Risk rate: according to government guidance from June 2021, around 10 people develop this condition for every million of AZ vaccine doses given. That’s 0.001%.
Kwaniyo 0.001% ndio useme kuna madhara? Mnachekesha kweli. Ukisoma hiyo tafiti hapo chini wameandika kwamba kukaa kwenye ndege muda mrefu kunachangia damu kuganda kwa 0.05 yaani wanaopanda ndege wana risk zaidi ya kuganda damu kuliko watu million 60 waliochanjwa uingereza.
Ni miaka takbiran mitatu sasa tokea nichomwe chanjo ya kuzuia maabukizi ya COVID (UVIKO).
Mimi nilichoma chanjo ya Pfizer Biontech, na zilikuwa dozi mbili zikipishasha wiki 6 mpaka miezi miwili.
Na mpaka sasa nadunda na miezi kadhaa iliyopita tulimkaribisha mgeni mpya wa dunia hii.
Zilikuwepo pilika nyingi sana za njama potofu (conspiracy theories) nyingi duniani kuhusu kuanzia uwepo wa ugonjwa wenyewe wa COVID na kuendelea mpaka kwenye chanjo yenyewe ya COVID
Waliibuka wataalamu wa kweli hasa kielimu kila pande za dunia kupinga na kusambaza habari potofu kuhusu maambukizi ya ugonjwa COVID na chanjo yake.
Walituaminisha njama potofu kedekede kuhusu maigizo yanayofanywa mahospitalini kuhudumia wagonjwa wa COVID ni kama sinema zinachezwa na kutangazwa na vyombo vya habari ambavyo vyote viko kwenye hii njama ya kuhadaa walimwengu.
Pia walijitokeza wataalamu wa utafiti wa kinga za kibaologia kwenye kila mitandao ya jamii, wakitutahadharisha athari za kinga ya COVID kuwa ni njama ya kuturaibu tuzoee dozi ya COVID kama uraibu wa madawa ya kulevya na pia kutunga na kuchombezea kila athari zilizotokana na vifo vya ghafla kwa wachomwaji wa kinga ya COVID ni njama ya kupunguza idadi ya watu duniani.
Pia kulitokea wale watafuta fursa kwenye mitandao ya kijamii, walioneza njama mfu ya kuwa kinga ya COVID ina chembechembe za kielectroniki(CHIP) ambazo ni mpango maalumu wa kusambza mlingonti ya teknologia ya 5G, ambazo zingetumika kuziendesha hizo CHIP zilizopandikizwa kwa njia ya chanjo na kuwa kila aliyechoma chanjo atakuwa anapokea maagizo kimtandao na ya kuteleza kama MSUKULE.
Haya tunahitaji mrejesho kwa wale waatalum waaliojulikana kama spin doctors....
COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill...
Naona umejikita kwenye chanjo tu.
Kwani hizo dawa zingine za hospitalini una uhakika gani kwamba ni salama?
Dawa nyingi za hospitalini zinanunuliwa toka nje ya nchi kama ilivyo chanjo.
Wanaofanya hujuma kwenye chanjo kwani watashindwa nini kufanya hujuma kwenye dawa zingine?
Hata ambao hawalali na neti pia wamo ambao huwa hawapati maralia. Covid ilitugawa kwa uelewa wetu. Unafikiri beberu akitaka kukudhuru njia iliyopo ni chanjo pekee?! Sisi ulimwengu wa tatu bado ndio dumping market ya bidhaa za mabeberu hivyo si rahisi mabeberu kuuwa soko lao yaani sisi, ni sawa na mfugaji anavyowapa kuku wake chanjo ili wasidhurike na magonjwa, kama kuku ataitafsiri hiyo chanjo kuwa ni sumu hizo ni fikra zake sasa.

Huna akili ndio maana, sasa chanjo ya polio mbona ulipigwa ukiwa mdogo na mtoto wako ulimpiga chanjo ya polio alipokua mdogo!! Ila kutopiga ya Covid 19 ndio unajiona mjanja? Sasa mbona hamna ulichokwepa if at all nia ya wazungu ni kutupa chanjo mbaya!!
Jamani acha huu ugonjwa ubaki ulivo. Kwa anaeropoka hapa hayajamkuta ndo maan uwe na akili ya kusema ujiskiavyo wengine hapa tulichanjwa tena kwa ulazima flani kwa mda ule na bado tupo hai na tunaendelea vizur kwa mambo ya 6by6 na wanawake wanapata wanachokihitaji pamoja na mapfizer na cjui nin mwilini. Yani hapa jambo kuu ni kumshukuru Mungu kwa kutuepusha na janga hilo ndugu zangu.
Waliibuka wataalamu wa kweli hasa kielimu kila pande za dunia kupinga na kusambaza habari potofu kuhusu maambukizi ya ugonjwa COVID na chanjo yake.
Walituaminisha njama potofu kedekede kuhusu maigizo yanayofanywa mahospitalini kuhudumia wagonjwa wa COVID ni kama sinema zinachezwa na kutangazwa na vyombo vya habari ambavyo vyote viko kwenye hii njama ya kuhadaa walimwengu.
Pia walijitokeza wataalamu wa utafiti wa kinga za kibaologia kwenye kila mitandao ya jamii, wakitutahadharisha athari za kinga ya COVID kuwa ni njama ya kuturaibu tuzoee dozi ya COVID kama uraibu wa madawa ya kulevya na pia kutunga na kuchombezea kila athari zilizotokana na vifo vya ghafla kwa wachomwaji wa kinga ya COVID ni njama ya kupunguza idadi ya watu duniani.
Ni miaka takbiran mitatu sasa tokea nichomwe chanjo ya kuzuia maabukizi ya COVID (UVIKO).
Mimi nilichoma chanjo ya Pfizer Biontech, na zilikuwa dozi mbili zikipishasha wiki 6 mpaka miezi miwili.
Na mpaka sasa nadunda na miezi kadhaa iliyopita tulimkaribisha mgeni mpya wa dunia hii.
Zilikuwepo pilika nyingi sana za njama potofu (conspiracy theories) nyingi duniani kuhusu kuanzia uwepo wa ugonjwa wenyewe wa COVID na kuendelea mpaka kwenye chanjo yenyewe ya COVID
Waliibuka wataalamu wa kweli hasa kielimu kila pande za dunia kupinga na kusambaza habari potofu kuhusu maambukizi ya ugonjwa COVID na chanjo yake.
Walituaminisha njama potofu kedekede kuhusu maigizo yanayofanywa mahospitalini kuhudumia wagonjwa wa COVID ni kama sinema zinachezwa na kutangazwa na vyombo vya habari ambavyo vyote viko kwenye hii njama ya kuhadaa walimwengu.
Pia walijitokeza wataalamu wa utafiti wa kinga za kibaologia kwenye kila mitandao ya jamii, wakitutahadharisha athari za kinga ya COVID kuwa ni njama ya kuturaibu tuzoee dozi ya COVID kama uraibu wa madawa ya kulevya na pia kutunga na kuchombezea kila athari zilizotokana na vifo vya ghafla kwa wachomwaji wa kinga ya COVID ni njama ya kupunguza idadi ya watu duniani.
Pia kulitokea wale watafuta fursa kwenye mitandao ya kijamii, walioneza njama mfu ya kuwa kinga ya COVID ina chembechembe za kielectroniki(CHIP) ambazo ni mpango maalumu wa kusambza mlingonti ya teknologia ya 5G, ambazo zingetumika kuziendesha hizo CHIP zilizopandikizwa kwa njia ya chanjo na kuwa kila aliyechoma chanjo atakuwa anapokea maagizo kimtandao na ya kuteleza kama MSUKULE.
Haya tunahitaji mrejesho kwa wale waatalum waaliojulikana kama spin doctors.
Cha ajabu mungu alivyomkubwa Mimi sikuchoma na mpaka Leo nadunda Cha ajabu mama yangu alifariki na huo ugonjwa na Mimi nilikuwa nae benet na baada ya kumpumzisha ndio nikaambia ugonjwa huo ndio ulimuua na madakitar walishangaa kwa nini Mimi sikupata
Mnakula vitu vingapi?.?mnakunywa vitu vingapi? Madawa yanatoka kwao..n.k.acheni kuwaogopesha watu bana...mimi sijachanja ila nina ndugu kibao wamechanja...mwisho wa siku kila mtu atakufa...unaweza kuanza ww usiechanjwa...
Hapo vipi.....?
Ni miaka takbiran mitatu sasa tokea nichomwe chanjo ya kuzuia maabukizi ya COVID (UVIKO).
Mimi nilichoma chanjo ya Pfizer Biontech, na zilikuwa dozi mbili zikipishasha wiki 6 mpaka miezi miwili.
Na mpaka sasa nadunda na miezi kadhaa iliyopita tulimkaribisha mgeni mpya wa dunia hii.
Zilikuwepo pilika nyingi sana za njama potofu (conspiracy theories) nyingi duniani kuhusu kuanzia uwepo wa ugonjwa wenyewe wa COVID na kuendelea mpaka kwenye chanjo yenyewe ya COVID
Waliibuka wataalamu wa kweli hasa kielimu kila pande za dunia kupinga na kusambaza habari potofu kuhusu maambukizi ya ugonjwa COVID na chanjo yake.
Walituaminisha njama potofu kedekede kuhusu maigizo yanayofanywa mahospitalini kuhudumia wagonjwa wa COVID ni kama sinema zinachezwa na kutangazwa na vyombo vya habari ambavyo vyote viko kwenye hii njama ya kuhadaa walimwengu.
Pia walijitokeza wataalamu wa utafiti wa kinga za kibaologia kwenye kila mitandao ya jamii, wakitutahadharisha athari za kinga ya COVID kuwa ni njama ya kuturaibu tuzoee dozi ya COVID kama uraibu wa madawa ya kulevya na pia kutunga na kuchombezea kila athari zilizotokana na vifo vya ghafla kwa wachomwaji wa kinga ya COVID ni njama ya kupunguza idadi ya watu duniani.
Pia kulitokea wale watafuta fursa kwenye mitandao ya kijamii, walioneza njama mfu ya kuwa kinga ya COVID ina chembechembe za kielectroniki(CHIP) ambazo ni mpango maalumu wa kusambza mlingonti ya teknologia ya 5G, ambazo zingetumika kuziendesha hizo CHIP zilizopandikizwa kwa njia ya chanjo na kuwa kila aliyechoma chanjo atakuwa anapokea maagizo kimtandao na ya kuteleza kama MSUKULE.
Haya tunahitaji mrejesho kwa wale waatalum waaliojulikana kama spin doctors.
Huyo mgeni kama ni wa kiume subiri Sikh atakayokutambulisha mwanaume anayetaka kuolewa nae.
Wenzenu walitahadharisha kwa kutazama kesho, ninyi mnajifariji kwa Leo tu.
Wewe umechoma na bado uko salama, wengine gatujachoma na TUNADUNDA BADO. Sasa kazi ni yako kutafakari, ni yupi amepoteza hapo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.