Waliosema chanjo ya COVID ni njama wamejizika na kuzikwa

Umeisoma hiyo ripoti au unakurupuka....
Leta kifungu kinachosema baada ya miaka kadhaa kupita, waliochomwa chanjo wameanza kufa kwa matokeo ya chanjo...
Na usilete upupu mitandaoni, tumia ripoti hiyo kama reference kujibu swali langu.....
 
h
Mimi sikuchanja na bado nadunda tu 🤣🤣🤣🤣
 
h

Mimi sikuchanja na bado nadunda tu 🤣🤣🤣🤣
Hapo ndio tunajua tatizo ya elimu yetu, haina hata ya chembe kumfundisha mbongo maana ya kuchakachua hoja na kuielewa kabla kujibu
Wapi nimesema waliokataa kuchanjwa watakufa?
Mbona huko zilizotokea chanjo, wako maelfu hawakuchanjwa..
 
walijua tutakufa
 
Kitu ulichopaswa kujiuliza ni kwanini wengine hawajachanja na COVID haikuwadhuru!
Na kwa nini wengine wanafanya ngono zembe na walioathirika lakini mpaka sasa hawaja dhurika. Hii ni dhahiri kuwa ukimwi haupo na haya mambo ya uvaaji wa condom ni mpango wa mabeberu wa kutaka tusiongezeke.

Amandla...
 
Hapo ndio tunajua tatizo ya elimu yetu, haina hata ya chembe kumfundisha mbongo maana ya kuchakachua hoja na kuielewa kabla kujibu
Wapi nimesema waliokataa kuchanjwa watakufa?
Mbona huko zilizotokea chanjo, wako maelfu hawakuchanjwa..
Mimi nina tatizo na watu wa Bima. Nimelipia ( tena comprehensive) kwa miaka mingi bila kupata ujali. Bila shaka ni mpango wa kula tu pesa yangu.

Amandla...
 
Kuna watu hawakuchanja za polio, kifua kikuu, surua, n.k. na bado wanadunda tu. Sijui kama kuna anayewaonea wivu.

Halafu karibuni itakuja chanjo ya HIV. Nasubiri kusikia conspiracy theories zake.
 
Sina haja ya kusema mengi,ila soma ripoti ya serikali ya Marekani ifuatayo.You are talking of three years,three years ni muda mfupi sana.Wadanganye wadanganyika,sio watu wenye akili zao,mwenye akili anajua it was a scam.Kama it was something real kwa nini CEOs wote wa makampuni ya the so called chanjo za Covid hawakuchanjwa? Na kwa nini initially walisema kila mtu anayechanja asaini, ili akipata shida yeyote serikali isiwajibike.Isn't all this obvious kwamba hizo chanjo zina shida.This is obvious unless wewe ni zombie.So,wewe either ni zombie au umetumwa kudanganya watu na mabwana zako.Acha uovu huo mara moja.Wewe ndiye unayejua zaidi kuliko serikali ya Marekani au scientists kama sisi, stop that nonsense.I know how you are feeling kama umechanja,so unajaribu kujifariji,but the worst is yet to come.Frankly uamuzi uliofanya haukuwa sahihi kabisa.


Unaweza pia kusoma hapa👇

 
Mbona na ambao hatukuchoma tunadunda. Au unafikiri mnaoendelea kudunda ni nyie mliochanjwa??
 
Mbona na ambao hatukuchoma tunadunda. Au unafikiri mnaoendelea kudunda ni nyie mliochanjwa??
Anajifariji huyo achana naye.Kwa ujinga wake anaamini kwa kuwa miaka mitatu imepita tangu achanje, basi yupo safe.Wauaji hawa wapo very smart.Watu wakifa mara moja si watastukiwa?Ni kweli wapo walioathirika mara moja,lakini hawataki iwe immediate kwa kuwa itakuwa rahisi watu kujua source of the problem.
 
Na kwa nini wengine wanafanya ngono zembe na walioathirika lakini mpaka sasa hawaja dhurika. Hii ni dhahiri kuwa ukimwi haupo na haya mambo ya uvaaji wa condom ni mpango wa mabeberu wa kutaka tusiongezeke.

Amandla...
Mkuu upo sahihi,lakini ni kama unapigia mbuzi gitaa.
 
I don't argue with fools!
Hivi let's be serious,mimi nisiyechanja niwe fool kuliko wewe uliyechanja!Waliowachanja wenyewe wanaosema mliochanja you are undiagnostic,stupid and fools.Infact wamesema chanjo ile ilikuwa na nia ya kuwa-cull kwanza the stupid and fools..Si unajua sasa hivi wanaendelea na culling of the heard.And I am not joking,this is what they have said.
 
They...they....they ...
Who're these "they" thinking for you fool? Awake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…