Inaonekana elimu ilikupita kushoto
Hauna uwezo hata uwezo wa kuelewa maudhui ya ujumbe
Hakuna kitu kama hiko, maana waliowaziwa kufa ni ambao hawajachomaSio kwamba wale waliochoma mkiwaona wanapeta ndio mnashindwa kujielewa na ujinga wenu mliokuwa mnasambaza kwamba watakufa muda sio mrefu
Wewe elimu yako ya KUBUGIA MACHANJO imekuponza.Inaonekana elimu ilikupita kushoto
Hauna uwezo hata uwezo wa kuelewa maudhui ya ujumbe
Kabisaa tena mie nina ngoma on top of that🤣🤣🤣🤣 wajinga waliwaoMimi sijachoma mzima hadi leo.
ARV unakunywaga?Kabisaa tena mie nina ngoma on top of that🤣🤣🤣🤣 wajinga waliwao
Katika maamuzi sahihi niliyo wahi kufanya hapa duniani ni kutoanza kutumia hayo madawa...17 years and counting nadunda tuu mwanawane.ARV unakunywaga?
Safi sanaKatika maamuzi sahihi niliyo wahi kufanya hapa duniani ni kutoanza kutumia hayo madawa...17 years and counting nadunda tuu mwanawane.
Corona yenyewe ilishindwa kuniondoa
Hii mada mpelekee gwajiboy pale ufufuo na uzima atakua na majibu mujarabu 🤣🤣🤣🤣🤣Ni miaka takbiran mitatu sasa tokea nichomwe chanjo ya kuzuia maabukizi ya COVID (UVIKO).
Mimi nilichoma chanjo ya Pfizer Biontech, na zilikuwa dozi mbili zikipishasha wiki 6 mpaka miezi miwili.
Na mpaka sasa nadunda na miezi kadhaa iliyopita tulimkaribisha mgeni mpya wa dunia hii.
Zilikuwepo pilika nyingi sana za njama potofu (conspiracy theories) nyingi duniani kuhusu kuanzia uwepo wa ugonjwa wenyewe wa COVID na kuendelea mpaka kwenye chanjo yenyewe ya COVID
Waliibuka wataalamu wa kweli hasa kielimu kila pande za dunia kupinga na kusambaza habari potofu kuhusu maambukizi ya ugonjwa COVID na chanjo yake.
Walituaminisha njama potofu kedekede kuhusu maigizo yanayofanywa mahospitalini kuhudumia wagonjwa wa COVID ni kama sinema zinachezwa na kutangazwa na vyombo vya habari ambavyo vyote viko kwenye hii njama ya kuhadaa walimwengu.
Pia walijitokeza wataalamu wa utafiti wa kinga za kibaologia kwenye kila mitandao ya jamii, wakitutahadharisha athari za kinga ya COVID kuwa ni njama ya kuturaibu tuzoee dozi ya COVID kama uraibu wa madawa ya kulevya na pia kutunga na kuchombezea kila athari zilizotokana na vifo vya ghafla kwa wachomwaji wa kinga ya COVID ni njama ya kupunguza idadi ya watu duniani.
Pia kulitokea wale watafuta fursa kwenye mitandao ya kijamii, walioneza njama mfu ya kuwa kinga ya COVID ina chembechembe za kielectroniki(CHIP) ambazo ni mpango maalumu wa kusambza mlingonti ya teknologia ya 5G, ambazo zingetumika kuziendesha hizo CHIP zilizopandikizwa kwa njia ya chanjo na kuwa kila aliyechoma chanjo atakuwa anapokea maagizo kimtandao na ya kuteleza kama MSUKULE.
Haya tunahitaji mrejesho kwa wale waatalum waaliojulikana kama spin doctors....
cc Mathanzua
Let me get this straight about the COVID-19 vaccine
COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill...www.jamiiforums.com
KaJPM kalikuwa kajinga sana,eti hata kakikuona umevaa barakoa kanakasirikaUmetumwa na mabeberu wewe (JPM)
Impact yake inachukuwa muda DNA yako, kizazi chako utazaa lakini watoto watakuwa na afya na akili mgogolo. Chanjo wamepiga marufuku nchi nyingi za Ulaya. Wewe endelea kujipa matumaini tu.Ni miaka takbiran mitatu sasa tokea nichomwe chanjo ya kuzuia maabukizi ya COVID (UVIKO).
Mimi nilichoma chanjo ya Pfizer Biontech, na zilikuwa dozi mbili zikipishasha wiki 6 mpaka miezi miwili.
Na mpaka sasa nadunda na miezi kadhaa iliyopita tulimkaribisha mgeni mpya wa dunia hii.
Zilikuwepo pilika nyingi sana za njama potofu (conspiracy theories) nyingi duniani kuhusu kuanzia uwepo wa ugonjwa wenyewe wa COVID na kuendelea mpaka kwenye chanjo yenyewe ya COVID
Waliibuka wataalamu wa kweli hasa kielimu kila pande za dunia kupinga na kusambaza habari potofu kuhusu maambukizi ya ugonjwa COVID na chanjo yake.
Walituaminisha njama potofu kedekede kuhusu maigizo yanayofanywa mahospitalini kuhudumia wagonjwa wa COVID ni kama sinema zinachezwa na kutangazwa na vyombo vya habari ambavyo vyote viko kwenye hii njama ya kuhadaa walimwengu.
Pia walijitokeza wataalamu wa utafiti wa kinga za kibaologia kwenye kila mitandao ya jamii, wakitutahadharisha athari za kinga ya COVID kuwa ni njama ya kuturaibu tuzoee dozi ya COVID kama uraibu wa madawa ya kulevya na pia kutunga na kuchombezea kila athari zilizotokana na vifo vya ghafla kwa wachomwaji wa kinga ya COVID ni njama ya kupunguza idadi ya watu duniani.
Pia kulitokea wale watafuta fursa kwenye mitandao ya kijamii, walioneza njama mfu ya kuwa kinga ya COVID ina chembechembe za kielectroniki(CHIP) ambazo ni mpango maalumu wa kusambza mlingonti ya teknologia ya 5G, ambazo zingetumika kuziendesha hizo CHIP zilizopandikizwa kwa njia ya chanjo na kuwa kila aliyechoma chanjo atakuwa anapokea maagizo kimtandao na ya kuteleza kama MSUKULE.
Haya tunahitaji mrejesho kwa wale waatalum waaliojulikana kama spin doctors....
cc Mathanzua
Let me get this straight about the COVID-19 vaccine
COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill...www.jamiiforums.com
una hoja, usikilizwe!Kitu ulichopaswa kujiuliza ni kwanini wengine hawajachanja na COVID haikuwadhuru!
Nyinyi mkubali tu mliingizwa mkenge na Mabeberu! Mbona sisi wengine hatujachomwa hayo masindano, na bado tunadunda tu!Ni miaka takbiran mitatu sasa tokea nichomwe chanjo ya kuzuia maabukizi ya COVID (UVIKO).
Mimi nilichoma chanjo ya Pfizer Biontech, na zilikuwa dozi mbili zikipishasha wiki 6 mpaka miezi miwili.
Na mpaka sasa nadunda na miezi kadhaa iliyopita tulimkaribisha mgeni mpya wa dunia hii.
Zilikuwepo pilika nyingi sana za njama potofu (conspiracy theories) nyingi duniani kuhusu kuanzia uwepo wa ugonjwa wenyewe wa COVID na kuendelea mpaka kwenye chanjo yenyewe ya COVID
Waliibuka wataalamu wa kweli hasa kielimu kila pande za dunia kupinga na kusambaza habari potofu kuhusu maambukizi ya ugonjwa COVID na chanjo yake.
Walituaminisha njama potofu kedekede kuhusu maigizo yanayofanywa mahospitalini kuhudumia wagonjwa wa COVID ni kama sinema zinachezwa na kutangazwa na vyombo vya habari ambavyo vyote viko kwenye hii njama ya kuhadaa walimwengu.
Pia walijitokeza wataalamu wa utafiti wa kinga za kibaologia kwenye kila mitandao ya jamii, wakitutahadharisha athari za kinga ya COVID kuwa ni njama ya kuturaibu tuzoee dozi ya COVID kama uraibu wa madawa ya kulevya na pia kutunga na kuchombezea kila athari zilizotokana na vifo vya ghafla kwa wachomwaji wa kinga ya COVID ni njama ya kupunguza idadi ya watu duniani.
Pia kulitokea wale watafuta fursa kwenye mitandao ya kijamii, walioneza njama mfu ya kuwa kinga ya COVID ina chembechembe za kielectroniki(CHIP) ambazo ni mpango maalumu wa kusambza mlingonti ya teknologia ya 5G, ambazo zingetumika kuziendesha hizo CHIP zilizopandikizwa kwa njia ya chanjo na kuwa kila aliyechoma chanjo atakuwa anapokea maagizo kimtandao na ya kuteleza kama MSUKULE.
Haya tunahitaji mrejesho kwa wale waatalum waaliojulikana kama spin doctors....
cc Mathanzua
Let me get this straight about the COVID-19 vaccine
COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill...www.jamiiforums.com
A fair analysis should have been percent ya walioathirika kati ya waliochanja vs wasiochanjaKitu ulichopaswa kujiuliza ni kwanini wengine hawajachanja na COVID haikuwadhuru!
Ukweli wa COVID vaccine - watu wameumia sana na wanaendelea kufa na kupata vilema vya maisha. Sikiliza wabobezi wa haya mambo dunia nzima inatetemeka, watu wako katika hali mbaya. Kama ulichoma ni muda tu bado immunity zako ziko strong lakini zitachoka tu utaanza kupata maradhi aina mbalimbali.Ni miaka takbiran mitatu sasa tokea nichomwe chanjo ya kuzuia maabukizi ya COVID (UVIKO).
Mimi nilichoma chanjo ya Pfizer Biontech, na zilikuwa dozi mbili zikipishasha wiki 6 mpaka miezi miwili.
Na mpaka sasa nadunda na miezi kadhaa iliyopita tulimkaribisha mgeni mpya wa dunia hii.
Zilikuwepo pilika nyingi sana za njama potofu (conspiracy theories) nyingi duniani kuhusu kuanzia uwepo wa ugonjwa wenyewe wa COVID na kuendelea mpaka kwenye chanjo yenyewe ya COVID
Waliibuka wataalamu wa kweli hasa kielimu kila pande za dunia kupinga na kusambaza habari potofu kuhusu maambukizi ya ugonjwa COVID na chanjo yake.
Walituaminisha njama potofu kedekede kuhusu maigizo yanayofanywa mahospitalini kuhudumia wagonjwa wa COVID ni kama sinema zinachezwa na kutangazwa na vyombo vya habari ambavyo vyote viko kwenye hii njama ya kuhadaa walimwengu.
Pia walijitokeza wataalamu wa utafiti wa kinga za kibaologia kwenye kila mitandao ya jamii, wakitutahadharisha athari za kinga ya COVID kuwa ni njama ya kuturaibu tuzoee dozi ya COVID kama uraibu wa madawa ya kulevya na pia kutunga na kuchombezea kila athari zilizotokana na vifo vya ghafla kwa wachomwaji wa kinga ya COVID ni njama ya kupunguza idadi ya watu duniani.
Pia kulitokea wale watafuta fursa kwenye mitandao ya kijamii, walioneza njama mfu ya kuwa kinga ya COVID ina chembechembe za kielectroniki(CHIP) ambazo ni mpango maalumu wa kusambza mlingonti ya teknologia ya 5G, ambazo zingetumika kuziendesha hizo CHIP zilizopandikizwa kwa njia ya chanjo na kuwa kila aliyechoma chanjo atakuwa anapokea maagizo kimtandao na ya kuteleza kama MSUKULE.
Haya tunahitaji mrejesho kwa wale waatalum waaliojulikana kama spin doctors....
cc Mathanzua
Let me get this straight about the COVID-19 vaccine
COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill...www.jamiiforums.com
Kuvuka barabara huku umefunga macho na ukafika salama si jambo la ajabu, ila ni ajabu endapo utajisifu na kujitolea mfano kwa hiloNi miaka takbiran mitatu sasa tokea nichomwe chanjo ya kuzuia maabukizi ya COVID (UVIKO).