Sisi ndo walimwengu hakuna kisichokosa sababuMbona umenijibu hivi??
Lengo la mada hii sio kubishana bali kuelimishana, sifaidiki chochote na ubishi usio na msingi.
Nimekwambia hivyo kama utaweza ushee nami hayo maarifa nilikua namaanisha. Kwako kama umeona nilikua nakudhihaki I'm sorry, btw haina shida sio lazima ushee nami.
Ngoja nifute hiyo comment
Tulia weyeHata wewe umeshindwa kuaacha tamaduni za wazungu coz hapo ulipo unavaa mazi ya kizungu ambayo ni utamaduni wao.
A proven amid doubts yalikuwa malumbano.Whatever...
Malumbano yasiyo na faida kwangu hayana nafasi
Mkuu hivi nikataa imani za wazazi WANGU nitakuwa nimefanya makosa au nimefanya dhambi kwa kuto fata imani yao?Kwa hiyo umepanga kunikagua siyo?
We endelea kutoa maboko yako, nikiona kunq ulazima wa kukupinga nitafanya hivyo.
Usinipangie
Imani na DINI ni vitu viwili tofauti.Mkuu hivi nikataa imani za wazazi WANGU nitakuwa nimefanya makosa au nimefanya dhambi kwa kuto fata imani yao?
Hayakuwa ya kifahari!! Waligawana kama dhihaka kwamba tugawane vazi la aliyejiita “mfalme wa wayahudi”Kuhusu mavazi...Yesu alivaa mavazi bora sana tena ya kifalme...rejea walipoyapigia kura mavazi yake baada ya kifo na kugawana
Biblia iliandika kila kitu.Hayakuwa ya kifahari!! Waligawana kama dhihaka kwamba tugawane vazi la aliyejiita “mfalme wa wayahudi”
Wapi Mungu kasema mimi ndio Yesu kristo??Imani na DINI ni vitu viwili tofauti.
Ukihama uislamu kwenda ukristo au Kutoka ukristo kwenda uislamu uko mule mule.
Mungu ni MMOJA anayestahili kuabudiwa.
Ingia kwenye maombi na ufunge, utakutana naye.
Mungu ni MMOJA na Jina lake Anaitwa YESU kristo.
Ndiye AJAYE ULIMWENGUNI kuwahukumu WANADAMU wote juu ya DHAMBI wasiomwamini.
Amen
Wafilipi 2:10-11.Wapi Mungu kasema mimi ndio Yesu kristo??
Nioneshe hilo andiko nipate kuliona.
Sasa alikuja duniani huku alafu mbingu yake ilikuwa inatawaliwa na nani huyo Yesu mungu wako?Wafilipi 2:10-11.
Ili Kwa Jina la YESU, Kila goti lipigwe, la vitu vya Mbinguni na vya duniani na vya chini ya nchi,
Na Kila ulimi ukiri kuwa YESU ni BWANA Kwa Utukufu wa Mungu BABA.
Mungu akusaidie kujua vitu vyote vya Mbinguni kumpigia magoti Yesu na Kila ulimi ukiri kuwa YESU ni BWANA, elewa kuwa ndiye huyo akaae ktk KITI Cha enzi.
Nakushauri AMINI kwanza ndo umtafute kuliko kutoamini, kamwe hutomjua YESU ni nani.
Nakuombea ukilala usiku akujilie na kujifungua kwako uweze kumjua.
Kama mchawi au mganga ana uwezo kuwapo nyumbani na wakati huo huo akawa shambani,Sasa alikuja duniani huku alafu mbingu yake ilikuwa inatawaliwa na nani huyo Yesu mungu wako?
Je,unaamini aliteswa msalabani?
na hao wafilipi walikuwepo enzi za huyo mungu wako yesu?
Nijibu nikuelewe mkuu
Mkuu wacha akili kisoda kwenye mambo ya imaniKama mchawi au mganga ana uwezo kuwapo nyumbani na wakati huo huo akawa shambani,
Unawezaje kuhoji ukuu wa Mungu?
Mungu alikuja Kwa Ibrahimu akiwa na mwili wa mtu kabisa na Akala chakula, aliongizana na Malaika wawili kabla ya Yeye Mungu kurudi Mbinguni na kuwaruhusu Malaika wawili kuingia Sodom na gomora na kuiangamiza.
Hujiulizi Mbinguni alimwacha nani!!!!
Baada ya DHAMBI kuingia ULIMWENGUNI mwanadamu anaelewa kirahisi sana mambo ya Dunia kuliko ya Mbinguni.
Akili zako ni finyu sana kumjua Mungu, amini kwanza Yeye ndo akusaidie kumjua.
Tangu kale hata sasa suala la imani ni la mtu binafsi.Mkuu hivi nikataa imani za wazazi WANGU nitakuwa nimefanya makosa au nimefanya dhambi kwa kuto fata imani yao?
Shukran mkuu kwa majibu vyema.Tangu kale hata sasa suala la imani ni la mtu binafsi.
Wazazi wana nafasi kubwa kwenye malezi yetu hata kiimani lakini hatimaye unapokuws mtu mzima unakuwa na maamuzi au hiyari ya kuyaishi au kuachana nayo.
Mungu alipomuumba Adam alimuwekea HIYARI yaani CONSET ya kuamua analitaka kufanya. Mungu hajaondoa hiyari katika binadamu.
Mkuu hakuna bond ya kiimani ya mzazi inayotumika ama kumtawala mwanae anapokuwa mtu mzima.