lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,914
- 3,356
Yale majitu manafiki yamekimbia kwa aibu wakiongozwa na lile jemba linaletaga makala ya kila tukio kwa mihemuko na kukurupuka.....Nasikia Africa yote yenye nchi karibu 70 ins vifo visivyofika 4,000, ambayo USA walikuwa wanavipata kwa siku. Sasa wapi akina gates na Kimambo? Mnatupa siku ngapi za nyongeza tuanze kuokota watu barabarani kama kumbi kumbi?
Elimu tunayoisoma Africa ni ileile wanaisoma wazungu, na ndio inayotumika kufanya uvumbuzi.Lini wazungu watatupa ujuzi wa kurusha sattelite? By the way, ilikuwa unachangia uzi huu au?
Labda utuambie km una ndugu alikufa kwa corona kwenu lasivyo utaonekana mjinga tu
Nasikia Africa yote yenye nchi karibu 70 ins vifo visivyofika 4,000, ambayo USA walikuwa wanavipata kwa siku. Sasa wapi akina gates na Kimambo? Mnatupa siku ngapi za nyongeza tuanze kuokota watu barabarani kama kumbi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Francis Da Don, hao ni wapuuzi tu.
Kuna mpuuzi mwingine anashinda kule Twitter kazi kuiombea mabaya tu Tanzania, ooh mbona takwimu hazitolewi, Sasa unajiuliza huyu adui anataka azipeleke wapi, na kwa faida ya nani?
Yaani mpaka kwenye Covid-19 kuna watu wana_ retire imprest, shenz type kweli hawa watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio 4000 ni chini ya 3000.Tuachane na Hilo la kuokota maiti barabarani hiyo ni bullshit sikuiamini pia.
Ila hivi we unaamini kweli Kuna vifo 4000 tu vya Corona Africa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio 4000 ni chini ya 3000.
Wewe kipi kinafanya usiamini? Hapo kwenu mtaani, kwenye ukoo wako na kazini kwako mshazika wangapi kwa COVID-19?
USA wanatoa taarifa za kweli nchi za kiafrica zinaficha data na uongo uongo mwingi.Nasikia Africa yote yenye nchi karibu 70 ins vifo visivyofika 4,000, ambayo USA walikuwa wanavipata kwa siku. Sasa wapi akina gates na Kimambo? Mnatupa siku ngapi za nyongeza tuanze kuokota watu barabarani kama kumbi kumbi?
Takwimu zetu ni kanjanja kweli. Lakini bado hali si mbaya kihivyo. Ingeonekana tu.Sio ukoo, Kuna rafiki zangu 4 wameguswa na Corona, vitu vingine hata havihitaji u genious kujua..kwa hizi siasa za Corona zinavyo pigwa hapa nchini bado unaamini takwimu unazopewa na Serikali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa hizi zote ni propaganda... Dhumuni haswaa ni kuwatia watu hofu ...ili wapate chance ya kufanya biashara zao
You can imagine kile kifaa cha kupimia virus wa covid 19 kinauzwa laki 5s sijui sina hakika sana (wajuzi watanisaidia)
Lakini bei yake inacheza katika rank hizo ... So Mimi nawewe tujiulize mpaka sasa wauzaji wa hivyo Vifaa wameshauza vingapi na wamesha ingiza faida kiasi gani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unajua ni kwanini tulitawaliwa? Ni kwasababu hatujitambui. Wewe kwa akili yako unaamini kuwa Afrika ina vifo 4000 tu? Unaamini yale wanaosema kina Bashite na Magufuli? Juzi Magufuli kafiwa na dada yake unajua kilichomuua?Nasikia Africa yote yenye nchi karibu 70 ins vifo visivyofika 4,000, ambayo USA walikuwa wanavipata kwa siku. Sasa wapi akina gates na Kimambo? Mnatupa siku ngapi za nyongeza tuanze kuokota watu barabarani kama kumbi kumbi?