Waliosema chanjo ya COVID ni njama wamejizika na kuzikwa

Sio kwamba wale waliochoma mkiwaona wanapeta ndio mnashindwa kujielewa na ujinga wenu mliokuwa mnasambaza kwamba watakufa muda sio mrefu
Hakuna kitu kama hiko, maana waliowaziwa kufa ni ambao hawajachoma

Wakaambiwa mtapotea kama ndege, tena mtu mmoja kabisa akasema "I see dead bodies all over Africa "haya kiko wapi sasa?😂
 
Ni mapema mno kutoa matokeo ya hiyo chanjo yako ya kukuhasi uliyodungwa
 
Mungu pekee atosha na ndio chanjo kubwa kuliko zote .............tuliosema mungu pekee atosha tunadunda mpaka leo.............wale wa kumuamini binadamu mwenzako ndio tumewazika wengi sana.............sometimes tuamini kwa mungu tu hayo mengine nyongeza
 
Ni miaka takbiran mitatu sasa tokea nichomwe chanjo ya kuzuia maabukizi ya COVID (UVIKO).

Mimi nilichoma chanjo ya Pfizer Biontech, na zilikuwa dozi mbili zikipishasha wiki 6 mpaka miezi miwili.

Na mpaka sasa nadunda na miezi kadhaa iliyopita tulimkaribisha mgeni mpya wa dunia hii.

Zilikuwepo pilika nyingi sana za njama potofu (conspiracy theories) nyingi duniani kuhusu kuanzia uwepo wa ugonjwa wenyewe wa COVID na kuendelea mpaka kwenye chanjo yenyewe ya COVID

Waliibuka wataalamu wa kweli hasa kielimu kila pande za dunia kupinga na kusambaza habari potofu kuhusu maambukizi ya ugonjwa COVID na chanjo yake.
Walituaminisha njama potofu kedekede kuhusu maigizo yanayofanywa mahospitalini kuhudumia wagonjwa wa COVID ni kama sinema zinachezwa na kutangazwa na vyombo vya habari ambavyo vyote viko kwenye hii njama ya kuhadaa walimwengu.

Pia walijitokeza wataalamu wa utafiti wa kinga za kibaologia kwenye kila mitandao ya jamii, wakitutahadharisha athari za kinga ya COVID kuwa ni njama ya kuturaibu tuzoee dozi ya COVID kama uraibu wa madawa ya kulevya na pia kutunga na kuchombezea kila athari zilizotokana na vifo vya ghafla kwa wachomwaji wa kinga ya COVID ni njama ya kupunguza idadi ya watu duniani.

Pia kulitokea wale watafuta fursa kwenye mitandao ya kijamii, walioneza njama mfu ya kuwa kinga ya COVID ina chembechembe za kielectroniki(CHIP) ambazo ni mpango maalumu wa kusambza mlingonti ya teknologia ya 5G, ambazo zingetumika kuziendesha hizo CHIP zilizopandikizwa kwa njia ya chanjo na kuwa kila aliyechoma chanjo atakuwa anapokea maagizo kimtandao na ya kuteleza kama MSUKULE.

Haya tunahitaji mrejesho kwa wale waatalum waaliojulikana kama spin doctors....

cc Mathanzua
Hii mada mpelekee gwajiboy pale ufufuo na uzima atakua na majibu mujarabu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwanzoni watu waliamini ukimwi ni pigo la Mungu, sasa watu wengi wamefunguka na kujua ni pigo la binadamu. Virusi vilitengenezwa maabara. Covid19 nayo ni biashara, ni kama mtu unapoamua kuuwa ili ufanikiwe.
 
Ni miaka takbiran mitatu sasa tokea nichomwe chanjo ya kuzuia maabukizi ya COVID (UVIKO).

Mimi nilichoma chanjo ya Pfizer Biontech, na zilikuwa dozi mbili zikipishasha wiki 6 mpaka miezi miwili.

Na mpaka sasa nadunda na miezi kadhaa iliyopita tulimkaribisha mgeni mpya wa dunia hii.

Zilikuwepo pilika nyingi sana za njama potofu (conspiracy theories) nyingi duniani kuhusu kuanzia uwepo wa ugonjwa wenyewe wa COVID na kuendelea mpaka kwenye chanjo yenyewe ya COVID

Waliibuka wataalamu wa kweli hasa kielimu kila pande za dunia kupinga na kusambaza habari potofu kuhusu maambukizi ya ugonjwa COVID na chanjo yake.
Walituaminisha njama potofu kedekede kuhusu maigizo yanayofanywa mahospitalini kuhudumia wagonjwa wa COVID ni kama sinema zinachezwa na kutangazwa na vyombo vya habari ambavyo vyote viko kwenye hii njama ya kuhadaa walimwengu.

Pia walijitokeza wataalamu wa utafiti wa kinga za kibaologia kwenye kila mitandao ya jamii, wakitutahadharisha athari za kinga ya COVID kuwa ni njama ya kuturaibu tuzoee dozi ya COVID kama uraibu wa madawa ya kulevya na pia kutunga na kuchombezea kila athari zilizotokana na vifo vya ghafla kwa wachomwaji wa kinga ya COVID ni njama ya kupunguza idadi ya watu duniani.

Pia kulitokea wale watafuta fursa kwenye mitandao ya kijamii, walioneza njama mfu ya kuwa kinga ya COVID ina chembechembe za kielectroniki(CHIP) ambazo ni mpango maalumu wa kusambza mlingonti ya teknologia ya 5G, ambazo zingetumika kuziendesha hizo CHIP zilizopandikizwa kwa njia ya chanjo na kuwa kila aliyechoma chanjo atakuwa anapokea maagizo kimtandao na ya kuteleza kama MSUKULE.

Haya tunahitaji mrejesho kwa wale waatalum waaliojulikana kama spin doctors....

cc Mathanzua
Impact yake inachukuwa muda DNA yako, kizazi chako utazaa lakini watoto watakuwa na afya na akili mgogolo. Chanjo wamepiga marufuku nchi nyingi za Ulaya. Wewe endelea kujipa matumaini tu.
 
Ni miaka takbiran mitatu sasa tokea nichomwe chanjo ya kuzuia maabukizi ya COVID (UVIKO).

Mimi nilichoma chanjo ya Pfizer Biontech, na zilikuwa dozi mbili zikipishasha wiki 6 mpaka miezi miwili.

Na mpaka sasa nadunda na miezi kadhaa iliyopita tulimkaribisha mgeni mpya wa dunia hii.

Zilikuwepo pilika nyingi sana za njama potofu (conspiracy theories) nyingi duniani kuhusu kuanzia uwepo wa ugonjwa wenyewe wa COVID na kuendelea mpaka kwenye chanjo yenyewe ya COVID

Waliibuka wataalamu wa kweli hasa kielimu kila pande za dunia kupinga na kusambaza habari potofu kuhusu maambukizi ya ugonjwa COVID na chanjo yake.
Walituaminisha njama potofu kedekede kuhusu maigizo yanayofanywa mahospitalini kuhudumia wagonjwa wa COVID ni kama sinema zinachezwa na kutangazwa na vyombo vya habari ambavyo vyote viko kwenye hii njama ya kuhadaa walimwengu.

Pia walijitokeza wataalamu wa utafiti wa kinga za kibaologia kwenye kila mitandao ya jamii, wakitutahadharisha athari za kinga ya COVID kuwa ni njama ya kuturaibu tuzoee dozi ya COVID kama uraibu wa madawa ya kulevya na pia kutunga na kuchombezea kila athari zilizotokana na vifo vya ghafla kwa wachomwaji wa kinga ya COVID ni njama ya kupunguza idadi ya watu duniani.

Pia kulitokea wale watafuta fursa kwenye mitandao ya kijamii, walioneza njama mfu ya kuwa kinga ya COVID ina chembechembe za kielectroniki(CHIP) ambazo ni mpango maalumu wa kusambza mlingonti ya teknologia ya 5G, ambazo zingetumika kuziendesha hizo CHIP zilizopandikizwa kwa njia ya chanjo na kuwa kila aliyechoma chanjo atakuwa anapokea maagizo kimtandao na ya kuteleza kama MSUKULE.

Haya tunahitaji mrejesho kwa wale waatalum waaliojulikana kama spin doctors....

cc Mathanzua
Nyinyi mkubali tu mliingizwa mkenge na Mabeberu! Mbona sisi wengine hatujachomwa hayo masindano, na bado tunadunda tu!
 
Ooooooh I'm alive,,tunashukuru ulituwakilisha na sie
 
Ni miaka takbiran mitatu sasa tokea nichomwe chanjo ya kuzuia maabukizi ya COVID (UVIKO).

Mimi nilichoma chanjo ya Pfizer Biontech, na zilikuwa dozi mbili zikipishasha wiki 6 mpaka miezi miwili.

Na mpaka sasa nadunda na miezi kadhaa iliyopita tulimkaribisha mgeni mpya wa dunia hii.

Zilikuwepo pilika nyingi sana za njama potofu (conspiracy theories) nyingi duniani kuhusu kuanzia uwepo wa ugonjwa wenyewe wa COVID na kuendelea mpaka kwenye chanjo yenyewe ya COVID

Waliibuka wataalamu wa kweli hasa kielimu kila pande za dunia kupinga na kusambaza habari potofu kuhusu maambukizi ya ugonjwa COVID na chanjo yake.
Walituaminisha njama potofu kedekede kuhusu maigizo yanayofanywa mahospitalini kuhudumia wagonjwa wa COVID ni kama sinema zinachezwa na kutangazwa na vyombo vya habari ambavyo vyote viko kwenye hii njama ya kuhadaa walimwengu.

Pia walijitokeza wataalamu wa utafiti wa kinga za kibaologia kwenye kila mitandao ya jamii, wakitutahadharisha athari za kinga ya COVID kuwa ni njama ya kuturaibu tuzoee dozi ya COVID kama uraibu wa madawa ya kulevya na pia kutunga na kuchombezea kila athari zilizotokana na vifo vya ghafla kwa wachomwaji wa kinga ya COVID ni njama ya kupunguza idadi ya watu duniani.

Pia kulitokea wale watafuta fursa kwenye mitandao ya kijamii, walioneza njama mfu ya kuwa kinga ya COVID ina chembechembe za kielectroniki(CHIP) ambazo ni mpango maalumu wa kusambza mlingonti ya teknologia ya 5G, ambazo zingetumika kuziendesha hizo CHIP zilizopandikizwa kwa njia ya chanjo na kuwa kila aliyechoma chanjo atakuwa anapokea maagizo kimtandao na ya kuteleza kama MSUKULE.

Haya tunahitaji mrejesho kwa wale waatalum waaliojulikana kama spin doctors....

cc Mathanzua
Ukweli wa COVID vaccine - watu wameumia sana na wanaendelea kufa na kupata vilema vya maisha. Sikiliza wabobezi wa haya mambo dunia nzima inatetemeka, watu wako katika hali mbaya. Kama ulichoma ni muda tu bado immunity zako ziko strong lakini zitachoka tu utaanza kupata maradhi aina mbalimbali.

View: https://youtu.be/GqRh911Q1Hs?si=Q4zJHSOYHiegCh59
 
Ni miaka takbiran mitatu sasa tokea nichomwe chanjo ya kuzuia maabukizi ya COVID (UVIKO).

Mimi nilichoma chanjo ya Pfizer Biontech, na zilikuwa dozi mbili zikipishasha wiki 6 mpaka miezi miwili.

Na mpaka sasa nadunda na miezi kadhaa iliyopita tulimkaribisha mgeni mpya wa dunia hii.

Zilikuwepo pilika nyingi sana za njama potofu (conspiracy theories) nyingi duniani kuhusu kuanzia uwepo wa ugonjwa wenyewe wa COVID na kuendelea mpaka kwenye chanjo yenyewe ya COVID

Waliibuka wataalamu wa kweli hasa kielimu kila pande za dunia kupinga na kusambaza habari potofu kuhusu maambukizi ya ugonjwa COVID na chanjo yake.
Walituaminisha njama potofu kedekede kuhusu maigizo yanayofanywa mahospitalini kuhudumia wagonjwa wa COVID ni kama sinema zinachezwa na kutangazwa na vyombo vya habari ambavyo vyote viko kwenye hii njama ya kuhadaa walimwengu.

Pia walijitokeza wataalamu wa utafiti wa kinga za kibaologia kwenye kila mitandao ya jamii, wakitutahadharisha athari za kinga ya COVID kuwa ni njama ya kuturaibu tuzoee dozi ya COVID kama uraibu wa madawa ya kulevya na pia kutunga na kuchombezea kila athari zilizotokana na vifo vya ghafla kwa wachomwaji wa kinga ya COVID ni njama ya kupunguza idadi ya watu duniani.

Pia kulitokea wale watafuta fursa kwenye mitandao ya kijamii, walioneza njama mfu ya kuwa kinga ya COVID ina chembechembe za kielectroniki(CHIP) ambazo ni mpango maalumu wa kusambza mlingonti ya teknologia ya 5G, ambazo zingetumika kuziendesha hizo CHIP zilizopandikizwa kwa njia ya chanjo na kuwa kila aliyechoma chanjo atakuwa anapokea maagizo kimtandao na ya kuteleza kama MSUKULE.

Haya tunahitaji mrejesho kwa wale waatalum waaliojulikana kama spin doctors....

cc Mathanzua
Kuvuka barabara huku umefunga macho na ukafika salama si jambo la ajabu, ila ni ajabu endapo utajisifu na kujitolea mfano kwa hilo
 
Back
Top Bottom