Waliosambaza taarifa potofu dhidi ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango kukiona cha mtema kuni. Waziri Nape atoa maelekezo

Waanze na msemaji mkuu wa serikali. Ndio alipaswa kutoa taarifa ya alipo Makamu wa Rais.
Pia wamshughulikie na PM Majaal kwa kumsingizia yuko nje ya nchi kwa kazi maalum!
Yaani VP amegeuka shushushu kama Sabaya (special undercover agent kama alivyokuwa anatapeli) kutumwa nje ya nchi kwa siri bila ya wao kujua VP wa TZ kaingia maana hakuna nchi imewahi kusema imempokea VP wetu. PM kakosea sana.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hajawahi kuweza kitu, waziri kibogoyo
 
Nimeelekeza vyombo vyote vinavyohusika kuchukua hatua za mfano, ili tujenge jamii inayoheshimu uhuru wa kila mtu. Uhuru wowote unapoingilia uhuru wa mwingine ni uvunjaji wa sheria, hatuwezi kujenga jamii inayoona hilo ni jambo la kawaida"
Makamo wa rais ni wa wananchi wote.
Kwa nini walifanya siri kuhusu alipo na kinachomsibu?!
 
Tatizo ni nyie serikali hamkutoa taarifa kwa umma alipo huyo kiongozi. Kwani ofisi yake haina kitengo cha habari na mawasiliano? Yule ni kiongozi mkubwa wa kitaifa popote anapoenda ni lazima umma ujulishwe pasina shaka kiongozi wao yuko wapi. Ndio ana faragha zake, kama anaenda mapumzikoni popote duniani kwa nini umma usijulishwe mpaka inafika muda wananchi wanaanza kuhisihisi taarifa zenye utata zisizothibitishwa?
 
Hakuna haja ya kutumia ovyo rasilimali zetu...

Kwanini alikua kimya muda wote huo na kusababisha chaos
 
Mheshimiwa Nape: ukifanya hivyo utakosea, you'll be playing in their hands. Kama ungewashikija adabu VP KABLA yakujitokeza ingekuwa safi sana. Sasa ukiwakamata watakuuliza ulikuwa wapi, na wewe si hukujua? Let them go, wacha waone aibu kwanza.

Ila Padri Kitima huyo ndiyo tumwangalie - anatumika kuwapa forum maadui wa Tanzania kwa mgongo wa Maaskofu wapate nafasi kumtukana VO na Serkali.

Hawa ni maadui wa Nchi hii self- declared. Ulimsikia mmoja akisema adui mkubwa wa Watanzania ni Bunge? Akasema VP ni mtumishi wake haji kazini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…