PreGE2025 Waliosafirishwa kujaza Mkutano wa CHAUMMA walalamika kutopewa malipo waliyoahidiwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mmechanganyikiwa na ujio wa CHAUMA, ajabu CHAUMA Wala hawana habari na nyie......wanaongelea yao tu
Unamsema nani kachanganyikiwa, kama si GENGE la Samia linalozidi kutambuwa kuwa waTanzania wamepania kuliangamiza!
 
Unaongelea CCM sio Chadema
 
Naona hadi bajaj na boda wamekuwa wajanja...jaza wese toa posho tupige kazi hutaki kaa kushoto.
Hii niliona mapokezi ya kiongozi mmoja baada ya uteuzi ya kitaifa ndani ya chama akaenda kwao (sijui ndio kujitambulisha)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…