Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipaniki kijana! Nipe tofauti hapa kati ya nyinyi mlioingia mkenge wa kuchanjwa hiyo chanjo yenu, na sisi ambao hatukuchanjwa!Mwingine huyu hapa
Hivi mmeelewa mleta mada anaongelea kuhusu nini
Au mnashoboka na komenti za muendelezo wa vilaza na kujibu
Halafu wewe sikushangai, uzee ukianza kutinga akili inarudi nyuma
UNA ROHO MBAYA KABISANi miaka takbiran mitatu sasa tokea nichomwe chanjo ya kuzuia maabukizi ya COVID (UVIKO).
Mimi nilichoma chanjo ya Pfizer Biontech, na zilikuwa dozi mbili zikipishasha wiki 6 mpaka miezi miwili.
Na mpaka sasa nadunda na miezi kadhaa iliyopita tulimkaribisha mgeni mpya wa dunia hii.
Zilikuwepo pilika nyingi sana za njama potofu (conspiracy theories) nyingi duniani kuhusu kuanzia uwepo wa ugonjwa wenyewe wa COVID na kuendelea mpaka kwenye chanjo yenyewe ya COVID
Waliibuka wataalamu wa kweli hasa kielimu kila pande za dunia kupinga na kusambaza habari potofu kuhusu maambukizi ya ugonjwa COVID na chanjo yake.
Walituaminisha njama potofu kedekede kuhusu maigizo yanayofanywa mahospitalini kuhudumia wagonjwa wa COVID ni kama sinema zinachezwa na kutangazwa na vyombo vya habari ambavyo vyote viko kwenye hii njama ya kuhadaa walimwengu.
Pia walijitokeza wataalamu wa utafiti wa kinga za kibaologia kwenye kila mitandao ya jamii, wakitutahadharisha athari za kinga ya COVID kuwa ni njama ya kuturaibu tuzoee dozi ya COVID kama uraibu wa madawa ya kulevya na pia kutunga na kuchombezea kila athari zilizotokana na vifo vya ghafla kwa wachomwaji wa kinga ya COVID ni njama ya kupunguza idadi ya watu duniani.
Pia kulitokea wale watafuta fursa kwenye mitandao ya kijamii, walioneza njama mfu ya kuwa kinga ya COVID ina chembechembe za kielectroniki(CHIP) ambazo ni mpango maalumu wa kusambza mlingonti ya teknologia ya 5G, ambazo zingetumika kuziendesha hizo CHIP zilizopandikizwa kwa njia ya chanjo na kuwa kila aliyechoma chanjo atakuwa anapokea maagizo kimtandao na ya kuteleza kama MSUKULE.
Haya tunahitaji mrejesho kwa wale waatalum waaliojulikana kama spin doctors....
cc Mathanzua
Let me get this straight about the COVID-19 vaccine
COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill...www.jamiiforums.com
COVID-19 USA biotech military cartelNi miaka takbiran mitatu sasa tokea nichomwe chanjo ya kuzuia maabukizi ya COVID (UVIKO).

Cha ajabu unayecomment hapa umempeleka mwanao kuchanjwa polio!! Kama chanjo ni sumu basi usimchanje mwanao tuone kama atatoboa!!Waliodungwa machanjo wanajifariji kwa sababu hawajui nini kimeingia kwenye miili yao, WANAHAHA!
Stop justifying your ignorance, deal with the consequences as a matured man. PAMBANA NA HALI YAKO.
Yaani unataka tukae hapa tunakufariji kwamba CHANJO NI NZURI au kwamba eti ULIFANYA MAAMUZI SAHIHI YA KUDUNGWAA.... NOOO. HAKUNAGA.
PAMBANA, ukilikoroga lazima ulinywe, tena ulinywe peke yako.
Madhara gani? Mlisema chanjo haitasaidia kitu mbona huko ulaya cases zimepungua tokea chanjo iletwe? Kejeli zenu zilisaida nniUsichokijua nyamaza! Kwenye familia yangu madhara ya chanjo nimeyaona! Acha kabisa
Nyie ndio mlisema watakufa sijui watakua mazombie mara chanjo ndio inaongeza covid na sio kupunguza. Ndio tunauliza hayo matokeo yenu mliyotabiri yamefia wapi?Sikuchoma sindano, Barakoa nilivaa kwenye taasisi tu fulani tu nilipotaka huduma tena kwa kulazimishwa ila mpaka leo nadunda, hamna cha Korona wala Babu yake Korona
Nahisi Watu waliochanjwa wakituona tusiochanja tunazidi kuchanja mbuga roho zinawauma sana😂, maana sio kwa makasiriko haya
Na nyie mliochoma hizo chanjo za Covid 19 mlikua mnatuombea mabaya sisi tusiochoma ili tufe ,uzuri Mungu sio Athumani bado tunadunda.Ni miaka takbiran mitatu sasa tokea nichomwe chanjo ya kuzuia maabukizi ya COVID (UVIKO).
Mimi nilichoma chanjo ya Pfizer Biontech, na zilikuwa dozi mbili zikipishasha wiki 6 mpaka miezi miwili.
Na mpaka sasa nadunda na miezi kadhaa iliyopita tulimkaribisha mgeni mpya wa dunia hii.
Zilikuwepo pilika nyingi sana za njama potofu (conspiracy theories) nyingi duniani kuhusu kuanzia uwepo wa ugonjwa wenyewe wa COVID na kuendelea mpaka kwenye chanjo yenyewe ya COVID
Waliibuka wataalamu wa kweli hasa kielimu kila pande za dunia kupinga na kusambaza habari potofu kuhusu maambukizi ya ugonjwa COVID na chanjo yake.
Walituaminisha njama potofu kedekede kuhusu maigizo yanayofanywa mahospitalini kuhudumia wagonjwa wa COVID ni kama sinema zinachezwa na kutangazwa na vyombo vya habari ambavyo vyote viko kwenye hii njama ya kuhadaa walimwengu.
Pia walijitokeza wataalamu wa utafiti wa kinga za kibaologia kwenye kila mitandao ya jamii, wakitutahadharisha athari za kinga ya COVID kuwa ni njama ya kuturaibu tuzoee dozi ya COVID kama uraibu wa madawa ya kulevya na pia kutunga na kuchombezea kila athari zilizotokana na vifo vya ghafla kwa wachomwaji wa kinga ya COVID ni njama ya kupunguza idadi ya watu duniani.
Pia kulitokea wale watafuta fursa kwenye mitandao ya kijamii, walioneza njama mfu ya kuwa kinga ya COVID ina chembechembe za kielectroniki(CHIP) ambazo ni mpango maalumu wa kusambza mlingonti ya teknologia ya 5G, ambazo zingetumika kuziendesha hizo CHIP zilizopandikizwa kwa njia ya chanjo na kuwa kila aliyechoma chanjo atakuwa anapokea maagizo kimtandao na ya kuteleza kama MSUKULE.
Haya tunahitaji mrejesho kwa wale waatalum waaliojulikana kama spin doctors....
cc Mathanzua
Let me get this straight about the COVID-19 vaccine
COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill...www.jamiiforums.com
Mkuu pole jiandae na side effect za hizo chanjo!Mwingine huyu hapa
Hivi mmeelewa mleta mada anaongelea kuhusu nini
Au mnashoboka na komenti za muendelezo wa vilaza na kujibu
Halafu wewe sikushangai, uzee ukianza kutinga akili inarudi nyuma
Risk rate: according to government guidance from June 2021, around 10 people develop this condition for every million of AZ vaccine doses given. That’s 0.001%.![]()
Studying the link between COVID-19 vaccines and rare blood clots
A new, rapid nationwide study aiming to understand the vascular complications around blood clots after coronavirus vaccination is now underway.www.ukri.org
Huna akili ndio maana, sasa chanjo ya polio mbona ulipigwa ukiwa mdogo na mtoto wako ulimpiga chanjo ya polio alipokua mdogo!! Ila kutopiga ya Covid 19 ndio unajiona mjanja? Sasa mbona hamna ulichokwepa if at all nia ya wazungu ni kutupa chanjo mbaya!!
Kuna watu wengine haihitaji hata kwakwoti, ni waste of spaceHuna akili ndio maana, sasa chanjo ya polio mbona ulipigwa ukiwa mdogo na mtoto wako ulimpiga chanjo ya polio alipokua mdogo!! Ila kutopiga ya Covid 19 ndio unajiona mjanja? Sasa mbona hamna ulichokwepa if at all nia ya wazungu ni kutupa chanjo mbaya!!
Ukimwi na Corona vyote ni mapigo ya Mungu 100%.Mwanzoni watu waliamini ukimwi ni pigo la Mungu, sasa watu wengi wamefunguka na kujua ni pigo la binadamu. Virusi vilitengenezwa maabara. Covid19 nayo ni biashara, ni kama mtu unapoamua kuuwa ili ufanikiwe.
Wewe wakati unapeleka watoto wako chanjo huwa umefunga machoKuvuka barabara huku umefunga macho na ukafika salama si jambo la ajabu, ila ni ajabu endapo utajisifu na kujitolea mfano kwa hilo
Ukweli wa COVID vaccine - watu wameumia sana na wanaendelea kufa na kupata vilema vya maisha. Sikiliza wabobezi wa haya mambo dunia nzima inatetemeka, watu wako katika hali mbaya. Kama ulichoma ni muda tu bado immunity zako ziko strong lakini zitachoka tu utaanza kupata maradhi aina mbalimbali.
View: https://youtu.be/GqRh911Q1Hs?si=Q4zJHSOYHiegCh59