Walioruhusu picha hii itumike hawakuwa wajinga

Walioruhusu picha hii itumike hawakuwa wajinga

Mbona umenijibu hivi??
Lengo la mada hii sio kubishana bali kuelimishana, sifaidiki chochote na ubishi usio na msingi.

Nimekwambia hivyo kama utaweza ushee nami hayo maarifa nilikua namaanisha. Kwako kama umeona nilikua nakudhihaki I'm sorry, btw haina shida sio lazima ushee nami.

Ngoja nifute hiyo comment
Sisi ndo walimwengu hakuna kisichokosa sababu

Ukiifuta hiyo comment inamaanisha haujiamini😀
 
yesu hakuwa na sura ya kuvutia kama unavyofikiria kuna nadharia da vinc alikuwa anampenda njemba flan,hivyo alipo ambiwa abuni picha ya yesu akashtukia amechora picha ya yenye sura ya njemba hiyo.acha kudanganya wat kwamba huyo ni yesu halis hakuna mtu mwenye sura halis ya yesu
 
Yesu hakuwa Mzungu.. hivyo hawezi fanania hivyo. Ni ujinga tu umewazidi watu
 
Whatever...
Malumbano yasiyo na faida kwangu hayana nafasi
A proven amid doubts yalikuwa malumbano.

Turudi kwenye hoja ya msingi.

Hoja kuwa kuna taswira ya Yesu ambayo imerekodiwa wala kuhifadhiwa kuwa ndiye na ndivyo alivyoonekana. Hoja aina hii huwa na leongo la kugeuza mawe kuwa mkate yaani kuijaribu Injili na Roho wa Mungu.

Kama Kanisa la Rumi linatumia nguvu nyingi kulazimisha ulimwengu kussdiki uwepo wa Yesu kwa kutunga historia nje ya Maandiko Matakatifu, hapo ndipo roho ya mpinga kristo inapojidhihirisha
 
Mwanadamu ukiona sura ya YESU Leo hii lazima ukate KAMBA. Hatazamiki.
 
Kwa hiyo umepanga kunikagua siyo?

We endelea kutoa maboko yako, nikiona kunq ulazima wa kukupinga nitafanya hivyo.

Usinipangie
Mkuu hivi nikataa imani za wazazi WANGU nitakuwa nimefanya makosa au nimefanya dhambi kwa kuto fata imani yao?
 
Mkuu hivi nikataa imani za wazazi WANGU nitakuwa nimefanya makosa au nimefanya dhambi kwa kuto fata imani yao?
Imani na DINI ni vitu viwili tofauti.

Ukihama uislamu kwenda ukristo au Kutoka ukristo kwenda uislamu uko mule mule.

Mungu ni MMOJA anayestahili kuabudiwa.

Ingia kwenye maombi na ufunge, utakutana naye.

Mungu ni MMOJA na Jina lake Anaitwa YESU kristo.

Ndiye AJAYE ULIMWENGUNI kuwahukumu WANADAMU wote juu ya DHAMBI wasiomwamini.

Amen
 
Kuhusu mavazi...Yesu alivaa mavazi bora sana tena ya kifalme...rejea walipoyapigia kura mavazi yake baada ya kifo na kugawana
Hayakuwa ya kifahari!! Waligawana kama dhihaka kwamba tugawane vazi la aliyejiita “mfalme wa wayahudi”
 
Hayakuwa ya kifahari!! Waligawana kama dhihaka kwamba tugawane vazi la aliyejiita “mfalme wa wayahudi”
Biblia iliandika kila kitu.
Kwenye dhihaka walimtemea mate..na walimdhihaki kwa kusema..."kama wewe ni mwana wa Mungu..."
 
Imani na DINI ni vitu viwili tofauti.

Ukihama uislamu kwenda ukristo au Kutoka ukristo kwenda uislamu uko mule mule.

Mungu ni MMOJA anayestahili kuabudiwa.

Ingia kwenye maombi na ufunge, utakutana naye.

Mungu ni MMOJA na Jina lake Anaitwa YESU kristo.

Ndiye AJAYE ULIMWENGUNI kuwahukumu WANADAMU wote juu ya DHAMBI wasiomwamini.

Amen
Wapi Mungu kasema mimi ndio Yesu kristo??

Nioneshe hilo andiko nipate kuliona.
 
Wapi Mungu kasema mimi ndio Yesu kristo??

Nioneshe hilo andiko nipate kuliona.
Wafilipi 2:10-11.

Ili Kwa Jina la YESU, Kila goti lipigwe, la vitu vya Mbinguni na vya duniani na vya chini ya nchi,

Na Kila ulimi ukiri kuwa YESU ni BWANA Kwa Utukufu wa Mungu BABA.

Mungu akusaidie kujua vitu vyote vya Mbinguni kumpigia magoti Yesu na Kila ulimi ukiri kuwa YESU ni BWANA, elewa kuwa ndiye huyo akaae ktk KITI Cha enzi.

Nakushauri AMINI kwanza ndo umtafute kuliko kutoamini, bila kumwamini kamwe hutomjua YESU ni nani.

Nakuombea ukilala usiku akujilie na kujifunua kwako uweze kumjua.
 
Wafilipi 2:10-11.

Ili Kwa Jina la YESU, Kila goti lipigwe, la vitu vya Mbinguni na vya duniani na vya chini ya nchi,

Na Kila ulimi ukiri kuwa YESU ni BWANA Kwa Utukufu wa Mungu BABA.

Mungu akusaidie kujua vitu vyote vya Mbinguni kumpigia magoti Yesu na Kila ulimi ukiri kuwa YESU ni BWANA, elewa kuwa ndiye huyo akaae ktk KITI Cha enzi.

Nakushauri AMINI kwanza ndo umtafute kuliko kutoamini, kamwe hutomjua YESU ni nani.

Nakuombea ukilala usiku akujilie na kujifungua kwako uweze kumjua.
Sasa alikuja duniani huku alafu mbingu yake ilikuwa inatawaliwa na nani huyo Yesu mungu wako?

Je,unaamini aliteswa msalabani?

na hao wafilipi walikuwepo enzi za huyo mungu wako yesu?

Nijibu nikuelewe mkuu
 
Kama mchawi au mganga ana uwezo kuwapo nyumbani na wakati huo huo akawa shambani,

Unawezaje kuhoji ukuu wa Mungu?

Mungu alikuja Kwa Ibrahimu akiwa na mwili wa mtu kabisa na Akala chakula, aliongizana na Malaika wawili kabla ya Yeye Mungu kurudi Mbinguni na kuwaruhusu Malaika wawili kuingia Sodom na gomora na kuiangamiza.

Hujiulizi Mbinguni alimwacha nani!!!!

Baada ya DHAMBI kuingia ULIMWENGUNI mwanadamu anaelewa kirahisi sana mambo ya Dunia kuliko ya Mbinguni.

Akili zako ni finyu sana kumjua Mungu, amini kwanza Yeye ndo akusaidie kumjua.
 
Jamaa ni mzuri sana kweny uandishi unaweza kutengeneza mental picture sema all in all wew na Habibu anga ni watu ambao niwawahi kuwasoma bila kuchoka
 
Kama mchawi au mganga ana uwezo kuwapo nyumbani na wakati huo huo akawa shambani,

Unawezaje kuhoji ukuu wa Mungu?

Mungu alikuja Kwa Ibrahimu akiwa na mwili wa mtu kabisa na Akala chakula, aliongizana na Malaika wawili kabla ya Yeye Mungu kurudi Mbinguni na kuwaruhusu Malaika wawili kuingia Sodom na gomora na kuiangamiza.

Hujiulizi Mbinguni alimwacha nani!!!!

Baada ya DHAMBI kuingia ULIMWENGUNI mwanadamu anaelewa kirahisi sana mambo ya Dunia kuliko ya Mbinguni.

Akili zako ni finyu sana kumjua Mungu, amini kwanza Yeye ndo akusaidie kumjua.
Mkuu wacha akili kisoda kwenye mambo ya imani

Mchawi akitoka kimwili tambua kabisa mwili aliuwacha pale kwenye kitanda haufanyi kazi unakuwa upo tu na nyinyi wenye macho ya nyama mtaona mwanadamu bado amelala....sijawahi kuskia mtu yupo shamba alafu yupo nyumbani anapika...

Nitatafuta hiyo elimu...

Nijibu swali maswali yangu kama nilivyo kuuliza...

wafilipi walikuwepo enzi za huyo mungu wako yesu akihubiri?

Je,unaamini huyo mungu wako yesu alisurubiwa msalabani?

Muungwana huwa anajibu maswali ili aliyemuuliza apate ufahamu
 
Mkuu hivi nikataa imani za wazazi WANGU nitakuwa nimefanya makosa au nimefanya dhambi kwa kuto fata imani yao?
Tangu kale hata sasa suala la imani ni la mtu binafsi.

Wazazi wana nafasi kubwa kwenye malezi yetu hata kiimani lakini hatimaye unapokuws mtu mzima unakuwa na maamuzi au hiyari ya kuyaishi au kuachana nayo.

Mungu alipomuumba Adam alimuwekea HIYARI yaani CONSET ya kuamua analitaka kufanya. Mungu hajaondoa hiyari katika binadamu.

Mkuu hakuna bond ya kiimani ya mzazi inayotumika ama kumtawala mwanae anapokuwa mtu mzima.
 
Shukran mkuu kwa majibu vyema.
 
Back
Top Bottom