anafanya tafiti kuhusu Garden Peas, msingi wake ujuzi wake ulitoka kwenye tafiti za watu kama Ibin Bassal.
  • Abu Saad Al-Al Ibn Sal, aliandika First Law of Refraction na baadaye akabuni Aclastic Lenses ambazo zinatumika kwenye miwani na kamera kwenye dunia ya leo hii.
Wako watu wengi mno kwenye dunia hii, hata wasomi wa Baghdad nao walichukua ujuzi kutoka India na Uajemi. Sayansi haijengwi wala haimilikiwi na mtu mmoja, hivyo unavyosema mbele za watu kwamba Leonardo na Imhotep ndiyo wenye akili zaidi napata wasiwasi mkubwa ni jinsi unavyoitazama dunia.
 
Mkuu nimekupa vyema sana na ndio mana nimetoka kwenye mambo ya hizo dini.

Sasa vipi kuhusu mambo ya MAZIKO yaani mwanadamu anapokufa kimwili...Je,uzikaji umekaaje mana naona kila imani ina MAZIKO yake...

Nisaidie hapa niongeze kitu.
 
Offense ? None Taken! Why should I be offended during an intellectual discourse ?

Usinilishe maneno. Logical Fallacy is an abuse of syllogism, something i did not commit. This is an example of logical fallacy: "All mammals must procreate to survive. Human beings are mammals.Therefore all human beings must procreate." Logical Fallacy is believing that, Imhotep and Leonardo were the smartest human beings simply because their works are on vogue within the halls of Western Civilization.

Sasa turudi kwenye hoja ya Al Haytham. Nashangaa wewe unasema umesoma sayansi halafu unadai kwamba siyo kila mwanasayansi wa Ulaya, wa kipindi cha mapinduzi ya kifikra alitumia kazi za Al-Haytham. Kiufupi, The Scientific Method ndiyo inatufundisha wanasayansi wote tuanze kufanya Empirical Observation, Formulation of Hypothesis and Experimentation. Duniani kote huwezi kufanya tafiti bila kufuata huu mwongozo wa Al-Haytham. Nitakushuru sana endapo utanipa orodha ya wanasayansi wa Ulaya ambao wameweza kufanya tafiti kubwa bila kufuta mwongozo wa, The Scientific Method.
 
Ndio maana nikasema andiko lako ni personal opinions, na sio fact. Sababu ulizozitoa zimeshindwa kuthibitisha kwamba huo ndio muonekano wa Yesu.

Hiyo sura ni imagination tu ya wachoraji wa zamani ambayo imekua adopted by default. Ni kama vile sura ya Cleopatra. Ipo taswira maarufu ambayo imekua adopted, lakini wala haina uthibitisho kua ndie Cleopatra mwenyewe!

Kama Yesu hakua mzungu, kwanini hiyo taswira inaonyesha kua Yesu ni mzungu?
 
Ulijifunza kuhusu Yesu kupitia biblia ya kikatoliki au Kiprotestant??
NIna mkusanyiko wa Maandiko yote yahitajikayo kwa mafundisho ya njia ya Mbinguni.

Roho wa Mungu ananiongoza kila anapotaka nipite na huwa ninamuamini kwa sababu bila yeye nisingekuwa hapa au hivi nilivyo
 
dah!.Dunia hii kuna mengi yanafichwa.
🙏🙏
 
Very sad kuona mtu mweusi kapewa history ya uongo na kaikariri kama kweli na anaieneza...
Yaani makao makuu ya elimu yawe misri halafu wagiriki ndo wawe na nguvu?how?je hao wamisri wenye elimu walikuwa wapi...??

Chimba tena ujifunze elimu ya kweli..
Wagiriki wamefika misri tayari wamisri washajenga ma piramid....
Wangekuwa na uwezo hata robo si wangejenga kwao hayo ma piramid?

Mbona zile tower wameiga Ulaya nzima Hadi Wamarekani wameiga "Washington monument" kutoka ancient Egypt....
Black Egyptian walikuwa mbali Sana
Huyo Imhotep alikuwa Black
Nefertiti alikuwa Black...
Blacks walikuwa ndo Kings of Egypt wakati Egypt ndo elimu yote iko huko kabla hao warumi na wagiriki unao wafagilia hapa hawajaenda kufanya uharamia
 
Mkuu kama umenisoma vyema, nimesema kwamba nitaeleza kwa ufupi na sijasimulia matukio Kwa mtiririko.
Naomba useme uzi huu kesho nitakurudia! Nimeeleza mwanzo wa Egypt mpaka kuchomoza kwa Greece.
 
Huyu mkuu ana hoja , mtoa mada toa hoja zako.
 
Wasabato mnaupinga utatu mtakatifu, mnapinga fumbo la imani. Kristo alikufa,Akafufuka na atarudi tena. Nyie ndio wapinga kristo

Mi sio msabato lakini wapi kwenye Bible imeandikwa utatu mtakatifu? Kuna 50,000 hapa upate kitimoto hizi katekisimu zipo ili kuwatenga na bible
 

Kristo maana yake mpakwa mafuta. Wakristo walikuwa ni wale wanafunzi wake tu ikimaanisha wafuasi wake sasa ukristo upi ulitaka auhubir wakati alisema tubuni muache dhambi. Ukiacha na ukaishi maisha ya toba basi ww ni mfuasi wake the rest sio wakristo ni wapagani wamejificha kwenye ukristo
 
Je kama hutajali, unaweza kushea nami makusanyo hayo??
Kwa hiyo umepanga kunikagua siyo?

We endelea kutoa maboko yako, nikiona kunq ulazima wa kukupinga nitafanya hivyo.


Usinipangie
 
Nikweli kabisa Sir, ndio maana inabidi kila mtu abaki na akiamincho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…